Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Hivi wadhan nasi wanawake hatuhitaj ngono kama burudan tu?wadhan wanawake wanahitaj ngono kwaajil ya mimba kila wakati?no,unafel wapi wewe?mie nakuona mjanja wa mjin afu unaonyesha mitizamo ya watu wa sitimbi huko🤔🤔
Wanawake Mkimpa mwanaume papuchi, mnaona kama mmefanya uwekezaji wa mabilioni ya shilingi Ironbutterfly
 
Ii uheshimike ni lazima Uheshimu. Hakuna atakayekuunga mkono kwa kauli yako ya kijinga uliyoiandika hapa
Idiot huna lolote wewe ndio walewale washika ukuta mnakojolewa na kila mtu...ndio maana imekuuma
 
Mwambie tu. Mwanao ukweli bali usidanganye
. Mwambie babako alisema ni kuchomoe
Usiongeze maneno wala ujsipunguze, yeye mwenyewe ataamua kumsamehe au kuendeleza palipo ishia
Madhara ya hiki kitendo ni makubwa Sana sio kwake tu bali kwa Kila mtu wakiwemo watu back.huenda hata wewe akakugusa Kama jamii
 
So
So kwa hiyo ww mabinti zako utawatafutia?

Sawa siku hizi kuna vitu vyingi ambavyo sio vizuri kwa mabinti zetu,ila havizuii kumfundisha binti yako.

Kazi ya mzazi ni ni kuongea na binti, kumpa hali halisi ya ulimwengu ulivyo, kumweka karibu na Mungu na kumfundisha nini maana ya thamani ya usichana wake na ndoto zake.

Tatizo la siku Jando na Unyago tumevipiga teke,ulikuwa ni mfumo mzuri sana wa kuwaandaa vijana. Nenda vijijini kule,single mothers unawatafuta kwa tochi,unakuta kijana kaoa ana mji wake na anashughuli zake.

Sasa njoo mjini huku vijana wa siku hizi wame invest kwenye alkasusu,vumbi na gym na mabinti wenye ndio hao akili yao imetawalia na mafundisho ya social networks, tamaa za fedha,hawana hofu ya Mungu na hawana mafunzo ya Jando na Unyago so lazima haya ya tokee.
There's no God in your equation! Ushafeli.

Sasa ya huko kijijini si you're just proving my original point!! We're on the same page then.
 
There's no God in your equation! Ushafeli.

Sasa ya huko kijijini si you're just proving my original point!! We're on the same page then.
Upo kama sigara kali. Proving your point ipi?

Hata ulicho kiongea nahisi ww mwenyewe hukijui.
 
Singo maza wote mbumbumbu bogus OmbaOmba wagawa utamu hopeless wapenda waume za watu wamejaa stress wachawi wana roho mbaya... Vijana msithubutu kuoa singo maza hawanaga akili
sio wote mkuu haata mimi nikitaka kuoa naoa singo mama
 
Back
Top Bottom