Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Sasa hapo tatizo ni nini kama hakulea huko nyuma si ndio ataanza au mtoto amisha fika 18+ haihitaji kulelewa tena
 
Upo sahihi mkuu
 
Amina, ubarikiwe sana mkuuπŸ™
 
Call it love and devotion
Call it the mom's adoration (foundation)
A special bond of creation
For all the single mums out there
Going through frustration
Clean Bandit, Sean-Da-Paul, Anne-Marie, sing, make them hear 🎀

She works the night, by the water
She's gonna stress, so far away from her father's daughter
She just wants a life for her baby
All on her own, no one will come
She's got to save him, daily struggle

She tells him "ooh love
No one's ever gonna hurt you, love
I'm gonna give you all of my love
Nobody matters like you
 
🀣🀣🀣🀣Wengi ni single father na wanahasira mno mkuu
Ni kweli tunajaribu kuwasaidia. Maana hatupendi kuishi mbali na damu zetu ila mazingira hayaruhusu kuishi nao.
 
Ukiona hivyo mantiki yake ni kwamba anataka watoto wake wawe na baba mmoja. Huwa wanaona kuna unafuu fulani mbele ya jamii watoto wakiwa wa baba mmoja kuliko baba wakiwa tofauti...
Kuna dada mmoja kazaa na wanaume watatu tofaut,huyu watatu ndo anaishi naye..ni kama Mario,hana ramani yoyote.
 
Ni kweli tunajaribu kuwasaidia. Maana hatupendi kuishi mbali na damu zetu ila mazingira hayaruhusu kuishi nao.
Pole sana mkuu,hongera pia Kwa kujaaliwa warmly heart
 
Singo maza wote mbumbumbu bogus OmbaOmba wagawa utamu hopeless wapenda waume za watu wamejaa stress wachawi wana roho mbaya... Vijana msithubutu kuoa singo maza hawanaga akili
Ashakhum si Matusi, hata mama yako, shangazi yako, Dada yako au Mkeo anaweza kuwa Single Mom

Usihukumu na kutukana Binadamu wenzio

Mtu anakuwa single mom kwa kufiwa na Mumewe au kwa kuachwa bila sababu halafu analea mtoto peke yake mpaka anakuja kuwa Daktari, Mwanasheria, Mwalimu, Mhandisi n.k

Hili jambo wengi huwa wanajudge kishabiki lakini hata hapa wapo waliolelewa na Single mothers

Ni ushauri tu
 
Nadhani ni michango kama hii ndio inayowaambia watoto wa kike kuwa si tatizo kupata mtoto nje ya mahusiano kuna wanaume wasiojali una mtoto ama la watakuoa. Je, kiuhalisia wanawake wenye watoto wanakuwa na Desirability Degree kiwango sawa na binti ambaye hana mtoto katika Soko la mahusiano (Relationship Market), unataka kunambia wanaume hatuna tatizo kuoa binti ambae kacheza na usichana wake na kisha kaja kuamua kutulia akiwa tayari ametumika kama gari la mkaa na watoto huu?

Kuna sehemu nilisoma nadhani ni YouTube comments nilikuwa natazama video za hizi topic za single mothers hizi. Kuna mwamba akacomment kuwa "adui namba moja kwa Black People Community yaani sisi Jamii ya watu weusi ni , Mzungu, Feminist, na emasculated males" hawa ndio wanachochea demise ya jamii ya mtu mweusi popote na kumfanya kuwa race dhaifu zaidi kijamii, kiuchumi na kisiasa.

Wewe kwa hizi point zako dhaifu unaangukia kundi hili la "Emasculated males" yaani wale wanaume dhaifu kiroho na kiakili ambao hawana zile male traits za leadership na principles za kusimamia jamii isitetereke.

Upo radhi kusapoti mtoto wa kike kusurvive kama single mother (which means u are comfortable na hii situation ya single motherhood katika jamii yetu thats why hata unatoa suggestions za namna ya hawa wanawake kusurvive kwa kudanganya kuwa unawasaidia kwa kuwa unawajali which is a hell made lie) kuliko kukemea na kuonyesha namna wanaume hii kitu si sehemu ya mambo tunakubaliana nayo.


Kuna mabinti watakuja soma huu upuuzi umeandika hapa wataona kumbe its okay kuzaa hovyo na wanaume wapo ambao wanatukubali na watatuoa hivi tukiwa na watoto wa nje ya Ndoa.

Shida ya watu kama wewe unatumia akili dhaifu kwa kuchukua sample ndogo ya mabinti ambao pengine wamekutwa na tatizo la kuharibiwa Maisha na wahuni wa mjini kwa makusudi, yaani nazungumzia wale mabinti decent na wanaojitambua na kujitunza miili yao ila akaja kijana na ushetani wake akamdanganya akavalisha hadi pete na kulipa mahari kwao kisha akampiga tukio na kusepa na kumuacha binti na familia yake wakiwa na mshangao ambao hawakutarajia.

Unachukua hiyo sampuli juu unachanganya na hizi sampuli za single mothers ambao 90% wanataka kwa hiyari yao kupata watoto kwa njia haramu ya kuzaa na mume wa mtu kusudi kabisa, kuzaa na kijana kwa lengo la kumtega kiakili ili asiondoke, kuzaa na mtu ili kupata copy ya mtoto mzuri maana anamuona handsome, kuzaa na mtu kwasababu kwao ni matajiri, kuzaa na mtu sababu anataka tu kuona akizaa inakuwaje, kuzaa na mtu kwasababu anataka azae mapema ili baadae asihangaike na kupata watoto tena, kuzaa tu basi kwasababu kaona binti mwenzake ana mtoto so na yeye kapata hamu ya kupata mtoto ili afanane na mwenzake, sababu hizi na zinginezo ambazo zina ashiria kutokujitambua kiakili.

Wewe kwa upeo wako unaona hawa watu wanaofanya hivi wanahitaji huo utetezi wako uliokosa elements zozote za kuzingatia maadili? Yaani watu waamue kuchagua kukosea halafu wakidhurika useme kama jamii inawajibika kuwatetea, wewe si unakuwa ni mwendawazimu kama wendawazimu waliouza bandari tu. [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

Umenikera sana.
 
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Singo maza wote mbumbumbu bogus OmbaOmba wagawa utamu hopeless wapenda waume za watu wamejaa stress wachawi wana roho mbaya... Vijana msithubutu kuoa singo maza hawanaga akili
Sema si vizuri kuongea kwa ujumla hivi..kuna single mothers waliofiwa na wenzi wao mapema sana, kuna wenzi wao walipotea, kuna waliokataliwa- ingawa hawakua na hatia, kuna waliokutana na wanaume waoga wa majukumu-wakaachwa, kuna waliokutana na wahuni tu- waharibifu-wakaachwa, kuna waliodanganywa na waume za watu- wakaachwa, kuna walioachwa sababu ya ukorofi wao..n.k.
Ikumbukwe pia:
1.Sisi wanaume pia sio innocent/ au perfect- ukiona kuna single mother ujue kuna kidume cha mbegu kilipiga bila hata ndomu..na kikakimbia majukumu kwa kuleta visababishi vyovyote

2.Kuna wanaume humu pia tumetoka kwa masingle mothers....na maisha yanaenda-unakuta baba alikimbia familia huko..kaacha mama akiwa binti na watoto

Hawa single mothers wanahitaji sana kusaidiwa..kulea mtoto peke yako sio mchezo tena kwa wanawake..

Pili ukimpata anayeeleweka oa, nenda naye- ikishindikana kausha.

Na nyie masingle mothers muwe na akili sasa ya kutulia pale mnapopata mahusuano mengine..

Ninawafahamu watu wengi waliooa single mothers na wamekuwa watu wazima sana na familia zenye ustawi..

Mwisho tabia ya uhuni/uasherati/ uzinifu...haina uhusiano na usingle mother..mtu anaweza kuwa single mother katika mazingira ambayo hayakutarajiwa kabisa...kuna watu sio masingle mothers au fathers lkn ni wazinifu hatari ..wanapasha viporo mpaka vilivyooza achilia mbali kupoa tu.

Kupanga ni kuchagua..kila mtu yuko responsible kwa maamuzi au choice anazofanya
 
Kabisa mkuu πŸ‘Š
 
Pole na Hongera pia kwa kupambana kumlea mwanao.Mwanao ana Umri gani?.
 
She tells him, "Your life, ain't gonna be nothing like my life
You're gonna grow and have a good life
I'm gonna do what I've got to do"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…