Single mother bana, tabu tupu

Watu mna mioyo mikubwa

Sent from my TECNO KG7h using JamiiForums mobile app
 
Hahahahhaha dah talk about EXECUTIONER

Sent from my TECNO KG7h using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nikupe siraha ya kivita ukiwa na single mother, angalia uchumi wako na je unamzidi mume mwenzio ukiona uchumi wako upo chini basi achana naye uyo single mother ila ukiona uchumi wako upo vizuri usiogope uyo single mother x anayedumu ni yule mwenye uchumi mzuri, hawa unga unga inabaki story tu kuwa alizaa na mkeo
 
Boraa uwaambie kabisaa.
 
Ila status bana Kuna watu ukiona tu unajua maisha yake yalivo ila Kuna wengine utasugua bench kumjua kwa kutumia status
Mara nyingi status ni wewe, labda wale wanaofake maisha ila mwisho wa siku hujulikana tu.
Wapenda kupost status ni rahisi kuwajua na ni wambea kwelikweli.
 
ila ni kweli kabisa kwa kijana anae jitambua kiakili na fikra hawezi oa ma single mother
Single mother kuolewa na mzungu ni sawa kabisa. Tukubali kuwa uchumi wa mzungu na mtu mweusi ni mbingu ns ardhi. Mzungu maskini anaweza kuwa sawa na mtu mweusi mwenye uchumi wa kati.

Sasa single mother huingia kwenye mahusiano kimkakati wa kimaslahi. Kwa hio kama unazo atakupenda hadi useme haleluya kwa Single mother wote ila mkakati wake ukikamilika, ni kwa hri mama jeni. Na kama mtaanza drom scratch basi mkifanikiwa anaanza kudai muachane ili tu mgawane.

So kwa wazungu kuna kitu kinawavuta. Single mother sio mtu wa kuanza nae maisha from scratch. Single mother ni akili mingi sana wanata wakute una kitu na kama unacho kidogo basi ataingia ila atawachanga na wana kibao ili walau heaabu zake zikae sawa aendelee kusema anapambana kwa ajili ya wanae
 
Wakuu poleni na majukumu yenu ya kila siku... Niende moja kwa moja kwenye mada wakuu..kuna nyumba nimehamia maeneo ya Kawe ni hizi nyumba za uswahilini zenye vyumba vingi na toilet ya kushare..

Kinachonishtua ni hii caring ya huyu single mother anakatoto kadogo kamiaka nadhani mitatu...sasa kulingana na mishe zangu huwa narudi saa kumi bhasi hupendelea kukabeba nakuingia nacho kitaa unakuta nakanunulia juice,soda kiufupi kamenizoea sana kasipo niona kanasumbua ...

Sasa shida sio haka katoto ni huyu bi dada aisee hii ni wiki inatembea mi chakula cha usiku kila siku ananiletea kwenye hotpot...mara anipigie simu narudi sa ngapi mara zamu yangu ya usafi kanisaidia maana ni siku tatu Tau sasa care zimekuwa nyingi wakuu atakuwa anashida gani au mimi nitulie tu nikae kimya...

Naombeni ushauru wakuu au nimuulize kwanini ananiletea msosi kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…