Single mother kampiga mwiko wa kichwa Baba wa kufikia

Jambo?

Hili tukio limetokea mtaani kwetu kuna jamaa ameoa Single mother, sasa usiku wakiwa sebuleni jamaa akasikia meseji imeingia kwenye simu ya Single mother.

Lahaullah ile kuangalia anakutana na meseji inayosema, "Mpenzi unakuja lini kwangu kunipikia, nimemisi mahanjumati yako mpenzi"

Jamaa baada kusoma ile meseji na kwakuwa anaijua namba ya jamaa aliezaa na mke wake ikabidi apaniki na amuulize mwanamke wake kwanini jamaa anamuita mpenzi.

Mwanamke katika kujitetea akasema eti itakuwa aliezaa nae amejisahau na kumuita mpenzi. Jamaa akapandwa na hasira na kumpiga kibao Single mother.

Aisee! Bado haijajulikana ule mwiko aliutoa wapi maana ni suala la sekunde kadhaa jamaa akawa kashapigwa na mwiko wa kichwa na kudondoka chini akiugulia maumivu.

Jamaa anasema laiti angejua asingemuoa yule bidada maana kwa anayomfanyia anajuta.
images (8).jpeg
 
Vita No Vikali Sana Ila Pisi Nyingi Zilizonyooka Ni Single Mother.

Au Nimeanza Kuchanganyika Ndugu Wanachama?
 
Boda boda wengi hawaheshimu usalama wake binafsi, usalama wa abiria wake na mpita njia mwingine na hawafanyi hvo bahati mbaya
Ni kweli mimi pia sipendelei kupanda boda, ila kuna mazingira fulani fulani unajikuta ushapanda,,,
 
Mama Tau kampiga Baba Tau na mwikooo!
 
Jambo?

Hili tukio limetokea mtaani kwetu kuna jamaa ameoa Single mother, sasa usiku wakiwa sebuleni jamaa akasikia meseji imeingia kwenye simu ya Single mother.

Lahaullah ile kuangalia anakutana na meseji inayosema, "Mpenzi unakuja lini kwangu kunipikia, nimemisi mahanjumati yako mpenzi"

Jamaa baada kusoma ile meseji na kwakuwa anaijua namba ya jamaa aliezaa na mke wake ikabidi apaniki na amuulize mwanamke wake kwanini jamaa anamuita mpenzi.

Mwanamke katika kujitetea akasema eti itakuwa aliezaa nae amejisahau na kumuita mpenzi. Jamaa akapandwa na hasira na kumpiga kibao Single mother.

Aisee! Bado haijajulikana ule mwiko aliutoa wapi maana ni suala la sekunde kadhaa jamaa akawa kashapigwa na mwiko wa kichwa na kudondoka chini akiugulia maumivu.

Jamaa anasema laiti angejua asingemuoa yule bidada maana kwa anayomfanyia anajuta.
Kuoa single mother mpka pale unapooneshwa kaburi la uyo aliyezaa nae
 
Back
Top Bottom