Single mother kamuwekea Pilipili step father kwenye Chakula

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Kuna jamaa mtaani kaoa Single Mother, sasa wakati wanataka kula chakula (Dinner) jamaa akamwambia mtoto wa single mother ampatie maji ya kunawa Dogo akasema "nimechoka Bwana".

Step father akamwambia Dogo sawa basi subiri nijiandalie mwenyewe msosi.

Wakati Step father anajiandalia maji ya kunawa, Dogo akadokoa mboga kwenye sahani ya step father.

Lahaullah walakuwata! Jamaa akamfokea Dogo kwanini anadokoa mboga na wakati alimtuma akakataaa.

Eeh! Single mother baada ya kuona mwanae anafokewa akachukua Pilipili na kumwekea Step father kwenye msosi wake.

Jamaa amechanganyikia mpka sasa anashindwa afanyeje, maana Single Mother anavyomfanyia ni hatari.
 
Stepfather na huyo dogo wote ni watoto wa mama watupu.Mmoja hana adabu na mdokozi wa pili anajidekeza kwa kuogopa kula pilipili.Angeoa dada wa kihindi ingekuwaje sasa wakati wao huweka pilipili(manga)hadi kwenye chai?Mwisho,huyo mama yao "mlezi" ndiyo makande kabisa.Hana mbinu njema za malezi na subira.
 
Step father noma mnoo hutakiwi kuwa na kauli kwa mtoto asie wako
Halafu ni mroho tu na hajui kukausha.Dogo kudokoa mboga ndiyo afoke?Na huyo mkewe jinga sana.Anashindwaje kumuandalia bumunda wake chakula?Hajui kumuandikia meza bumunda wake kunamuongezea pointi za ushindi?
 
Kuna jamaa mtaani kaoa Single Mother, sasa wakati wanataka kula chakula (Dinner) jamaa akamwambia mtoto wa single mother ampatie maji ya kunawa Dogo akasema "nimechoka Bwana".

Step father akamwambia Dogo sawa basi subiri nijiandalie mwenyewe msosi.

Wakati Step father anajiandalia maji ya kunawa, Dogo akadokoa mboga kwenye sahani ya step father.

Lahaullah walakuwata! Jamaa akamfokea Dogo kwanini anadokoa mboga na wakati alimtuma akakataaa.

Eeh! Single mother baada ya kuona mwanae anafokewa akachukua Pilipili na kumwekea Step father kwenye msosi wake.

Jamaa amechanganyikia mpka sasa anashindwa afanyeje, maana Single Mother anavyomfanyia ni hatari.
Hii shida ndiyo maana wanaume Wengi hawapendi kuoa wanawake wenye watoto.
 
Kuna jamaa mtaani kaoa Single Mother, sasa wakati wanataka kula chakula (Dinner) jamaa akamwambia mtoto wa single mother ampatie maji ya kunawa Dogo akasema "nimechoka Bwana".

Step father akamwambia Dogo sawa basi subiri nijiandalie mwenyewe msosi.

Wakati Step father anajiandalia maji ya kunawa, Dogo akadokoa mboga kwenye sahani ya step father.

Lahaullah walakuwata! Jamaa akamfokea Dogo kwanini anadokoa mboga na wakati alimtuma akakataaa.

Eeh! Single mother baada ya kuona mwanae anafokewa akachukua Pilipili na kumwekea Step father kwenye msosi wake.

Jamaa amechanganyikia mpka sasa anashindwa afanyeje, maana Single Mother anavyomfanyia ni hatari.
Hali pilipili auapilipili ipo!
 
Mkuu japokua hii case ni minor mnoo....ila naungana na wote wanaokaa mbali na single mother
 
Mi ningetembeza makofi mazito mazito kwenye mashavu kuanzia kwa mama mpaka mtoto
Unaweza kukuta njemba inalelewa hapo.Kwa hiyo hata ubavu wa kupiga mtu haupo.Hivi,kuna mwanamke anayejua yupo na mwanaume anayejielewa akashindwa kumuandalia mumewe meza na kumdhibiti mtoto mkaidi?Yani father-figure hata akiongea kwa kawaida tu lazima utii uwepo.Mwanaume ni mamlaka.
 
kweli uandishi ni kipaji..😅
Ishu wala sio kipaji cha uandishi. Ni stori ya kutunga dogo anahangika kuumba umba visivyokuwepo

Wanaleta machai ili ku justify kuwakandia ma single mothers, ujinga mtupu.
 
Back
Top Bottom