Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
Kuna jamaa mtaani kaoa Single Mother, sasa wakati wanataka kula chakula (Dinner) jamaa akamwambia mtoto wa single mother ampatie maji ya kunawa Dogo akasema "nimechoka Bwana".
Step father akamwambia Dogo sawa basi subiri nijiandalie mwenyewe msosi.
Wakati Step father anajiandalia maji ya kunawa, Dogo akadokoa mboga kwenye sahani ya step father.
Lahaullah walakuwata! Jamaa akamfokea Dogo kwanini anadokoa mboga na wakati alimtuma akakataaa.
Eeh! Single mother baada ya kuona mwanae anafokewa akachukua Pilipili na kumwekea Step father kwenye msosi wake.
Jamaa amechanganyikia mpka sasa anashindwa afanyeje, maana Single Mother anavyomfanyia ni hatari.