Single mother tumeanza kushindwana na kutishiana maisha kisa mwanaye

Single mother tumeanza kushindwana na kutishiana maisha kisa mwanaye

Ila ulichofeli jamaa ni kutaka kuwabadilisha mindset zao kwa siku moja, sio rahisi.

Lakini ungejipa muda mama mtu na mtoto wote wangekaa kwenye mstari.
 
5. Mtoto hataki kulala room ya peke yake. Amekizoesha kikilala kimkumbatie. Anasema ndo kinapata upendo. So inabidi tulale watatu kitandani na akumbatiane na kitoto chake. Tunatiana kwa nadra sana kwa Timing. Anaamka akinyata na kuniambia nimfuate sebuleni nikapige bao chap chap nirudi tukalale kabla hakijaamka na kuanza kulia.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
@ Tuta Absoluta Kantangaze

NIMESOMA ANDIKO LAKO, KWA UFUPI UMEELEZA NAMNA MALEZI YA MAMA YALIVYO DHAIFU.
NA SIO KWA HUYO TU

TAFITI ZINAONYESHA, MALEZI YA BABA, UWEPO WA BABA NDIO UNAO JENGA UTU WA NDANI WA MTOTO
KAMA MAADILI, HESHIMA, UTII, UNYENEYEKEVU, KUWA NA MIPAKA KTKT KILA KITU.
MISULI YA HIVI WANAWAKE HAWANA, NI MWANAUME ALIYOUMBIWA KUWA HIVYO.

NA NDIO MAANA KWA NCHI ZA MAGHARIBI, WENGI WALIO GEREZANI NA USHOGA NI WATOTO WA MA SINGOs.

USHAURI: JITATHIMINI NAMNA UNAVYO LEA MTOTO
MALEZI YA MTOTO WAKO NDIO FAIDA YAKO AU HASARA YAKO YA MBELENI
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Baba hao wa miaka ya 90s na 2000 kazi yao ni kulalamika tu, .....kama baba wa kufikia umeshindwa kusimamia au kulea huyu mtoto kama unavo penda unaishia kulalamika mitandaoni, nyie vitoto vya 2000 endeleeni na kampeini ya kukataa ndoa nyie hamna akili ya kulea ndoa, unalalamikia mtoto wa miaka sita kweli?????
Huu ni UJUAJI sasa. Ange deal vp na mwanamke wa hivo?
 
IMG_0845.jpg
 
Ishi MAISHA ya usafi Sana tafuta mwanamke msafi ambaye hana matatizo mchumbie na uoe.

Watu mnaopenda bidhaa za bei rahisi ndo huwa mnajikuta mnapata hasara Mara dufu.

Hakikisha unazingatia Kuwa na Emotional intelligence sasa unamchukia mtoto wa miaka 6 huyo mtoto unafikiri yeye anajua nini about life?.


Unahitaji kuwa na emotional intelligence then uwe unaishi cleanest lifestyle acha kuwa MTU wa kuokota okota.

Pray more to GOD.
 
Huyu mpumbavu tu Achana naye mazima.Kuna kimoja nilikaokota hapa JF nikafikiri mtu wa maana kumbe fala tu.Kinaendeshwa na kitoto Cha miaka saba na upumbavu mwingi.Nilipoanza kukinyoosha kikaniandika hapa JF .Niliktupilia mbali.
Mkuu tuwekee huo uzi. Kumbe haya mambo wengi yanawakuta. Yanakatisha tamaa sana
 
Back
Top Bottom