Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]5. Mtoto hataki kulala room ya peke yake. Amekizoesha kikilala kimkumbatie. Anasema ndo kinapata upendo. So inabidi tulale watatu kitandani na akumbatiane na kitoto chake. Tunatiana kwa nadra sana kwa Timing. Anaamka akinyata na kuniambia nimfuate sebuleni nikapige bao chap chap nirudi tukalale kabla hakijaamka na kuanza kulia.[emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ni UJUAJI sasa. Ange deal vp na mwanamke wa hivo?Baba hao wa miaka ya 90s na 2000 kazi yao ni kulalamika tu, .....kama baba wa kufikia umeshindwa kusimamia au kulea huyu mtoto kama unavo penda unaishia kulalamika mitandaoni, nyie vitoto vya 2000 endeleeni na kampeini ya kukataa ndoa nyie hamna akili ya kulea ndoa, unalalamikia mtoto wa miaka sita kweli?????
Mkuu tuwekee huo uzi. Kumbe haya mambo wengi yanawakuta. Yanakatisha tamaa sanaHuyu mpumbavu tu Achana naye mazima.Kuna kimoja nilikaokota hapa JF nikafikiri mtu wa maana kumbe fala tu.Kinaendeshwa na kitoto Cha miaka saba na upumbavu mwingi.Nilipoanza kukinyoosha kikaniandika hapa JF .Niliktupilia mbali.