Mark pawelk
Senior Member
- Jan 6, 2017
- 103
- 339
Mkuu swala la kumpa mtu mimba na kutomuoa hili linaeleweka na kuvumilika maana huwezi jua mipango ya watu
Ila katika mada hii kuna mambo makuu mawili yanayokera
a)swala la mwanamke kumchukulia mtoto kama asset
Yaani hapa kama mwanamme anajali malezi ya mtoto yani mizinga kila muda,kisingizio mtoto,kila siku utaambiwa anaumwa
b) mwanaume kutochangia kumtunza mtoto
Hili ndio hatuwezi kujitetea, kama mtoto ni wa kwako hakikisha unachangia gharama,maisha magumu!!
Afu Dada zetu hamjielewi kuna sheria nyingi zinawalinda,nenda ustawi wa Jamii pale huyo baba anayejifanya hajielewi ateletewa mtanange mpaka akili imkae sawa
Wenzetu mbele wanajielewa sana katika hili,kama huna uwezo wa kutunza mtoto usipige kavu,PERIOD!! Maana kule child support lazima, ukileta mchezo mchezo unaweza kupigwa mvua kabisa