Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
son preference ipo dunian koteukizingatia watz wengi ni conservative/watamaduni, hoja yako ina mashiko fulani
Igegede vizuri mwanawaneIvi ni kwel watoto wa kike walio lelewa na Single mother huwa wana matatizo mengi eeh ? Maana na pisi moja huwa sielewi kabsa mambo yake kuna mda ina nichukia bila sababu utazani me baba ake
Kumbe wanaume wengi na wanawake pia wanalo hili tatizo. China walipopewa ruhusa ya kuzaa mtoto mmoja kila familia walikuwa wakitoa mimba za watoto wa kike kiasi ikatokea wanawake wakawa adimu kabisa. Sasa wameruhusu watoto wawili kwa familia hivyo hali inarudi sawia.Kwa wanaume wajinga na wapumbavu ndio wanaweza kutulekeza mtoto kwa dhana ya jinsia.
hujaelewekaKumbe wanaume wengi na wanawake pia wanalo hili tatizo. China walipopewa ruhusa ya kuzaa mtoto mmoja kila familia walikuwa wakitoa mimba za watoto wa kike kiasi ikatokea wanawake wakawa adimu kabisa. Sasa wameruhusu watoto wawili kwa familia hivyo hali inarudi sawia.
applies to watoto wote bila kujali jinsia hasa watoto wa kiafrica, ili kuepuka stress kama hizo za watoto wachache sana utakaowalea bila kutegemea chochote kutoka kwao.Ni kuchukua tu tahadhari mapema, usije ukajinyima au kuteseka kisa ada ya mtoto wa kike anayelelewa na single maza.
I assure you kuwa huyo mtoto akishakuwa mtu mzima na hana kazi still ataendelea kuwa karibu nawe hasa kama unamsapoti.
Lakini akishafanikiwa kupata kazi hutokuja kupata hata mia yake mbovu ya kununua karanga.
Yaani watoto hawa wanarudisha upendo kwa mama zao na kumuona mama ni bora sana kuliko wewe baba uliyejinyima kwa ajili ya kumfikisha hapo alipo.
Tumia pesa yako kwa ajili yako na kikubwa jenga afya yako na jipende sana, achana na hii mitoto ya single maza
Nao wanakujaga kuwa wake wa hovyo sana, ni bora kuoa single mother kuliko binti alie olekewa na single motherIvi ni kwel watoto wa kike walio lelewa na Single mother huwa wana matatizo mengi eeh ? Maana na pisi moja huwa sielewi kabsa mambo yake kuna mda ina nichukia bila sababu utazani me baba ake