Single room needed Maeneo ya Tabata shule hadi Segerea

Kiziwanda chema

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
288
Reaction score
478
Habari madalali wa Bongo, na wenye nyumba.

Nahitaji chumba cha kupanga cha bei Rahisi, Bei isizidi 50 na please sina hela ya miezi sita.

Ningependa maeneo ya kuanzia Tabata Shule hadi Segerea. Sehemu nyingine naweza kuja endapo bei ni pungufu na Mazingira mazuri ya eneo la makazi.

Nb; Nina familia ya watu watatu. Mmoja ni mtoto wa miaka miwili.

Natanguliza Shukrani 0622900222

Atafutae Hachoki
===========================

Wakuu Asanteni kwa Ushikirikiano, nimefanikiwa Hitaji langu
Salama na iwe kwenu
 
Habari madalali wa Bongo, na wenye nyumba.

Nahitaji chumba cha kupanga cha bei Rahisi, Bei isizidi 50 na please sina hela ya miezi sita.

Ningependa maeneo ya kuanzia Tabata Shule hadi Segerea. Sehemu nyingine naweza kuja endapo bei ni pungufu na Mazingira mazuri ya eneo la makazi.

Nb; Nina familia ya watu watatu. Mmoja ni mtoto wa miaka miwili.

Natanguliza Shukrani 0622900222

Atafutae Hachoki
Usijali nalifanyia kazi
 
Nipigie 0754279035 nikupe apartment yenye baraza.sebule kubwa na chumba masta ambayo itakutosha.aliyeondoka alikuwa na familia ya watu 4.sebule kubwa inagawika.bei 80.000 kwa mwezi.kwa kuanzia unatoa miezi mitatu baada ya hapo unalipa kwa kwa mwezi mmoja.mahali kitunda shule.magari yapo moja kwa moja kariakoo na posta.mimi ndiyo mmiliki hivyo huitaji kutoa pesa ya dalali
 
Bado unacho ?
 
Back
Top Bottom