Kiziwanda chema
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 288
- 478
Usijali nalifanyia kaziHabari madalali wa Bongo, na wenye nyumba.
Nahitaji chumba cha kupanga cha bei Rahisi, Bei isizidi 50 na please sina hela ya miezi sita.
Ningependa maeneo ya kuanzia Tabata Shule hadi Segerea. Sehemu nyingine naweza kuja endapo bei ni pungufu na Mazingira mazuri ya eneo la makazi.
Nb; Nina familia ya watu watatu. Mmoja ni mtoto wa miaka miwili.
Natanguliza Shukrani 0622900222
Atafutae Hachoki
Maisha tu ndugu, kila mtu anapenda aishi masaki kwenye mansion ya vyumba 20 hukoFamilia ya watu watatu chumba kimoja ,. ..tutafute hela mkuu
Inawezekana labda ni yeye, mke na huyo mtoto wa miaka miwili. Kwa Dar, hilo ni jambo la kawaida sana.Familia ya watu watatu chumba kimoja ,. ..tutafute hela mkuu
Umenisaidia kujibu,... AsanteInawezekana labda ni yeye, mke na huyo mtoto wa miaka miwili. Kwa Dar, hilo ni jambo la kawaida sana.
Mtoto akikua, atatafuta chumba na sebule.
Kuna kijamaa hapa mtaani kina mke na watoto wa4 kapanga chumba kimojaInawezekana labda ni yeye, mke na huyo mtoto wa miaka miwili. Kwa Dar, hilo ni jambo la kawaida sana.
Mtoto akikua, atatafuta chumba na sebule.
Duh mkuu umeshindwa kuchambua fumbo jepesi namna hii?Familia ya watu watatu chumba kimoja ,. ..tutafute hela mkuu
Hiyo ni tafsiri yako mkuu,yawezekana ni wake wawili na yeye(3some)Duh mkuu umeshindwa kuchambua fumbo jepesi namna hii?
watu wa3 si Father Mother and Child?
Nipigie 0754279035 nikupe apartment yenye baraza.sebule kubwa na chumba masta ambayo itakutosha.aliyeondoka alikuwa na familia ya watu 4.sebule kubwa inagawika.bei 80.000 kwa mwezi.kwa kuanzia unatoa miezi mitatu baada ya hapo unalipa kwa kwa mwezi mmoja.mahali kitunda shule.magari yapo moja kwa moja kariakoo na posta.mimi ndiyo mmiliki hivyo huitaji kutoa pesa ya dalaliHabari madalali wa Bongo, na wenye nyumba.
Nahitaji chumba cha kupanga cha bei Rahisi, Bei isizidi 50 na please sina hela ya miezi sita.
Ningependa maeneo ya kuanzia Tabata Shule hadi Segerea. Sehemu nyingine naweza kuja endapo bei ni pungufu na Mazingira mazuri ya eneo la makazi.
Nb; Nina familia ya watu watatu. Mmoja ni mtoto wa miaka miwili.
Natanguliza Shukrani 0622900222
Atafutae Hachoki
Bado unacho ?Nipigie 0754279035 nikupe apartment yenye baraza.sebule kubwa na chumba masta ambayo itakutosha.aliyeondoka alikuwa na familia ya watu 4.sebule kubwa inagawika.bei 80.000 kwa mwezi.kwa kuanzia unatoa miezi mitatu baada ya hapo unalipa kwa kwa mwezi mmoja.mahali kitunda shule.magari yapo moja kwa moja kariakoo na posta.mimi ndiyo mmiliki hivyo huitaji kutoa pesa ya dalali