mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbavu zanguu!"wasapu sitatasi"
🤣🤣
Imeniuma sanaKwahiyo mwanetu we bagia ? 😂
single maza mnato kakaSio kila shimo unakojioa,
uno matatizo sasa yana kusonga
Hii imeendaUjumbe uwafikie
Hauna tofauti naye.Yeye wassup statasi wewe JF sledi.Yaan kunyimwa hela kidogo tu baada ya uombaomba kuzidi, tayari umeshamuweka mtoto wasapu sitatasi na ujumbe " furaha yangu ya kweli, wengine wote bagia tu nawanywea na chai"
Sawaa Mimi bagia unaninywea chai, ila nawew kitumbua ninakinywea uji ..shwain kabisaa!!
Pole sana mkuuImeniuma sana