Sintah kuingia jumba la Big Brother Africa mwaka huu

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[h=1][/h]
Baada ya Sinta Kupost Instagram akimshukuru Boss Lady Zari wa Uganda na watu kuanza kuanza kusema anajipendekeza na kuwa hana hadhi ya Zari Sintah aliamua kuwajibu hao baadhi ya watu kupitia Blog yake na katika majibu hayo amegusia kuwa subiri tumuone kwenye Jumba la Big Brother Africa ..na Kwamba alimwambia Zari See you Soon akiwa na maana wataonana kwenye Jumba Hilo.....Jisomeee hapo chini Mwenyewe na Ujumlishe na Kutoa kama ndio hivyo navyohisi mimi.....​
"Kadiri ninavyokuwa ninaamini adui ya mwanamke ni mwanamke aisee,ila kuna kaboy kamoja sijui ni kenyewe ama kametumika kama chambo hapo sasa hawa ndio wanaanzia utotoni ku comment ujinga hivyo, daah jana i had a long talk wit Zee over the phone, of course was down she was trynaa to cheer me up, hee nikajisikia tu kumuweka kama my friend ona akili nyingine za wasiojielewa zilipotokea ooh huwezi kufanana kama yeye kwani nilikuwa najifananisha? ooh kwakuwa tajiri kwahio matajiri hawana marafiki na je atazikwa na mali zake? mnamkuza dada wa watu wala hana shauwo kihivyo mwenye nacho anacho tu, sio wale wakipata ------ hulia mbwata......

yaani watu wengine mnataka tuwanike whatever we do in Social Media my dear some of us, went to school and learn Ethics in Diplomacy, hapa nimeandika coz naingiza hela nilikwambia nitukane IG,fb, Twitter siwezi kukujibu hapa nipo kama sintah na kule nipo kama Christine John Manongi

kama unaona nafaidi angekuita wewe Ug n you know what i never slept in the hotel nimeishi kwao na wazazi wake of course is not something to be proud of ndio maana nilinyamaza

sasa wewe unaeonekana kituko maana baada ya kuona ule upuuzi ambao mlio comment auone dada wa watu aliniuliza whats wrong with Tanzanians? maana anakijua kiswahili fika nikamwambia those are small minds pipo they think i benefit alot from you
sasa wewe unayeyaona maisha yake kwenye IG subiri na mimi unione ktk jumba lile la Big bro soon SA, ndio maana nilimwambia see you soon, take note ..... Cheers ukipata maumivu meza Hedex

kwa kifupi mmejichoresha mlio comment utumbo kawaona hamna akili kweli eti najigonga angekuwa anakupigia wewe simu basi unatamani sana lolest " SINTAH
 
Mmh kila la kheri sinta kama ni kweli utatuwakilisha BBA.......na wafwatiliaji mtatupa updates....
 
Wasiwasi wangu tu, kwa muonekano wake anaweza akapigwa na vidume vingi mle na wa TZ kwa ulimbukeni
 
Wasiwasi wangu tu, kwa muonekano wake anaweza akapigwa na vidume vingi mle na wa TZ kwa ulimbukeni

wampige tu kwani to.bo alipewa la nini? ikiwezekana dabo deka kabisa
 
kwa nini ume quote lithread lote hilo

Limekutisha eeeeeeehhh, ama limekusisimua?Nilitaka niweke na nyodo zote alizowajibu hao wenzie alafu huko BBA akaishie kuvuliwa pichu na kupigwa hadharani tena mbele ya Cameras kama B.H.O.K.E
 
Masikini sie tutakoma.... Uwiiiiiiiiii, Kwanini lakini???? Sintah ndo anaenda kutuwakilisha kwenye BBA this year??? Mungu wangu!!!
 
Na kiingreza chakee yulee big atakua anajijibu mwenyeweee
 
Limekutisha eeeeeeehhh, ama limekusisimua?Nilitaka niweke na nyodo zote alizowajibu hao wenzie alafu huko BBA akaishie kuvuliwa pichu na kupigwa hadharani tena mbele ya Cameras kama B.H.O.K.E

heheee hawezi kwenda muache aaendelee kuota
 
yaani wanaweke mna wivu ... mtu si ndugu yako ,si rafiki yako ,hujawahi hata kumuona .... ni unasikia tu habari zake kwnye media ...
still unadiriki kunmtakia mtu mabaya ... wakati uuohuo maisha yake hayana direct impact na ww ..

duuuuv

wanawake wakina nani wakati mie ndio nimetamka!!!!!!!!!

usiwabebeshe mizigo wanawake wengine kwa kauli yangu

HAWEZI KWENDA in capital letters kuonesha msisitizo
 
yule simwelewagi
sometimes yes sometimes No
 
anaenda kama nani? mshiriki au mtalii?
Limekutisha eeeeeeehhh, ama limekusisimua?Nilitaka niweke na nyodo zote alizowajibu hao wenzie alafu huko BBA akaishie kuvuliwa pichu na kupigwa hadharani tena mbele ya Cameras kama B.H.O.K.E
 
Go Miss Manongi.....Your Dreams Are Valid.....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…