Sintah kuingia jumba la Big Brother Africa mwaka huu

Sintah kuingia jumba la Big Brother Africa mwaka huu

dah bora wewe jamaa unahabari zakuelewela kabisa kunakaparyengo mmoja humu jf jukwaa hilihili yuko bize kupromot ushoga kila Uzi wake flani shoga flani msagaji etiutafiti wake anafanya IG
 
wabongo tuna vipaji ila hatuviendelezi au tunavitumia vibaya....mtu kama sintah angevuta subira yaje mashindano ya BIBI BOMBA AFRICA ashiriki naamini atashinda kwani ni mabibi wachache sana kama yeye wenye uwezo wa kujifanya wasichana bila kujulikana
 
Labda aende bibi bomba Africa.. kwa mtonyo upi huyo hata kwenye ile round ya kurudisha fomu atapigwa chini na kiingereza hicho cha Kayumba.
AACHE KUTUDANGANYA KWANZA BIG BROTHER YA MWAKA HUU ITAANZA AFTER WORLDCUP KAMA ILIVYOKUWA 2010 NDO MAANA HATA MCHAKATO WA KUCHUKUA FOMU BADO MAANA MIAKA MINGINE MICHAKATO YA FOMU HUWA INAANZA TANGU FEB NA MEI WANAINGIA MJENGONI.

Aache kutuibia kiingilio hapa.
 
kigezo namba moja cha kwenda BBA ni kujioa akili kwanza ufanye mambo kama ya kichangu hivi..

dont behave like a lokole lady/man otherwise watazamaji watakuona mzinguaji.. seriousness is strictly prohibited..
 
Labda aende bibi bomba Africa.. kwa mtonyo upi huyo hata kwenye ile round ya kurudisha fomu atapigwa chini na kiingereza hicho cha Kayumba.
AACHE KUTUDANGANYA KWANZA BIG BROTHER YA MWAKA HUU ITAANZA AFTER WORLDCUP KAMA ILIVYOKUWA 2010 NDO MAANA HATA MCHAKATO WA KUCHUKUA FOMU BADO MAANA MIAKA MINGINE MICHAKATO YA FOMU HUWA INAANZA TANGU FEB NA MEI WANAINGIA MJENGONI.

Aache kutuibia kiingilio hapa.

Kwikwikwi..anaweza akashinda bibi bomba..si unajua bibie ni ajuza! ziwa limemshuka kama mtungi wa gesi..kazi sifa za kipuuzy tu..hua ananiudhi anavyojiona wa maana as if ni malkia..---- zake!
 
Kwikwikwi..anaweza akashinda bibi bomba..si unajua bibie ni ajuza! ziwa limemshuka kama mtungi wa gesi..kazi sifa za kipuuzy tu..hua ananiudhi anavyojiona wa maana as if ni malkia..---- zake!

HAHAHA ziwa kama mtugi wa gas lol
 
Kama sio fani yako utaumbuka Sinta BBA???
source nature aka kibra
 
Kwikwikwi..anaweza akashinda bibi bomba..si unajua bibie ni ajuza! ziwa limemshuka kama mtungi wa gesi..kazi sifa za kipuuzy tu..hua ananiudhi anavyojiona wa maana as if ni malkia..---- zake!

hahahahahaha aiseeeee kuna umeniacha hoi
 
baada ya sinta kupost instagram akimshukuru boss lady zari wa uganda na watu kuanza kuanza kusema anajipendekeza na kuwa hana hadhi ya zari sintah aliamua kuwajibu hao baadhi ya watu kupitia blog yake na katika majibu hayo amegusia kuwa subiri tumuone kwenye jumba la big brother africa ..na kwamba alimwambia zari see you soon akiwa na maana wataonana kwenye jumba hilo.....jisomeee hapo chini mwenyewe na ujumlishe na kutoa kama ndio hivyo navyohisi mimi.....​
"kadiri ninavyokuwa ninaamini adui ya mwanamke ni mwanamke aisee,ila kuna kaboy kamoja sijui ni kenyewe ama kametumika kama chambo hapo sasa hawa ndio wanaanzia utotoni ku comment ujinga hivyo, daah jana i had a long talk wit zee over the phone, of course was down she was trynaa to cheer me up, hee nikajisikia tu kumuweka kama my friend ona akili nyingine za wasiojielewa zilipotokea ooh huwezi kufanana kama yeye kwani nilikuwa najifananisha? Ooh kwakuwa tajiri kwahio matajiri hawana marafiki na je atazikwa na mali zake? Mnamkuza dada wa watu wala hana shauwo kihivyo mwenye nacho anacho tu, sio wale wakipata ------ hulia mbwata......

Yaani watu wengine mnataka tuwanike whatever we do in social media my dear some of us, went to school and learn ethics in diplomacy, hapa nimeandika coz naingiza hela nilikwambia nitukane ig,fb, twitter siwezi kukujibu hapa nipo kama sintah na kule nipo kama christine john manongi

kama unaona nafaidi angekuita wewe ug n you know what i never slept in the hotel nimeishi kwao na wazazi wake of course is not something to be proud of ndio maana nilinyamaza

sasa wewe unaeonekana kituko maana baada ya kuona ule upuuzi ambao mlio comment auone dada wa watu aliniuliza whats wrong with tanzanians? Maana anakijua kiswahili fika nikamwambia those are small minds pipo they think i benefit alot from you
sasa wewe unayeyaona maisha yake kwenye ig subiri na mimi unione ktk jumba lile la big bro soon sa, ndio maana nilimwambia see you soon, take note ..... Cheers ukipata maumivu meza hedex

kwa kifupi mmejichoresha mlio comment utumbo kawaona hamna akili kweli eti najigonga angekuwa anakupigia wewe simu basi unatamani sana lolest " sintah
ningependa kukufahamisha kuwa mchakato wa big brother bdo hatujauanza kwa mwaka huu tunajadili mchakato uanze mwezi wa may na washindani kuingia mjengoni mwezi wa nane,,hii nikutokana na matukio makubwa ambayo yanaendelea katika feeds zetu hasa ile ya optc. Ch 199
 
Back
Top Bottom