Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Umegwe na nature uende BBA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ningependa kukufahamisha kuwa mchakato wa big brother bdo hatujauanza kwa mwaka huu tunajadili mchakato uanze mwezi wa may na washindani kuingia mjengoni mwezi wa nane,,hii nikutokana na matukio makubwa ambayo yanaendelea katika feeds zetu hasa ile ya optc. Ch 199
mi niko salama,wewe je?inachosha sanaaaa
uko salama lakin
tinnaaaaaa
anaweza kupata bahati ya mtende
Hiyo bahati atapata kwa kuwa bibi bomba wa tanganyika!
Mseme tu sababu ya world cup hata 2010 ilianza hivyohivyo na sababu ilisemwa world cup
nadhani hapa hujanipata vizuri ni kwamba feed iliyokuwa imeandaliwa kwa ajili ya BBA now is active and still kuna show ya BBA mzanzi channel (BigBrother Mzani)still on going in S.A feed na pia kuna feed ya OSCAR PISTORIUS TRIAL nayo ina tumia feed ya Multi-choice na imeteka hisia za wengi hata nchi za magharibi nao wanavutiwa nayo na kuanza kuomba link na DSTV soo kuna mengi mitambo to Brazil kurusha worldcup nop link and international feeds zinahitajika soo mambo Multi choice ni kibao this na bdo yanaendelea na room for BBA 2014 imekuwa ndogo sana ni mwaka wa mavuno kwao ila kuwa na subira utamu wa Africa utakuja na slogan kali zaidi...
Me najua itakuja na najua itakuja mwezi wa 8 kama ilivyokuwa mwaka 2010 na nikiona mpk july hawajatangaza fomu basi tutahisi itakuwa ya all stars ingawa si rahisi.
Kwani hiyo Big Brother Mzansi imeanza mwaka huu?, kwa hiyo miaka mingine haikuingiliana kama ilivyokuwa miaka mingine?
usinichoke nataka tu kujua zaidi.
Yeah ndio kwanza imeanza mapema mwaka huu na watumia settings za BBA 2013 iliyoisha August mwaka jana pia inapatikana ktk DSTV ch 161 SA baquet ila hapa Tanzania hatuwezi kuiona kwasababu vifurushi vya Tanzania na South Africa haviingiliani ila waweza ona katika online na pia katika offical blogspot yao ya bba mzanzi 2014.Natumaini kwa taarifa hii fupi umenipata.
wabongo tuna vipaji ila hatuviendelezi au tunavitumia vibaya....mtu kama sintah angevuta subira yaje mashindano ya BIBI BOMBA AFRICA ashiriki naamini atashinda kwani ni mabibi wachache sana kama yeye wenye uwezo wa kujifanya wasichana bila kujulikana