Sintah kuingia jumba la Big Brother Africa mwaka huu

ningependa kukufahamisha kuwa mchakato wa big brother bdo hatujauanza kwa mwaka huu tunajadili mchakato uanze mwezi wa may na washindani kuingia mjengoni mwezi wa nane,,hii nikutokana na matukio makubwa ambayo yanaendelea katika feeds zetu hasa ile ya optc. Ch 199

Mseme tu sababu ya world cup hata 2010 ilianza hivyohivyo na sababu ilisemwa world cup
 
nadhani hapa hujanipata vizuri ni kwamba feed iliyokuwa imeandaliwa kwa ajili ya BBA now is active and still kuna show ya BBA mzanzi channel (BigBrother Mzani)still on going in S.A feed na pia kuna feed ya OSCAR PISTORIUS TRIAL nayo ina tumia feed ya Multi-choice na imeteka hisia za wengi hata nchi za magharibi nao wanavutiwa nayo na kuanza kuomba link na DSTV soo kuna mengi mitambo to Brazil kurusha worldcup nop link and international feeds zinahitajika soo mambo Multi choice ni kibao this na bdo yanaendelea na room for BBA 2014 imekuwa ndogo sana ni mwaka wa mavuno kwao ila kuwa na subira utamu wa Africa utakuja na slogan kali zaidi...
 
Me najua itakuja na najua itakuja mwezi wa 8 kama ilivyokuwa mwaka 2010 na nikiona mpk july hawajatangaza fomu basi tutahisi itakuwa ya all stars ingawa si rahisi.

Kwani hiyo Big Brother Mzansi imeanza mwaka huu?, kwa hiyo miaka mingine haikuingiliana kama ilivyokuwa miaka mingine?

usinichoke nataka tu kujua zaidi.
 
Yeah ndio kwanza imeanza mapema mwaka huu na watumia settings za BBA 2013 iliyoisha August mwaka jana pia inapatikana ktk DSTV ch 161 SA baquet ila hapa Tanzania hatuwezi kuiona kwasababu vifurushi vya Tanzania na South Africa haviingiliani ila waweza ona katika online na pia katika offical blogspot yao ya bba mzanzi 2014.Natumaini kwa taarifa hii fupi umenipata.
 
So kuanzia mwaka huu onward BBA itakuwa inaanza August?
 
wabongo tuna vipaji ila hatuviendelezi au tunavitumia vibaya....mtu kama sintah angevuta subira yaje mashindano ya BIBI BOMBA AFRICA ashiriki naamini atashinda kwani ni mabibi wachache sana kama yeye wenye uwezo wa kujifanya wasichana bila kujulikana

hahahahaha! hatari aisee!! Sintah my friend nimecheka tuuu!!
 
Bi shoga kwa kujipendekeza kwa Zari akafunga na safari alifikiri Zari atamkaribisha nyumbani kwake anakoishi na wanawe, Mdada anaakili balaa maana ushost wa ukubwani tena wa kuforce sio mzuri hata kidogo si akampeleka nyumbani kwa mama yake mzazi huko alikomjengea na anaishi na nduguze wawili. alimsahau hapo mpaka siku anakaribia kuondoka nyumba yenyewe wanaishi kisela chakula kikipikwa nguvu yako shost Sinta akawa mdogo kama pilitoni na ndio maana hakuweka picha nyingi kwenye blog yake zaidi ya picha za white party aliyoandaa zari na zilikuwa picha nne tu chezea wadada wenye akili zao wewe!
 
Back
Top Bottom