Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
wewe unaweza kwenda
siwezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe unaweza kwenda
Masikini sie tutakoma.... Uwiiiiiiiiii, Kwanini lakini???? Sintah ndo anaenda kutuwakilisha kwenye BBA this year??? Mungu wangu!!!
siwezi.
Anaenda kukuwakilisha wewe na wenzako,sio waTZ wote.
kwa nini ume quote lithread lote hilo
Hujambo we mrembo?
Wengi ndo wapo hivo basi shida tupu si wenye visimu
Labda aende bibi bomba Africa.. kwa mtonyo upi huyo hata kwenye ile round ya kurudisha fomu atapigwa chini na kiingereza hicho cha Kayumba.
AACHE KUTUDANGANYA KWANZA BIG BROTHER YA MWAKA HUU ITAANZA AFTER WORLDCUP KAMA ILIVYOKUWA 2010 NDO MAANA HATA MCHAKATO WA KUCHUKUA FOMU BADO MAANA MIAKA MINGINE MICHAKATO YA FOMU HUWA INAANZA TANGU FEB NA MEI WANAINGIA MJENGONI.
Aache kutuibia kiingilio hapa.
Kwikwikwi..anaweza akashinda bibi bomba..si unajua bibie ni ajuza! ziwa limemshuka kama mtungi wa gesi..kazi sifa za kipuuzy tu..hua ananiudhi anavyojiona wa maana as if ni malkia..---- zake!
Kwikwikwi..anaweza akashinda bibi bomba..si unajua bibie ni ajuza! ziwa limemshuka kama mtungi wa gesi..kazi sifa za kipuuzy tu..hua ananiudhi anavyojiona wa maana as if ni malkia..---- zake!
Akieenda bba naandama kama nilivyozaliwa
mpka ikulu.
ningependa kukufahamisha kuwa mchakato wa big brother bdo hatujauanza kwa mwaka huu tunajadili mchakato uanze mwezi wa may na washindani kuingia mjengoni mwezi wa nane,,hii nikutokana na matukio makubwa ambayo yanaendelea katika feeds zetu hasa ile ya optc. Ch 199baada ya sinta kupost instagram akimshukuru boss lady zari wa uganda na watu kuanza kuanza kusema anajipendekeza na kuwa hana hadhi ya zari sintah aliamua kuwajibu hao baadhi ya watu kupitia blog yake na katika majibu hayo amegusia kuwa subiri tumuone kwenye jumba la big brother africa ..na kwamba alimwambia zari see you soon akiwa na maana wataonana kwenye jumba hilo.....jisomeee hapo chini mwenyewe na ujumlishe na kutoa kama ndio hivyo navyohisi mimi....."kadiri ninavyokuwa ninaamini adui ya mwanamke ni mwanamke aisee,ila kuna kaboy kamoja sijui ni kenyewe ama kametumika kama chambo hapo sasa hawa ndio wanaanzia utotoni ku comment ujinga hivyo, daah jana i had a long talk wit zee over the phone, of course was down she was trynaa to cheer me up, hee nikajisikia tu kumuweka kama my friend ona akili nyingine za wasiojielewa zilipotokea ooh huwezi kufanana kama yeye kwani nilikuwa najifananisha? Ooh kwakuwa tajiri kwahio matajiri hawana marafiki na je atazikwa na mali zake? Mnamkuza dada wa watu wala hana shauwo kihivyo mwenye nacho anacho tu, sio wale wakipata ------ hulia mbwata......
Yaani watu wengine mnataka tuwanike whatever we do in social media my dear some of us, went to school and learn ethics in diplomacy, hapa nimeandika coz naingiza hela nilikwambia nitukane ig,fb, twitter siwezi kukujibu hapa nipo kama sintah na kule nipo kama christine john manongi
kama unaona nafaidi angekuita wewe ug n you know what i never slept in the hotel nimeishi kwao na wazazi wake of course is not something to be proud of ndio maana nilinyamaza
sasa wewe unaeonekana kituko maana baada ya kuona ule upuuzi ambao mlio comment auone dada wa watu aliniuliza whats wrong with tanzanians? Maana anakijua kiswahili fika nikamwambia those are small minds pipo they think i benefit alot from you
sasa wewe unayeyaona maisha yake kwenye ig subiri na mimi unione ktk jumba lile la big bro soon sa, ndio maana nilimwambia see you soon, take note ..... Cheers ukipata maumivu meza hedex
kwa kifupi mmejichoresha mlio comment utumbo kawaona hamna akili kweli eti najigonga angekuwa anakupigia wewe simu basi unatamani sana lolest " sintah