Chief Navigator
Member
- Sep 3, 2017
- 27
- 41
Hahahaaa kinachofuata unaambiwa kakate fimbo yako.Hivi ushawahi kuhesabiwa makosa na mama zetu wa kiafrika halaf yafike matatu..Usiombe manake hutokaa ukasahau maisha yako yote
Tuambie unakumbuka nini na wewehahahahaha muwasha mwenge daaah umenikumbusha mbali mkuu
Nilicheza kombolera..nikaenda kujificha mbaliiiiiii...
Yani hom mbagala mimi nikaenda kujificha kawe...
bwana kirudi hom nikachelewa....nilichapwa sitosahau
Poaaaa[emoji106][emoji106]Hii chai
mkuu kweli mwenge uliwaka hahahaahäHivi unakumbuka ni kosa gani uliwahi kufanya maskani enzi hizo hadi ukapigwa stiki za sinto sahau? Tupieni vioja tuvute hisia.
Mi nakumbuka siku moja usiku maza anapika wali chini ya banda la nyasi alituacha nje na bro akaingia ndani, huko nje tukawa tunachomoa nyasi juu ya banda eti tunawasha mwenge, si nikagusisha mwenge wangu kwenye banda!!!, duuu ukawa mwenge mkubwa sasa, kilichotoea baada ya kuzima mwenge huo mkubwa najua mwenyewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi unakumbuka ni kosa gani uliwahi kufanya maskani enzi hizo hadi ukapigwa stiki za sinto sahau? Tupieni vioja tuvute hisia.
Mi nakumbuka siku moja usiku maza anapika wali chini ya banda la nyasi alituacha nje na bro akaingia ndani, huko nje tukawa tunachomoa nyasi juu ya banda eti tunawasha mwenge, si nikagusisha mwenge wangu kwenye banda!!!, duuu ukawa mwenge mkubwa sasa, kilichotoea baada ya kuzima mwenge huo mkubwa najua mwenyewe.
Duh!Nilicheza kombolera..nikaenda kujificha mbaliiiiiii...
Yani hom mbagala mimi nikaenda kujificha kawe...
bwana kirudi hom nikachelewa....nilichapwa sitosahau
Hahahahaa hio kombolela gani sasaNilicheza kombolera..nikaenda kujificha mbaliiiiiii...
Yani hom mbagala mimi nikaenda kujificha kawe...
bwana kirudi hom nikachelewa....nilichapwa sitosahau