Sinto sahau

Sinto sahau

Joined
Sep 3, 2017
Posts
27
Reaction score
41
Hivi unakumbuka ni kosa gani uliwahi kufanya maskani enzi hizo hadi ukapigwa stiki za sinto sahau? Tupieni vioja tuvute hisia.

Mi nakumbuka siku moja usiku maza anapika wali chini ya banda la nyasi alituacha nje na bro akaingia ndani, huko nje tukawa tunachomoa nyasi juu ya banda eti tunawasha mwenge, si nikagusisha mwenge wangu kwenye banda.

Duuu ukawa mwenge mkubwa sasa, kilichotoea baada ya kuzima mwenge huo mkubwa najua mwenyewe.
 
Hivi unakumbuka ni kosa gani uliwahi kufanya maskani enzi hizo hadi ukapigwa stiki za sinto sahau? Tupieni vioja tuvute hisia.
Mi nakumbuka siku moja usiku maza anapika wali chini ya banda la nyasi alituacha nje na bro akaingia ndani, huko nje tukawa tunachomoa nyasi juu ya banda eti tunawasha mwenge, si nikagusisha mwenge wangu kwenye banda!!!, duuu ukawa mwenge mkubwa sasa, kilichotoea baada ya kuzima mwenge huo mkubwa najua mwenyewe.
mkuu kweli mwenge uliwaka hahahaahä
 
Hatukuwa tunaruhusiwa kucheza nje ya nyumba, sasa nilikwenda kucheza nyumba ya pili, katikati ya mchezo niliona gari ya msure nikawaambia washkaji wanifunike mkeka.

Msure amefika home anauliza Sky yuko wapi? Bro alikuja kunichukua nimefika ninaona macho ya msure ndani ya miwani ananiuliza unatoka wapi? Nilijibu sijambo shikamoo baba Huku mikojo inatoka.
Alinionea huruma sana
 
Hivi unakumbuka ni kosa gani uliwahi kufanya maskani enzi hizo hadi ukapigwa stiki za sinto sahau? Tupieni vioja tuvute hisia.
Mi nakumbuka siku moja usiku maza anapika wali chini ya banda la nyasi alituacha nje na bro akaingia ndani, huko nje tukawa tunachomoa nyasi juu ya banda eti tunawasha mwenge, si nikagusisha mwenge wangu kwenye banda!!!, duuu ukawa mwenge mkubwa sasa, kilichotoea baada ya kuzima mwenge huo mkubwa najua mwenyewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom