Chief Navigator
Member
- Sep 3, 2017
- 27
- 41
Hivi unakumbuka ni kosa gani uliwahi kufanya maskani enzi hizo hadi ukapigwa stiki za sinto sahau? Tupieni vioja tuvute hisia.
Mi nakumbuka siku moja usiku maza anapika wali chini ya banda la nyasi alituacha nje na bro akaingia ndani, huko nje tukawa tunachomoa nyasi juu ya banda eti tunawasha mwenge, si nikagusisha mwenge wangu kwenye banda.
Duuu ukawa mwenge mkubwa sasa, kilichotoea baada ya kuzima mwenge huo mkubwa najua mwenyewe.