GE2025 Sintofahamu yatokea Jimbo la Mfenesini baada ya Kura kudaiwa kuongezeka

GE2025 Sintofahamu yatokea Jimbo la Mfenesini baada ya Kura kudaiwa kuongezeka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Matokeo ya kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Mfenesini mjini hapa yamechelewa kutangazwa kutokana na sintofahamu iliyojitokeza kutokana na kura kudaiwa kuongezeka. Idadi ya wajumbe walikuwa 472 lakini baada ya kura kuhesabiwa zikafikia 528, sawa na ongezeko la kura 56. Baada ya kuibuka changamoto hiyo, Katibu wa Wilaya Mfenesini, Veronica Ndaro ameagiza kura zote zipelekwe wilayani ili kupata ufumbuzi wa jambo hilo kwa ngazi za juu. Awali, uchaguzi huo ulikuwa na sintofahamu kwa baadhi ya wajumbe waliokuwa wamevaa sare za chama zenye nembo badala ya zinazotakiwa.​

1754385851082.png
 
Matokeo ya kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Mfenesini mjini hapa yamechelewa kutangazwa kutokana na sintofahamu iliyojitokeza kutokana na kura kudaiwa kuongezeka. Idadi ya wajumbe walikuwa 472 lakini baada ya kura kuhesabiwa zikafikia 528, sawa na ongezeko la kura 56. Baada ya kuibuka changamoto hiyo, Katibu wa Wilaya Mfenesini, Veronica Ndaro ameagiza kura zote zipelekwe wilayani ili kupata ufumbuzi wa jambo hilo kwa ngazi za juu. Awali, uchaguzi huo ulikuwa na sintofahamu kwa baadhi ya wajumbe waliokuwa wamevaa sare za chama zenye nembo badala ya zinazotakiwa.

View attachment 3432097​
Kama waliiba mkutano mkuu wa Taifa huu ni piace of cake
 
Huku Mwanza Jana umeme ulikatika kwa takribani saa nzima, kuanzia saa moja na dakika 50 za usiku, Leo hii napokea simu kutoka kwa MTU ambaye hakosagi habari mpya eti Wahuni walikuwa wanaingiza Kura feki kwenye masanduku!
 
hahaha! mwaka huu patachimbika 😂
 
Kwa mara ya kwanza jana nimekuwa mjumbe feki,tulitafutwa wajumbe feki kumi,😁,,nyie CCM waacheni tu, wanapigana wenyewe Kwa wenyewe.
 
Back
Top Bottom