Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Kama waliiba mkutano mkuu wa Taifa huu ni piace of cakeMatokeo ya kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Mfenesini mjini hapa yamechelewa kutangazwa kutokana na sintofahamu iliyojitokeza kutokana na kura kudaiwa kuongezeka. Idadi ya wajumbe walikuwa 472 lakini baada ya kura kuhesabiwa zikafikia 528, sawa na ongezeko la kura 56. Baada ya kuibuka changamoto hiyo, Katibu wa Wilaya Mfenesini, Veronica Ndaro ameagiza kura zote zipelekwe wilayani ili kupata ufumbuzi wa jambo hilo kwa ngazi za juu. Awali, uchaguzi huo ulikuwa na sintofahamu kwa baadhi ya wajumbe waliokuwa wamevaa sare za chama zenye nembo badala ya zinazotakiwa.
View attachment 3432097
Na wewe mkuu,majina yote mazuri ulikosa mpaka ukajiita Noti bandia !!Majina yote mazuri mlikosa mpaka mliite jimbo la mfenesini!!
Bora langu la utaniNa wewe mkuu,majina yote mazuri ulikosa mpaka ukajiita Noti bandia !!
Ndiyo muwaibie kura zao?Majina yote mazuri mlikosa mpaka mliite jimbo la mfenesini!!