Kila mmoja alitaka aweke kibaraka wake ili iwe rahisi kuipiga na kuivamia Congo kuvuna almasi na dhahabu...Wengi wao walikuwa wabeligi na wafaransa kuna siku wao kwa wao walichapana uwanja wa ndege wa Kigali waziri wa ulinzi wa Rwanda kipindi hicho ndo akaingilia kati kusuluhisha ugomvi wao.sasa walinzi gani hao eti UNAMIR.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtutsi huwa mrefu hewani au wa wastani.pua ndefu ya kisomali.ngozi nzuri laini.kama ni mwanamke hubeba hipsi za maana.nywele nzuri pia kiufupi huwa ni wenye mvuto.(pisi kali).hutu huwa vijeba .hawana mvuto nywele kipilipili na pua pana.wengi ni weusi tititii..mademu zao vipori[emoji85][emoji85][emoji23][emoji23]Kuna mahali umesema hukujua mtutsi na Muhutu wanawatofautishaje
Hujaeleza uligundua wanawatofautishaje
Mimi pia hunichanganya naomba unijuze
Sent using Jamii Forums mobile app
Au we ndo balozi mwenyewe mkuuNaombeni ruhusa wadau nipate endeleza hii stori.
Na ikitokea mtu ana stori nzuri kama hii lakini ana vi "itaendelea" muwe mnaniita tu ndugu zangu ili niweze kuimalizia.
WanaJF 100 waki like comment yangu naendeleza stori
Ilikuwaje baada ya kukutana na kizuizi kikubwa. Na jinsi balozi alivyonusurika kupigwa risasi na wale wanajeshi wa Rwanda kisa wale mabinti wadogo wenye asili ya kitusi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe unaamini kila mmoja anajua maana ya hiyo abbreviation!? Mi sijakusoma kabisa
Hofu yako tu mkuu, Washington DC wanakawaida ya kudisclose classified issues kila baada ya miaka 20 kwasababu they got no impact to the public zaidi ya kuwajuza nini hasa kilitokea au kufanyika na serikali ilichukua hatua gani. Hata kama hatua walizozichukua zilipelekea mauwaji huwa wako waziwazi na wanaiomba msamaa jamii.Sanaa kuna vitu nikiviweka humu hata Washington. DC watanisaka kwa udi na uvumbi ndo maana mengine nafukiafukia tu.liende
Sent using Jamii Forums mobile app
University of Dar Esta Salaam Business School zamani Faculty of Commerce kabla ya 2008/09.Na wewe unaamini kila mmoja anajua maana ya hiyo abbreviation!? Mi sijakusoma kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unafanya Mungu huyu babu? Kwamba mtu ukiwa mkubwa ndo unakuwa perfect?tulieni, babu yupo anaosha meno yake aje aendeleze story, ila mzee unazingua na umri wako wote bado unaandika askali badala ya askari
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv ni kwamba hujamuelewa ama ni ubishi tu.Waliozaliwa chini ya 96 ni waliozaliwa 97,98.99..... ama waliozaliwa 95,94,93....?
Wewe Mwenyewe Idawa ni mshenzi sana Ulituanzishia Hadithi Mwaka 2015 hukuimalizia mpka leo kila siku namalizia mpaka leo..Kwa umri huo ulipaswa kuwa mvulilivu na jasiri sio kukatishwa tamaa kizembe namna hiyo.
Hujaonyesha ukomavu wako.!
Muanze kujiandaa kisaikilojia Sasa mmesikia ndo wanaingia Burundi Zen Tanzania uwanja wa Vita n Rwanda ndo washaondoka hvyo.
Sio mje muanze ooh mbona imeisha, jiandaen kisaikolojia