Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Acha tu bro, bossless kanikumbusha moja ya tukio baya sana nililiona kwa macho yangu nikiwa na miaka 10 jamaa walikuwa wawili ilikuwa saa tisa na dk 17, alasiri tarehe 26/4/1994. Utanzania uliniokoa dogo huyo aliyekuwa rafiki yangu alipewa thiodan ile dawa tunayopulizia nyanya shambani dogo akawaambia anasikia kiu wakamwongeza nyingine alikufa namwona hv siku nilipoenda musozi kwa mara ya kwanza niliona picha ya dogo pale ndio maana naamini dogo amelala pale afu babu yake wakaondoka nae sijamwona hadi leo

Yaan ningekuwa na uwezo wale jamaa nikiwakuta jehanamu au mbiguni niwauwe tena[emoji24][emoji24][emoji24] basi tu

Rip Jean, babu huko uliko neema za Mungu ziwe nawe

Sorry bossless kuingilia uzi wako
Inauma sana, hapa shetani alifanya kazi yake haswa, hivi jinamizi gani liliwakumba hawa binadamu? Inasisimua mwili kabisa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ulitorokaje? Tupe kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PK na genge lake wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kujenga picha hasi kwa wahutu japo ukweli ni kuwa mauaji yale yalikuwa ya pande mbili, tutsi waliuliwa lkn pia hutu waliuliwa. Walikuwa wakiviziana lkn kutokana na wingi wa wahutu walionekana kama wamewazidi nguvu tutsi.

Tutsi kwa asili yao ni wabinafsi na wanajiona binadamu special (daraja la kwanza) na kuwachukulia wenzao daraja la chini, dhana hiyo imejengeka mpaka leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndiyo ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…