Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Huyo ndiyo super woman sio hawa mbuzi wanaojishebedua mitandaoni
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu je hizo silaha walikuwa wanapewa na Nani?serikali iliyopo madarakani au Kuna ufadhili walikua wanaupata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio civil war mkuu....ni GENOCIDE
 
Aliposema haijulikani ilipo roho yangu ilianza kuumia, natamani kujua hatima yao
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo nimekuelewa mkuu kumbe hata watutsi sio innocent kwa Wahutu
Ni tofauti nilivyoaminishwa kuwa Wahutu ni makatili kwa Watutsi

Vipi jeshi la nchi chini ya utawala huu wa KG limechangamana na Wahutu?

Shukrani kwa maelezo safi ndugu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha na kwa jinsi watusi walivyo wabinafsi na kujiona wao ni bora
Inasemekana ukioa mtusi akawa na utamaduni wa kwenda kwao, basi jua lazma utalea watoto ambao sio wakoo..haya nliyajulia kipindi niko hukoo manyovu kigomaa
Wamejaa wengi mnoo hawa viumbeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…