Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Sijui ni umaskini? Kutokujali na kupuuzia kwa serikali?? au tu kutokujua hatari waliyokuwemo raia wa Tanzania pale ubalozini, yaani mimi nafikiri ilitakiwa zishuke helicopter za JWTZ pale ziwachukue raia na kurudi. Safari ya uokoaji kwa usafiri wa malori ilikuwa ni ya hatari kubwa sana, maana kuyasoma tu waliyokuwa wanayapitia siku za mwisho za kuokolewa pale najisikia vibaya sana sijielewielewi nafikiria wahanga wale walikuwa na hali gani, ni jehanum ya duniani.
 
Mkuu Bossless nilidhani huyo mama angekuwa mhangaza ama mnyambo wa Karagwe hasa kwa kuwa alikijua Kinyarwanda ambacho kina mwingiliano mkubwa na makabila ya ukanda huo. Kumbe mtu wa visiwa vya karafuu!! Basi atakuwa alitumikia ubalozi huo kwa muda mrefu hadi kuinyaka lugha yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kujua lugha kama unahitaji hilo wala haichukui muda mref

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una sura ya kitutsi, utakuwa bonge la lady[emoji39], samahani nimeingilia uzi wa majonzi. Ilà kwa kweli hawa watu sidhani kama yameisha, PK akiondoka tu tunaweza kushuhudia mengine. Just imagine in 90 days wamekufa kwa risasi na mapanga watu karibia 1mill, Nani alipandikiza huo uovu, nani alitoa pesa za kufadhili uovu, nani alimwaga silaha? Mtu mke na mume wanachapana mapanga, wakimaliza wanawachapa watoto mapanga WTF kilichoingia kwenye vichwa vyao?
Haha lool thanks

Haya mambo bwana tangu zama za ukoloni wa wabelgiji hukoo ndo walianza kuwaambia watutsi wao ni special na wakawa favored kushirikiana na mkoloni kuliko wahutu ila ubaya hutu ndo wengi sana kuliko tutsi
Ni ubaguzi wa tangu 1800 huko...mkoloni akitumia system ya 'divide and rule'
Kama vile Tanzania makabila flani yalivyojaribu kujimwambafai mana wakoloni walianza peleka elimu na umishenari kwao ila Nyerere na marais wote wa watanzania hasa Magu saivi ni wajanja sana kwenye kufyekelea mbali ishu za makabila flani yenye nia ovu ya kuligawa taifa

Lakini pia nchi yetu kubwa mnoo na makabila ni mengi sana ...wale walojaribu kujigawa hakyanani nakuambia wangeishia huku..viongozi huwa wanaona mbali
Mana Rwanda ni kama mkoa mmoja tu wenye makabila mawili

watu hawajui tu haya mambo ya kujiona kabila flani ni keki/grade one wkt watu ni nchi moja yakikomaa kwa muda mrefu haya ndo matokeo yake

Nashukuru TZ washasema makabila flani hawezi mtu kuwa raisi kutoka hapo na Nyerere aliamua kusambaza watoto shule kujimix mikoa ya mbali ili waone wao ni kama wengine tu
Na kuoleana tushaoleana sanaaa na watu kabila zote washasoma sanaa inasaidia baadhi ya makabila kuona kumbe wao ni kama wengine tu

Bt mtu ukiwa kabila lililokuwa 'priviledged' na mkoloni usijimwambafai haya ndo madhara ya watutsi kuwa 'priviledged' na wabelgiji na hata sasa wao ndo wameshika hatamu bado unafikiri wahutu wanajiskiaje?!!kitanuka siku PL Slim akitoka hapo
Nilisoma wikipedia
 
Mkuu Bossless nilidhani huyo mama angekuwa mhangaza ama mnyambo wa Karagwe hasa kwa kuwa alikijua Kinyarwanda ambacho kina mwingiliano mkubwa na makabila ya ukanda huo. Kumbe mtu wa visiwa vya karafuu!! Basi atakuwa alitumikia ubalozi huo kwa muda mrefu hadi kuinyaka lugha yao.

Sent using Jamii Forums mobile app


Kwa wakati fulani nimewahi kuishi border za Rusumo (Rnd) na Kobero (Bnd) so zaidi ya miaka mitatu, nilijifunza kuongea lugha zao kwa ufasaha na kujifanya translator kwa gari za transit.
 
Baada ya Berlin Conference 1884 Mjerumani alipewa Rwanda ila baada ta WWI mbelgiji aliichukua territory hio

Ukisoma zaidi Wikipedia kuhusu source/background ya genocide......
The colonists favoured the Tutsi over the Hutu when assigning administrative roles, believing them to be migrants from Ethiopia and racially superior.[30] The Rwandan king welcomed the Germans, using their military strength to widen his rule.[31] Belgian forces took control of Rwanda and Burundi during World War I,[32] and from 1926 began a policy of more direct colonial rule.[33][34] The Belgians modernised the Rwandan economy, but Tutsi supremacy remained, leaving the Hutu disenfranchised.[35] In 1935, Belgium introduced identity cards labelling each individual as either Tutsi, Hutu, Twa or Naturalised. While it had previously been possible for particularly wealthy Hutus to become honorary Tutsis, the identity cards prevented any further movement between the groups.[36]

Js imagine eti ukiwa na hela na we ni mhutu unaweza nunua ID card ya mtutsi ushenzy kabisa na hio ni 1935 miaka 60 kabla ya mauaji

ntarudi....
 
Ukisoma zaidi utaona ishu nzima iko rooted kwenye minority tutsis kujiona wao keki baada ya kuambiwa hivo na mkoloni na wakaendelea hivo hadi leo
Sasa wale majority hutus walichoka na kuonekana as the weaker or lower class wakati wao ndo wengi
Wakaona suluhu tuwamalize kabisaa hawa tutsi/ mende walikua wakiwaita ili wao wachukue hatamu na hadhi yao irudi na wajitawale
Ni long story kwa kweli
PK asipomuachia uongozi mhutu kitanuka upyaaa
Wako wengi sanaa

ukabila sio i tell you sio kabisa
Nahimiza TZ kuoleana kwa wingi
 
Acha utani mkuu camp za Hitler zinatisha watu wanachomwa moto af bado ukatili wa dr.mangala sikia tu
Halafu ninachojua mimi ni kwamba asilimia kubwa ya vifo havikutokana na risasi bali majambia na silaha zingine za jadi.

Kuna maelezo ya Afisa mmoja wa jeshi la Ufaransa aliyekuwa mlinda amani huko chini ya mwamvuli wa UN alidai kwamba alitoa taarifa ya tahadhari kwa wakubwa baada ya kuwepo uingizwaji na ugawiwajwi wa majambia kwa jamii fulani pekee kabla hata Vita haijawa rasmi.

Na kuna uwezekano haya yakawa ndiyo mauaji ya kikatili zaidi kuwahi kutokea ambayo yaliuwa watu wengi kwa muda mfupi,Nagasaki&Hiroshima inasubiri interms ya ukatili though ndiyo matukio yanayotajwa kuua watu wengi kwa muda mfupi zaidi kwenye historia.

Heri risasi na mabomu au concentration camps za Hitler,kifo Cha kuchinjwa ni ukatili wa ajabu sana nashindwa hata kujua hiyo chuki ilipandikizwaje kwa jamii yote hadi watu wakafikia kiwango hicho cha hasira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama vile Tanzania makabila flani yalivyojaribu kujimwambafai mana wakoloni walianza peleka elimu na umishenari kwao ila Nyerere na marais wote wa watanzania hasa Magu saivi ni wajanja sana kwenye kufyekelea mbali ishu za makabila flani yenye nia ovu ya kuligawa taifa
Makabila gani hayo yenye nia ya kuligawa taifa? Yataje kama una uhakika na ulichoandika?
 
Navyojua silaha walipewa na serikali ya chama tawala sababu serikali ya chama tawala walishapoteza matumaini ya sapoti ya jeshi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa ukisha ona Chama tawala kisha anza kuwa ma Vikundi kama vya green guard,

Huku vkipewa ushirikiano na vyombo vya Dola,tegemea lolote laweza kutokea ili tu kukidhi matakwa ya watawala,
Unakumbuka vikundi kama Mungiki kule Kenya ,Janjawidi kule Sudan vilivyokuwa vinaendesha mauaji ,tuombe Mungu sana haya yasitokee hapa Kwetu.
 
Nashukuru TZ washasema makabila flani hawezi mtu kuwa raisi kutoka hapo na Nyerere aliamua kusambaza watoto shule kujimix mikoa ya mbali ili waone wao ni kama wengine tu.
Kina nani walisema hayo maneno?

Na hayo makabila yalioambiwa hawezi kuwa mtu Rais ni yapi?

Na kwanini waliambiwa hivyo?
 
Baba Bossless poleh sana mwa madhila uliyoshuhudia
Movie tu za kupigana wengine hatuwezi kutizama sembuse haya
Poleh sana
May God heal ur heart and cleanse your memories Amen
Nishasoma mara kadha kuhusu hii vita js out of interest huwa wanasema nafanana na wa'tutsi..
Sio siri halikua jambo la siku moja ni chuki ya miaka nenda rudi

tanzania we can never have civil war kutokana na wingi mkubwa wa makabila
Ila Rwanda wasali sana sanaaaa...risk bado ipo
Tanzania siasa ndio jambo la hatari kuliko chochote kwa sasa! Kuna kadi ya ccm mara kadi ya chadema nk. Hizi kadi ni suala la muda tu, zinaweza kutumika kufanya ubaguzi na baadaye kusababisha mauji makubwa kwa watanzania. Wenye mamlaka hawaoni, tusio na mamlaka tunaona lkn hatuna namna ya kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Bossless acha ufala nawe nae! Kisa hawa waropokaji ndio ukatishe uhondo, haya mangapi huko mtaani unakutana nayo, hebu leta stori mzee tusikerane dingii!!

Nimejitahidi kusoma nipate mwendelezo, halaf nakutana na hii comment yako, bila shaka we ni mkubwa wangu ila haki ya nani vile ungekuwa karibu ningekupiga mbonge wa mbichwaaa!! [emoji13][emoji23]🤣

Leta mambo bwana!
huyo Bossless unaemwambia aache ufala ana 55yrs wew kwa hii comment yako tu inaonyesha hauzidi 30yrs....heshima ni kitu cha bure kabisa.
 
Mimi mgeni sijui niende uelekeo gani ikumbukwe miaka ile nyumba za wageni zilikuwa za kuhesabu basi ikabidi tushuke pale stand tukawa tunakula mikate na chai na wengine chai na kahawa.
Robusta au Arabica
 
Back
Top Bottom