Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Bossless lete mambo tusubiri wengi tunapata elimu kupitia hii simulizi
 
Hizo habari za watutsi kuuliwa ni matango pori. Ukweli ni kuwa katika mwaka huo 1994 idadi ya watutsi wote ndani ya nchi (Rwanda) ilikuwa haizidi laki nane lakini ajabu idadi ya watu waliofariki ni zaidi ya milioni moja!!! Hapo unapata picha kuwa yalikuwa mauaji ya umma yasiyoangalia huyu ni nani (walishambuliana) na yawezekana ni wahutu wengi waliouawa (kumbuka bado masalia ya watutsi yalibaki na ndiyo hao wanaoongoza nchi leo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndiyo ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achan naye mbona yeye hajawahi kuleta hapa tu some, watu wa hivyo wapo wengi lazima katize mbele ya mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makambi ya kihutu mtusi hawezi kanyaga, ila ya watusi mhutu anafika tu mhutu anamuua hivi hivi mtusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moderate hutu pia waliuwawa. Na wahutu wenzao na jeshi la kagame baada ya kuingia ndani ya rwanda.si sahihi kusema tutsi tuu ndio waliuwawa. Pia kuna raia wa nchi nyingine ambao katika hali isiyokuwa ya kawaida jumba bovu liliwaangukia.ila walengwa hasa walikuwa watutsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemjibu sahihi.
Ufahamu umetofautiana sana. Huyu bwana anahadithia aliyoyaona yeye kwa macho yake sio aliyohadithiwa, aliyosikia, aliyosoma au kuona kwenye vyombo vya habari. Sijui tatizo liko wapi, na usishangae akawa ni miongoni mwa hai interahamwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika kitu cha maana sana. Watu pekee wanaopenda kuongelea mambo ya ukanda na kuonewa ni watu wa kaskazini na kuwa specific ni wachaga na ilikujificha wanasema kanda ya kaskazini lakini ukifuatilia makabila kama ya wamaasai, wambulu, wameru,wairaq, wapare hawana hiyo superior mentality bali wanaburuzwa kwenye issue za ukanda na wachaga. Hii tabia inawafanya wachukiwe na kunyimwa fursa kama Urais. Ushauri wangu kwao ni bora waachane nayo kwasababu inaleta matokeo hasi kuliko chanya.
 
Mfano Rwanda after kagame akaingia muhutu Uganda itatishika na nn..why Museven aogope muhutu..,?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uganda lazima itishike sababu wahutu wanajua kuwa M7 ndo alowasaidia kwa hali na mali RPF (watutsi) wakaweza kuchukua nchi. PK ni miongoni mwa vijana wa kitutsi waliomueka madarakani M7 na yeye akaamua kulipa fadhila. Lakini inasemekana M7 ni mtusti au ana vinasaba vya hilo kabila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PK na wanyamulenge wenzake ndo waliomwingiza madarakani M7 kwaiyo ulikua ni mwendelezo wa kusaidiana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inaelekea kabila lako ni inferior sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…