Anaitwa Nyandwi means wa Saba...from Nkole district..pure Tutsi.Uganda lazima itishike sababu wahutu wanajua kuwa M7 ndo alowasaidia kwa hali na mali RPF (watutsi) wakaweza kuchukua nchi. PK ni miongoni mwa vijana wa kitutsi waliomueka madarakani M7 na yeye akaamua kulipa fadhila. Lakini inasemekana M7 ni mtusti au ana vinasaba vya hilo kabila.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safisha safisha njia.kwa maelezo baadae inadaiwa hata lile tukio pale tulipozuia na interahamwe walikuwepo wanashudia wakuwa wanasubiri Tanzanian waanze kuiliwa waingilie Kati rasmi , ni dhahiri tulivyowakuta pale walivyokuwa na lile gari lilivyokuwa Kuna mapambano makali yaliyokuwa yanaendelea hatua kwa hatua njia walizokuwa wanapita Sasa hozo njia ndo mtihani kuzielezea,respect soldiersMkuu wale watu saba wenye Vumbi mpaka machoni kazi yao hasa unahisi ni nini?
Wale ni wazee wa kazi, hawanaga mbwembwe, Jichanganye sasa kwa anga zao. Ila naamini hawakuwa saba tu kumaliza mziki ambao ungetokea kwa dharula.Safisha safisha njia.kwa maelezo baadae inadaiwa hata lile tukio pale tulipozuia na interahamwe walikuwepo wanashudia wakuwa wanasubiri Tanzanian waanze kuiliwa waingilie Kati rasmi , ni dhahiri tulivyowakuta pale walivyokuwa na lile gari lilivyokuwa Kuna mapambano makali yaliyokuwa yanaendelea hatua kwa hatua njia walizokuwa wanapita Sasa hozo njia ndo mtihani kuzielezea,respect soldiers
Sent using Jamii Forums mobile app
"Ako na some cognitive disorder"
Ndiyo nini hiyo "ako"!!!??? Acha ulimbukeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kwa maoni yako, nayaheshimu mkuu. Ila binafsi naamini binadamu hatuko sawa kwa kila kitu, ndio maana kuna mataifa yanaitwa "teule", they're gifted.Ninachojua 100% ya rural areas Tz ni third world, nimeshatembea mikoa yote na bahati nzuri mimetembea nchi kadhaa za Ulimwengu wa Kwanza, ni kweli tuna safari ndefu, pengine kama mimi nimepata privilege jukumu langu ni kuinua wanaohitaji kuinuka walau wainuke, na si jiamini kuwa eti nipo Gifted, that's awkward, hata miji yetu 90% bado ni ulimwengu wa tatu sembuse vijijini?
Niseme tu, pasitokee mtu akajiona yeye au jamii yake ni Bora kuliko nyingine, hiyo ni dhana potofu na isiyo na mashiko, na ukiona mtu anaamini hivyo kwenye huu utandawazi basi tambua ako na some cognitive disorders,
Kwakweli umejikwaa kusema kuna jamii Gifted, inaonekana husomi vitabu, everyone is gifted.
Ni suala la Exposure tu kama alivyosema mkuu LadyRed
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli...sijui ujinga huu huwa wanapata wapi...maana wana asili yao..si Rwanda wala Urundi..ila husikii kusema...PK na genge lake wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kujenga picha hasi kwa wahutu japo ukweli ni kuwa mauaji yale yalikuwa ya pande mbili, tutsi waliuliwa lkn pia hutu waliuliwa. Walikuwa wakiviziana lkn kutokana na wingi wa wahutu walionekana kama wamewazidi nguvu tutsi.
Tutsi kwa asili yao ni wabinafsi na wanajiona binadamu special (daraja la kwanza) na kuwachukulia wenzao daraja la chini, dhana hiyo imejengeka mpaka leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimaye nimecheka kwenye huu uzi,nimefikiria tukio kubwa la kusisimua kwa mujibu wa mtiririko wa hii simulizi, kwa kubashiri unafikiri angeweka tukio gani labda ?😀😀Hii movie imetokana na story ya ukweli kabisa na wala siyo ya kutunga. Ingelikuwa ni ya kutunga starring asingemalizia kwa kushangaa kulia ubwabwa kwenye kikombe cha chai kwa mama ntilie. Badala yake angeliweka tukio kubwa la kusisimua sana ili kufurahisha genge. Tunamshukuru sana kwa kuwa mkweli na Mungu ambariki.
ooh okay.Safisha safisha njia.kwa maelezo baadae inadaiwa hata lile tukio pale tulipozuia na interahamwe walikuwepo wanashudia wakuwa wanasubiri Tanzanian waanze kuiliwa waingilie Kati rasmi , ni dhahiri tulivyowakuta pale walivyokuwa na lile gari lilivyokuwa Kuna mapambano makali yaliyokuwa yanaendelea hatua kwa hatua njia walizokuwa wanapita Sasa hozo njia ndo mtihani kuzielezea,respect soldiers
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nashukuru kwa simulizi hii na najua angalau kuna watu tumepata mwanga kwa version yenu ya ubalozini, nasema version maana kuna mwingine labda alikwama katikati ya Kigali labda hotelini nae atakuja na namna yake alivyookoka. Ila naona kama umeamua makusudi kuifupisha na kuikatisha ila nmekuelewa. Kuna matukio ambayo najua ndo yanakujia moja moja ukiwa umetulia na hujatueleza naomba utupe pia kwa mfano najua au nahisi ulijaribu kumtafuta yule demu wako je uliambiwaje, matukio labda ya magari kuishiwa mafuta au wale wadandiaji wa njiani. Wale watu saba je ushawai waona tena au ndo akina kamanda Mwakibolwa(Jocking) na mengineyoSafisha safisha njia.kwa maelezo baadae inadaiwa hata lile tukio pale tulipozuia na interahamwe walikuwepo wanashudia wakuwa wanasubiri Tanzanian waanze kuiliwa waingilie Kati rasmi , ni dhahiri tulivyowakuta pale walivyokuwa na lile gari lilivyokuwa Kuna mapambano makali yaliyokuwa yanaendelea hatua kwa hatua njia walizokuwa wanapita Sasa hozo njia ndo mtihani kuzielezea,respect soldiers
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio Watanzania mlivyo, mnatafuta sehemu ya kusaini tu lakini Maelezo hamsomi.Ujinga wa hivi sisomi nimescroll hadi chini nashangaa kuona part 2 bofya link hii nikaachana nayo
Mkuu asante sana kwa kumalizia kisa hiki mpaka mwisho kwa yale yote ambayo jicho lako limeyashuhudia. Pamoja na kukatishwa tamaa na baadhi ya members lakini mwisho wa siku tumejua yale mengine ambayo hatukuwahi kusikia wala kusoma mahali.Inaendelea...........
EeeeMRND ......eeeeee...MRND..eeeee..MRND ....eeeeee...MRnd.. ishaka rya banyarwanda , eeeee...eeee
Eeee MRN ishaka ryubumng'e na mahoro na majambele ya rubanda tweshe turagushigikie ...eeeeMRNd ikomera.×2
Huo hapo ni wimbo wa kinyarwanda wa chama tawala Cha MRND nikaona kabla hatujamalizana na rwanda wote muujue huu wimbo ,Kama nilivyosema mwanzoni kipindi hicho ulikuwa unapigwa redioni masaa 24 kwa siku hakuna kupumzika .nachotaka kusema hapa ni kwamba wimbo huo ulipigwa maksudi ili kuwakaririsha watu waamini kuwa hakuna chama kingine Cha kuwaletea maendeleo zaidi ya chama cha MRND na hakuna mbadala ,huu wimbo ulipigwa redioni Hadi wazungu wakawa wanaujua achilia mbali watoto ukabadilika ukawa Kama wimbo wa taifa yani unaweza kukamatwa na interahamwe ukalazimishwa uimbe huo wimbo Kama ukishimdwa unakula vibao vya kufaa mtu ikalazimika Sasa lazima kila mtu aukariri uujue angalau beti hiyo moja huwa si usahau Hadi Leo (matumiz mabaya ya redio yakawa yameniathiri ) haijalishi we ni mwenyeji au mgeni.imbaaa
Haya Sasa tumalize na Rwanda.......
Tukawa tumelala pale boda usiku asubuhi tukawa tunasogea kwenye kidirisha Ila uongo mbaya sikumbuki sawasawa Kama siku ile nililala usingizi au vipi huwa sina kumbukumbu sawasawa nilistukia tu kumekucha watu Wana nawa nyuso nami nikaenda kunawa uso tukawa foleni kugonga passports zetu kuwahi kupanda maroli upande wa pili ,taratibu zikakamilika
Saa mbili kamili nikawa tumeiacha ardhi ya Rwanda rasmi tunaingia ardhi ya Burundi nikasema ASANTE MUNGU ,safari ikaanza kwenda bujumbura safari ikaanza huku tukiwa na baadhi ya warundi tukawa tunapiga stori kuhusu zile maiti za mtoni usiku Ila wao wakawa wanasema zile maiti zimetoka mbali Sanaa vijiji vya mbali Burundi bado Hali sio mbaya Sanaa japo kulikuwa na tension kubwa rais wao nae alikuwa kwenye ndege iliyomuua rais wa Rwanda Habyarimana. nikajiapiza kuwa kamwe haitotokea Mimi nikanyage ardhi ya Rwanda Tena hadi nakufa hata Kama Vita itaisha nikaambiwa nirudi kazini tena ,hata ningeteuliwa kuwa balozi kamili na ndo ingekuwa mwisho wa hiyo kazi siko hiyo .( Ila miaka ya 2000' ) nilitembelea Kigali tena zaidi ya Mara mbili kibiashara lakini mwenyewe.)
tukaingia Burundi MAROLI yakaenda kupaki eneo la Gitega Kama sijakosea Ila ise nako kulikuwa na kituko ambacho kiliniacha hoi yani niliona magari kadhaa yanapishana mjini yakiwa na matundu ya risasi na polisi hawana time nayo magari ya raia tu nikawa nawaza hapaNapo sipo.tukalala asubuhi safari ikaanza rasmi kuelekea boda ya Tanzania tukavuka boda nikawa ndani ya motherland nikavuta pumzi ndefuu nikasema uuuuaaahhhhhh Asante mungu.
Kuna kitu sitaki kumaliza bila kukisema baada ya kumaliza kuvuka boada ya tanzania Kuna kamwendo kakutoka boda Hadi kuna sehemu madereva huwa wanakula na Kama kupumzika kunaitwa kwa MAMA SHILINGI Sina uhakika Kama bado kupo Kuna mgahawa hivi Sasa pale watu tukawa tunashuka ili kula nikakosa sahani ya kulia ya kuwekea ubwabwa ikabidi yule mama muuzaji anipe kikombe cha chai ili nitumie Kama Sahank na kweli nikachotewa ubwabwa nikawekewa nikawa na kula huwa nikikumbuka nachekaa sanaAaaaa...ubwabwa kwenye kikombe duuuhhh.
Nafikiri Sasa nikawa ndani ya Tanzania ..rasmi ya Rwanda yakawa yameishia hapo.
Sasa kwakuwa niliahidi kuwaletea stori yangu hadi kufika Tanzania,kuacha kazi,kujiingiza katika biashara ya chuma chakavu huko Zambia ,kufungwa jera Ndola n.k Basi niwaombe Kwanza nitengeneze simu yangu kwanza ikiwa imepona Basi ntaiendeleza Kama sehemu ya pili ya maisha yangu kujifunza tu.
Mwisho naomba niwashukuru wote kwa kunifuatilia,kunikumbisha,hata wale mliinidhihaki lakini mkawa mnanifuatilia Kiaina,Asante Sanaa..
Stori hii naamini itakuwa imewavutia wengi sio mbaya kuipeleka kokote Kama sehemu ya kujifunza lakini usisahau kutoa credit kwa Bossless mwenyewe ambae ndo mmiliki wake halali.
Asante kwa viewers na comments za kutosha. USIKU MWEMA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu komando mmoja ni sawa na askari wa kawaida 100. Najua utajiuliza kivipi hahaWale ni wazee wa kazi, hawanaga mbwembwe, Jichanganye sasa kwa anga zao. Ila naamini hawakuwa saba tu kumaliza mziki ambao ungetokea kwa dharula.
Yote kwa yote Mzee wangu pole sana. Thanks for sharing.
Hutu wamebinywa,na kabisa km wanataka amani ni kukiri makosa tu,yaani mpaka mtoto akizaliwa ni kukiri kwamba sisi ni wauaji vinginevyo jela zipo.Kwamba itakua wahutu ndio wanaleta hali ya wasiwasi ? I'm so curious to know the cause of that tension to citizens whilst there is Peace.
Ni miaka mingi imepita tangia hiyo kasia itokee Rwanda na Burundi. Hao walioko ndani ya mipaka ya Tanzania wameshakuwa ndugu zetu na wanashare historia pamoja nasi kwamaana wameshaoa/olewa na kuzaa ndani ya mipaka yetu.Wakiwa Tanzania ni Wahangaza (Watusi + Wahutu wa Rwanda) na Waha (Watusi + Wahutu wa Burundi)
Japo pia kuna waha Asili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda baada ya kujifanya kwamba hajui chochote kuhusu matumizi ya silaha za kivita baadae angeibuka ghafla na kushirikiana na wale makomandoo saba na hatimaye yeye kuwaua mainterahamwe kadhaa ikiwemo kiongozi wao aliyekuwa anakaribia kufyatua kombora la RPG kwa kiongozi wa makomandoo wetu.Hatimaye nimecheka kwenye huu uzi,nimefikiria tukio kubwa la kusisimua kwa mujibu wa mtiririko wa hii simulizi, kwa kubashiri unafikiri angeweka tukio gani labda ?😀😀
Miaka hiyo 94 kuna dogo walipanga mtaani jirani ikatokea tukawa friends, basi vile ye mgeni ikawa siku naenda nae viwanja Siku coco Beach Pale mara ghafla kapagawa kaanza kuongea kilugha naona kafuata bonge la jiwe amtupie Jamaa (muhutu)Nina rafiki wa kitutsi,siku anamuona jamaa yetu flan mrundi(hutu),akatokea kumchukia ghafla bila hata ya kusema neno lolote,kichonishangaza zaidi na Yule hutu akawa hamsemi vizuri Yule tutsi.kumbuka hawajasemeshana toka wanakutana.sijui wanatambuana vipi?na hakuna aliyewatambulisha,just kuangaliana tu na chuki juu.rwanda imetulia kwa muda tu.
Kuna baadhi ya mambo hua classified sana ukiona mtu kayaacha ni vyema tumuache kumbuka wadau wa ubalozi ni kama watu wa vitengo
Asante mkuuYes ni mtutsi pure kabisa wa western Uganda.
Tutsi wakiwa Rwanda na Burundi ila wakiwa Uganda ni Hima/Ankole, DRC ni Banyamulenge ama Hema/Bagegere.
So ni damu moja hao
Nyerere alikuwa na wanajeshi wazuri sana! Sijui hawa wala vihepe wa sasa hivi tunaowaona huku mitaani.Mkuu komando mmoja ni sawa na askari wa kawaida 100. Najua utajiuliza kivipi haha