Kiminyio 01
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 1,389
- 2,025
Pole sana mpaka nimekuonea huruma ulisahau kulala na maombi mkuu?Nimesoma hii story nikapitiwa na usingizi nimeota naswakwa mtaani kisa nakata watu mapanga... mimi mwenyewe sikumbuki tukio la kukata mtu ila nimeona damu nyingi sana na jinsi watu wanavyoniogopa na kunisimulia navyotisha hata mimi mwenyewe namejiona adui.
Sasa kuna majamaa wakawa wananilia mingo wanikate na mimi nashukuru ndoto imeisha na usingizi umekata sasa niko hapa kusubiria toleo jingine. Ila sitasoma tena hii nightmare muda mchache kabla ya kulala
Wewe jamaa ongea yako yote unafikiria Wahutu hawana sapot. Akiondoka kagame mtakiona nyie Watutsi wote,bahati mbaya wote nyie watusi akili yenu yote mmeiweka kwa PK. Hakuna anaendaliwa hata kuja kuiweka vizuri siasa ya Rwanda baada ya PK. Kwenye swali lako baada ya Pk Wahutu watarudi madarakani. Wakirudi M7 hatakuwa salama. Kuanzia leo nawasapot WahutuMfano Rwanda after kagame akaingia muhutu Uganda itatishika na nn..why Museven aogope muhutu..,?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa ongea yako yote unafikiria Wahutu hawana sapot. Akiondoka kagame mtakiona nyie Watutsi wote,bahati mbaya wote nyie watusi akili yenu yote mmeiweka kwa PK. Hakuna anaendaliwa hata kuja kuiweka vizuri siasa ya Rwanda baada ya PK. Kwenye swali lako baada ya Pk Wahutu watarudi madarakani. Wakirudi M7 hatakuwa salama. Kuanzia leo nawasapot Wahutu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah thubutu! Nahama jfHauta amini siku utakayogundua kuwa huenda balozi ndiyo huyu bi faiza mnayemdhihaki hapa jukwaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa muonekano huo huyu ni mtutsi. Ila sio kwamba kila mtutsi anasapot siasa za PK za kuwaminya Wahutu. Wapo Watutsi wengine wana akili,wanaona mbele kwa hiyo wanahitaji maridhiano na mgawanyo sawa na Wahutu. Sio kama sasa huyu Pk analazimisha Wahutu waombe msamaha kwa mauji ya 94,wakati nao Wahutu walichinjwa.
😂😂😂Ila sie wabongo tuna roho za kwanini sana huyu mzee kajitolea kuelezea alichokiona tena bure humu JF ila kuna mijitu imejikita kumshawishi auze kitabu asiandike humu bila kujua labda huyu hana hata shida na hivyo viela vya kuuzia kitabu halafu ana uelewa wake mwenyewe anajua anachofanya , kama vipi tungeni nyie vitabu.
Kama nimekuelewa vileMkuu Museveni alidhamini kundi linaitwa RCD (ilipogawanyika) na UPC ili kulinda maslahi ya Uganda huko DRC.
Sasa kwenye congo war zote mbili Museveni naye alihusika kuchinja wahutu na faction zao huko kivu ya kaskazini hadi Ituri, na hata jamii ya watutsi huko Bunia ya wahema ilipovamiwa ni hao UPC ndio walienda kuwachinja walendu (wabantu hawa).
So FDLR/Hutu inamuona Museveni ni adui so ikipatikana serikali ya Hutu hapo Rwanda iko siku itatunza waasi wote wa UG ili kumng'oa M7.
Siasa za maziwa makuu ni complicated mnoo
PK....angewaozesha kwa lazima..wangekuja acha chuki zao...lakini hivi anafanya kuwapaisha zaidi tutsi..kuna siku atajuta!..anapalilia visasi vya milele...Hawa jamaa siku tu PK akija kujisahau akafanya mistake, nakwambia watawamaliza ndani ya siku moja.
Hivi hawa jamaa kwa sasa wanaoleana kweli?
Hii ni kama testmony tu.story zipo nyingi tu hata kwa survivor wa kinyarwanda.hela ilishapigwa kitambo na kina emaculee ilibagiza " left to tell" ." Virgin marry" ."our laddy from kibeho".pia yule kamanda wa UNAMIR ana kitabu chake. " shake hand with the devil" .muda umekwenda sana sasa.ukileta hizo mambo unamtafuta ubaya PK.hapendiii....[emoji857][emoji857][emoji857] Bado naiona pesa kwenye hii thread.. Mkuu Mungu akijalia uzima .. Na mipango ikampendeza, na mwisho kama wewe hautojali siku moja nitakutafuta.. Unless uwe haupo interested.. Tu make hii kitu iende Amazon.. Naamini kabisa pesa ipo hapa.. Trust me or not [emoji857][emoji857][emoji857]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu lile defender mzee ameniacha njia panda. Alimaanisha hao wanajeshi walikuwa wabongo au??Huyu PK aliandaliwa Tanzania na Mwalimu kisha alipigana vita ya Tanzania na Uganda akiwa TZ na akina Museveni. Baada ya Mu7 kuingia madarakani UG, PK ndio alikuwa mkuu wa Usalama UG.
Kumbuka huyo Bossless aliposema lile defender kalikuta mpakani mwa Burundi askari wamevaa kombat za TZ na vumbi hadi kopeni. Unadhani walikuwa wanafanya nini na eneo hilo muda ule lilidhibitiwa na askari gani. PK aliandaliwa kumtoa Habyarimana na Kabila aliandaliwa kumwondoa Mobutu. Ni stori ndefu anyway ila mkakati ulikuwa unaenda kwa awamu
Swali zuri. Na mimi nataka kujua hilo.
Ni kweli mkuu lakini kila kitu kilisha exist hapa duniani hapa nina maana kwamba kila kitu kilishafanyika lakini bado watu wanaendelea kufanya, mfano mzuri hapo tu umenitajia reference kama tatu hivi means kuna mtu alianza lakini akaja mwingine nae akafanya na mwingine tena akafanya...ĹHii ni kama testmony tu.story zipo nyingi tu hata kwa survivor wa kinyarwanda.hela ilishapigwa kitambo na kina emaculee ilibagiza " left to tell" ." Virgin marry" .our laddy from kibeho.pia yule kamanda wa UNAMIR ana kitabu chake.muda umekwenda sana sasa.ukileta hizo mambo unamtafuta ubaya PK.hapendiii....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wawili nawafaham wako bungeni kabisaa, mmoja ni mwanafunzi wangu yuko ubalozini na wawili wanafnya kazii wizara ya mambo ya ndani, kama ilivo mimi bibi na babu zetu ni wakimbizi wa kle genocide ya miaka ya 80Hv mnasema wanyarwanda wapo kwenye nyaxifa nyeti za kiserikali hapa bongoland huwa mnanipa wakati mgumu kuwajua ebu nipen hzo mnitoe kwenye dimbwi la kutumia kichwa.
Wanaosemaga number 1 yupo mie soon hoja ukiangalia height, history Wala haviendani japo ametokea mpakan
Huna unalofahamu kuhusu Uganda mkuu at least unge Google kabla hujaanza kuleta ujuaji wakati hufahamu lolote.Western Uganda unaijua au unaisikia 🤔🤔
Western ni uelekeo wa kuingia South Sudani.
Jamii ya watu huko sio Tutsi. Huko ni ukanda wa akina Okwi au yule mtangazaji wa VOA TSHAKA SALI.
Watu wa western Uganda wanapiga kizungu/ung'eng'e kuliko Mganda na ni weusi kuliko mkaa, sura ngumu kuliko Wahutu.
Kuna mwanamapinduzi anaitwa Rwegyima ajazungumzwa kabsa na watia nyama kwenye huu uziiiKagame alitokea Seal Team Six, ni kikosi Bora zaidi Marekani Cha makomandoo alikuwa huko mpaka muda mfupi kabla ya mapigano ya Rwanda kuanza.
Intellijensia ya kupindua nchi ilitengenezwa nje ya Afrika na hii RPF walikua chombo tu, ila kilichotokea wakati na muda mfupi baada ya uvamizi hakikuwa ndani ya plan.
.......Wamarekani walikuwa wanahitaji mshirika mpya baada ya kupoteza Kongo na Angola.
Bossless hapa kuna kitu hujanielewesha. Watumishi wa diplomatic missions waliruhusiwa kuondoka na kurejea kwenye mataifa yao.Soma vizuri kwanza stori ,mauaji haya yalifungwa kwenye box kwa siku 70 ,huku propoganda kali zikiendelea so viongozi wengi wa Rwanda walikuwa wana Kuja huku Tanzania kwenye mikitano ya upatanishi na waaasi watangaza Kuna amani tele ,kwanza Ilikuwa kutoka ndani ya Rwanda.
Ni ishu utapita wapi.kipindi hakuna social media wala nini waandishi wote kimyaa tangaza uone Cha mtema kuni hata hao bbc walikuwa wanatoa taarifa ambazo zilikuwa zakusadikika tu yani yalifichwa Sanaa.
Sent using Jamii Forums mobile app