Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Nimesoma hii story nikapitiwa na usingizi nimeota naswakwa mtaani kisa nakata watu mapanga... mimi mwenyewe sikumbuki tukio la kukata mtu ila nimeona damu nyingi sana na jinsi watu wanavyoniogopa na kunisimulia navyotisha hata mimi mwenyewe namejiona adui.

Sasa kuna majamaa wakawa wananilia mingo wanikate na mimi nashukuru ndoto imeisha na usingizi umekata sasa niko hapa kusubiria toleo jingine. Ila sitasoma tena hii nightmare muda mchache kabla ya kulala
Pole sana mpaka nimekuonea huruma ulisahau kulala na maombi mkuu?
 
Mfano Rwanda after kagame akaingia muhutu Uganda itatishika na nn..why Museven aogope muhutu..,?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa ongea yako yote unafikiria Wahutu hawana sapot. Akiondoka kagame mtakiona nyie Watutsi wote,bahati mbaya wote nyie watusi akili yenu yote mmeiweka kwa PK. Hakuna anaendaliwa hata kuja kuiweka vizuri siasa ya Rwanda baada ya PK. Kwenye swali lako baada ya Pk Wahutu watarudi madarakani. Wakirudi M7 hatakuwa salama. Kuanzia leo nawasapot Wahutu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi naona wahutu wamekandamizwa sana kwenye hii ishu
Wewe jamaa ongea yako yote unafikiria Wahutu hawana sapot. Akiondoka kagame mtakiona nyie Watutsi wote,bahati mbaya wote nyie watusi akili yenu yote mmeiweka kwa PK. Hakuna anaendaliwa hata kuja kuiweka vizuri siasa ya Rwanda baada ya PK. Kwenye swali lako baada ya Pk Wahutu watarudi madarakani. Wakirudi M7 hatakuwa salama. Kuanzia leo nawasapot Wahutu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1381067

Judge for urself!! Hutu or Tutsi
Kwa muonekano huo huyu ni mtutsi. Ila sio kwamba kila mtutsi anasapot siasa za PK za kuwaminya Wahutu. Wapo Watutsi wengine wana akili,wanaona mbele kwa hiyo wanahitaji maridhiano na mgawanyo sawa na Wahutu. Sio kama sasa huyu Pk analazimisha Wahutu waombe msamaha kwa mauji ya 94,wakati nao Wahutu walichinjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila sie wabongo tuna roho za kwanini sana huyu mzee kajitolea kuelezea alichokiona tena bure humu JF ila kuna mijitu imejikita kumshawishi auze kitabu asiandike humu bila kujua labda huyu hana hata shida na hivyo viela vya kuuzia kitabu halafu ana uelewa wake mwenyewe anajua anachofanya , kama vipi tungeni nyie vitabu.
😂😂😂
Afu vikitungwa huwa hawanunui
 
Mkuu Museveni alidhamini kundi linaitwa RCD (ilipogawanyika) na UPC ili kulinda maslahi ya Uganda huko DRC.

Sasa kwenye congo war zote mbili Museveni naye alihusika kuchinja wahutu na faction zao huko kivu ya kaskazini hadi Ituri, na hata jamii ya watutsi huko Bunia ya wahema ilipovamiwa ni hao UPC ndio walienda kuwachinja walendu (wabantu hawa).

So FDLR/Hutu inamuona Museveni ni adui so ikipatikana serikali ya Hutu hapo Rwanda iko siku itatunza waasi wote wa UG ili kumng'oa M7.

Siasa za maziwa makuu ni complicated mnoo
Kama nimekuelewa vile
 
Hawa jamaa siku tu PK akija kujisahau akafanya mistake, nakwambia watawamaliza ndani ya siku moja.

Hivi hawa jamaa kwa sasa wanaoleana kweli?
PK....angewaozesha kwa lazima..wangekuja acha chuki zao...lakini hivi anafanya kuwapaisha zaidi tutsi..kuna siku atajuta!..anapalilia visasi vya milele...
na mbaya zaidi makabila ni mawili tu!

Wakizaliana inabaki ubaguzi tu ila ile chuki ya kuuana inakwisha!

Karume aliona mbali...imebaki...chuki za chini chini tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ĺ
[emoji857][emoji857][emoji857] Bado naiona pesa kwenye hii thread.. Mkuu Mungu akijalia uzima .. Na mipango ikampendeza, na mwisho kama wewe hautojali siku moja nitakutafuta.. Unless uwe haupo interested.. Tu make hii kitu iende Amazon.. Naamini kabisa pesa ipo hapa.. Trust me or not [emoji857][emoji857][emoji857]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kama testmony tu.story zipo nyingi tu hata kwa survivor wa kinyarwanda.hela ilishapigwa kitambo na kina emaculee ilibagiza " left to tell" ." Virgin marry" ."our laddy from kibeho".pia yule kamanda wa UNAMIR ana kitabu chake. " shake hand with the devil" .muda umekwenda sana sasa.ukileta hizo mambo unamtafuta ubaya PK.hapendiii....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu PK aliandaliwa Tanzania na Mwalimu kisha alipigana vita ya Tanzania na Uganda akiwa TZ na akina Museveni. Baada ya Mu7 kuingia madarakani UG, PK ndio alikuwa mkuu wa Usalama UG.

Kumbuka huyo Bossless aliposema lile defender kalikuta mpakani mwa Burundi askari wamevaa kombat za TZ na vumbi hadi kopeni. Unadhani walikuwa wanafanya nini na eneo hilo muda ule lilidhibitiwa na askari gani. PK aliandaliwa kumtoa Habyarimana na Kabila aliandaliwa kumwondoa Mobutu. Ni stori ndefu anyway ila mkakati ulikuwa unaenda kwa awamu
Kuhusu lile defender mzee ameniacha njia panda. Alimaanisha hao wanajeshi walikuwa wabongo au??
 
ĹHii ni kama testmony tu.story zipo nyingi tu hata kwa survivor wa kinyarwanda.hela ilishapigwa kitambo na kina emaculee ilibagiza " left to tell" ." Virgin marry" .our laddy from kibeho.pia yule kamanda wa UNAMIR ana kitabu chake.muda umekwenda sana sasa.ukileta hizo mambo unamtafuta ubaya PK.hapendiii....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu lakini kila kitu kilisha exist hapa duniani hapa nina maana kwamba kila kitu kilishafanyika lakini bado watu wanaendelea kufanya, mfano mzuri hapo tu umenitajia reference kama tatu hivi means kuna mtu alianza lakini akaja mwingine nae akafanya na mwingine tena akafanya...

Uzuri na advantage yake hapa kila mtu anaongelea kile alichokiona yeye means same scenario but different taste au contents.. Hio issue ya PK ni jambo lingine sijajua kama anaweza kukutafuta huku bongo ili akupoteze,, if he can basi hii ndio ingekua changamoto ila sio hiyo ya kwanza.. There is no new thing in this world.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv mnasema wanyarwanda wapo kwenye nyaxifa nyeti za kiserikali hapa bongoland huwa mnanipa wakati mgumu kuwajua ebu nipen hzo mnitoe kwenye dimbwi la kutumia kichwa.

Wanaosemaga number 1 yupo mie soon hoja ukiangalia height, history Wala haviendani japo ametokea mpakan
Kuna wawili nawafaham wako bungeni kabisaa, mmoja ni mwanafunzi wangu yuko ubalozini na wawili wanafnya kazii wizara ya mambo ya ndani, kama ilivo mimi bibi na babu zetu ni wakimbizi wa kle genocide ya miaka ya 80

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Western Uganda unaijua au unaisikia 🤔🤔

Western ni uelekeo wa kuingia South Sudani.

Jamii ya watu huko sio Tutsi. Huko ni ukanda wa akina Okwi au yule mtangazaji wa VOA TSHAKA SALI.

Watu wa western Uganda wanapiga kizungu/ung'eng'e kuliko Mganda na ni weusi kuliko mkaa, sura ngumu kuliko Wahutu.
Huna unalofahamu kuhusu Uganda mkuu at least unge Google kabla hujaanza kuleta ujuaji wakati hufahamu lolote.

Hao kina Okwi ni kaskazini huko kwa Acholi kina Okello na Obote ila western ni makabila kama Ankole,bakiga,Bafumbira,bachwez,Bahema n.k na ndio huko Museveni na watutsi wengine wametokea.

Na sio hapo tu ukivuka border upande wa pili kuingia DRC unaingia Kivu ya kaskazini maeneo kama Bunia huko kuna jamii ya watutsi pia kama Bagegere,Banyamulenge na Bahema.

Kama hufahamu kitu uliza
 
Kagame alitokea Seal Team Six, ni kikosi Bora zaidi Marekani Cha makomandoo alikuwa huko mpaka muda mfupi kabla ya mapigano ya Rwanda kuanza.
Intellijensia ya kupindua nchi ilitengenezwa nje ya Afrika na hii RPF walikua chombo tu, ila kilichotokea wakati na muda mfupi baada ya uvamizi hakikuwa ndani ya plan.

.......Wamarekani walikuwa wanahitaji mshirika mpya baada ya kupoteza Kongo na Angola.
Kuna mwanamapinduzi anaitwa Rwegyima ajazungumzwa kabsa na watia nyama kwenye huu uziii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Genocide ya Rwanda ya 1994 isingetokea kama RPF ya Kagame/Rwigema wasingeanza uvamizi wao against serikali halali ya Habyarimana Juvenal kuanzia 1990 mpaka walipochukua nchi 1994. Mapigano kati ya wahutu/ interahamwe dhidi ya Tutsi/RPF yalikuwepo kwa muda mrefu tangu mwishoni mwa miaka ya 1980s ambapo wahutu walikua wakidefend legitimate govt yao kwa muda huo huku watutsi RPF chini ya Fred Gwisa Rwigema baadae Kagame wakiamini wao ndio wwnye haki ya kutawala Rwanda maana historically ma chief wote na wafalme wa Rwanda tangu 1700s kabla hata ya ukoloni wa wajerumani na wabelgiji walikua watutsi line ya Mwami Kigeli, Mutara , Karemera, Yuhi wafalme hawa wa kitutsi wametawala Rwanda wayback kuanzia 1600s mpaka mfalme wa Mwisho Kigeli VI aliyeondolewa madarakani mwaka 1961 , mwaka ambao Rwanda became a Republic with Hutu majority rule chini ya rais wa kihutu President Gregoire Kayibanda. Kuanzia mwaka 1962 watutsi wamekua wakistage guerilla warfare kutokea msituni walipokua uhamishoni mostly kutokea Uganda mpaka walipofanikiwa kuchukua tena madaraka baada ya Genocide July 1994.
Hivyo basi wahutu wasingewaua watutsi kama wao pia wasingeshambuliwa. Ilikua ni kama self defence. Ila kwa kuwa Kagame ndiye aliyeshinda vita ya 1994 na kwa support ya western powers na pamoja ya intelligence aliyokuwanayo PK pamoja skillfully propaganda mpaka leo mpaka kesho wahutu ndio wanaolaumiwa kwa genocide ya 1994. Na kwa sheria za leo hii za rwanda haiitwi genocide bali inaitwa ''genocide againsts Tutsis" na kama unapinga utaitwa hutu sympathizer au genocide denier na adhabu yake si chini ya miaka 10 jela kwa current laws za Rwanda. Yaani sio mauaji ya haraiki tu bali yanaitwa mauaji ya halaiki dhidi ya watutsi na uadhimishwa 1-7 April mwaka.

Kwa kumalizia tu Kagame ni agent / asset wa CIA / MI6 pamoja na Mossad. Alikuwa recruited Leavenworth, Kansas Marekani mnamo mwaka 1990. Yote yaliyotokea baada ya Mwaka 1990 mpaka Kagame anachukua nchi 1994, Congo war 1 1996 na Congo war ya pili 1998-1999 iliyopelekea kuuwawa kwa Rais Laurent Kabila Sr ikulu Kinshasa mwaka 1998, looting na vandalism ya precious minerals za Congo DRC Kama Gold, Cobalt, Tin, Coltan na uranium Congo chini ya Gen James Kabarebe na baadae mageneral waasi wenye asili ya Kitutsi akina Laurent Nkunda na Bosco Ntaganda, Yote haya yana baraka za USA na UK, maana Madini yote haya yanaelekezwa USA na yahitajika sana kama raw materials kwa ajili ya viwanda vya simu/laptops na electronics USA na baadhi kama uranium kwa ajili Atomic na nuclear bombs. Kipind cha cold war na baada yake marekani aliitaji ally ambae anaweza dhibiti madini ya Kongo yasiende USSR na pia waliitaji mtu ambae anaweza leta stability katika nchi za maziwa makuu na mtu huyo si mwingine zaidi ya mtu ya intelligence kubwa, strong, focused, keen to details, determined na mastermind wa military intelligence, wao wanamwita Pilato au Afande PK, General Paul Kagame

images (14).jpeg
images (13).jpeg
US_Africa5.JPG
images (8).jpeg
images (12).jpeg
images (4).jpeg
images (7).jpeg
images (11).jpeg
 
Soma vizuri kwanza stori ,mauaji haya yalifungwa kwenye box kwa siku 70 ,huku propoganda kali zikiendelea so viongozi wengi wa Rwanda walikuwa wana Kuja huku Tanzania kwenye mikitano ya upatanishi na waaasi watangaza Kuna amani tele ,kwanza Ilikuwa kutoka ndani ya Rwanda.

Ni ishu utapita wapi.kipindi hakuna social media wala nini waandishi wote kimyaa tangaza uone Cha mtema kuni hata hao bbc walikuwa wanatoa taarifa ambazo zilikuwa zakusadikika tu yani yalifichwa Sanaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bossless hapa kuna kitu hujanielewesha. Watumishi wa diplomatic missions waliruhusiwa kuondoka na kurejea kwenye mataifa yao.

Pili upo ushahidi kwamba kwa kiasi flani trucks za Tanzania zilizokuwa huko zilikuwa escorted kurudi Tanzania kwa msaada wa vikosi vya Ulinzi. Nasita kuamini kwamba inawezekana vipi drivers wa trucks na watumishi wa diplomatic missions warejeshwe huru wewe uachwe ukapitie Burundi.

Sambamba na hilo Burundi haikuwa option salama kwa wakimbizi kama unavyojaribu kutuaminisha. DRC na Tanzania ndio zilikuwa sehemu salama zaidi.
 
Back
Top Bottom