Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

mkuu wa majeshi yapi tena uyo, hapo nimepotezwa kidogo sijaelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mkuu kama unajua kuhusu usalama wa taifa utajua kuwa si kilA kitu unachokiona ni disclosed...

so hyo ni moja kat ya majib haswa unayopaswa kuyajua..
 
mkuu kama unajua kuhusu usalama wa taifa utajua kuwa si kilA kitu unachokiona ni disclosed...

so hyo ni moja kat ya majib haswa unayopaswa kuyajua..
Nilichopenda kwenye story yote ya huyu bwana ni personal account kwa jicho la mgeni that perspective made it interesting to me na nilijikuta jumamosi na jumapili yote nasoma kuanzia mwanzo hadi mwisho that is rare for me kufuatilia thread hivyo.

I wasnt disappointed either because he is a very good storyteller with much use of imagery unasoma kama vile na yeye unamuona na character zingine walivyokuwa wanapambana na hizo changamoto there are couple of established novelist haven’t reached the level of his art ukisoma vitabu vyao.

Lakini kuhusu nini kilichojiri lets not get carried away there are hundreds of journals, first hand interviews and books which provides different perspectives and the role of various stakeholders labda kinachouzi nchi iliyokuwa mstari wa mbele kwenye usuluhishi kama Tanzania wahusika did not bother to give their accounts kwa ivyo kwa wafuatiliaji utakutana na perspective za west on the whole saga na hakuna information isiyokuwepo.

Vilevile hakuna kilicho siri balozi kuokoa watu wake aliwezi kuwa swala la national security baada ya incident kupita kwanini umfiche heroin kama huyu wakati wenzake hao hakina ‘Ami Mpungwe’ ata kama sisi atutatumbui mchango wao S.A wamempa huyo mtu medal ya juu wanayoweza toa ya ushujaa ndani ya nchi yao kwa raia na amepokea recognition kibao za kimataifa kama Tanzania diplomat kwenye masuala ya Rwanda.

Mwisho kabisa kwa mtu aliyeenda shule kusoma kitu bila ya kutafuta credibility ya story yenyewe inaonesha huyo kwenye elimu alikuwa msindikizaji au mfumo wa elimu aliyopitia una utata na hakuna sababu ya kufundisha wanafunzi namna ya kuchambua credibility sources na pumba kwenye kufanya research.

Kama elimu airuhusu kumeza kila kitu na facts zinaonyesha atukuwa na balozi Rwanda wala Burundi kuanzia 1992 mpaka 1995 bila ya kutaja huyo balozi pamoja na uzuri wa maelezo yake na reality resembleness sijui kwako ila kwangu itabaki kuwa na elements za fictitious story.
 
Amesema mama huyo ana asili ya Zanzibar tukichukua jina Ame ni la kizanzibar pengine Ni huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kifupi suala la Rwanda, Tutsi and Hutu pamoja na nchi za Burundi,DRC NA Rwanda yenyewe kuna mambo mengi sana. Kuna conspiracy theories nyingi.

Ki ukiweza kutafiti mambo ya Rwanda na kuweza kuelewa kila kitu, ki ukweli unakuwa unastahili kupata shahada.
 
Well said... ila kuhusu kukutafuta...unamjua pk vizuri? Ni myambilisi kinyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji1690][emoji1690]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nilipekuwa mpaka oxford holaaa..nitatafuta testmony holaa.google holaa ..wizara ya mambo ya nje holaa.nikauliza kwa proffesor mmoja hivi ni diplomat aliyebobea holaaa..nikabaki[emoji2369]?????....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I concur.. Ila one thing is certain mtoa mada amewahi kuishi Rwanda maana kwa jins anavyotofautisha haiba, tabia na tofauti kati ya wahutu na watutsi ni pasi na shaka kwamba amewah kuishi Rwanda. Anatoa vivid naration ya yaliyojiri na yeye akiwa part ya yaliyotokea since 1989 mpaka 1994 ambayo siwezi pinga most of the details zinareflect kiukweli yaliyotokea ambayo ni good thing kushare na kutoa mwangaza kwa waliokuwa hawafaham yaliyojiri pia kutoa precaution kuhusu madhara ya ukabila na utengano wa kikanda hasa Tanzania inapoelekea katika uchaguzi mkuu 2020... Kiukweli ukabila ni mbaya sana na athari kubwa sana panapoibuka Civil/tribal wars. History ni mwalimu mzur kuhusu madhara yake tunapoangazia vita mbalimbali za kikabila zilizowah tokea duniani

Lakin pia niseme kuna discrepancies nyingi katika story yake, siondoi credibility ya maudhui ya story hii ila niseme tu;

1. Hakuna province mbili katika nchi ya Rwanda zinazotenganishwa na zaid ya km 150 kama anavyosimulia mtoa mada kwamba wakati wana evacuate toka kigali baada ya vita kuanza kuna kipind walisafiri km 150 toka province moja mpaka nyingine, hii si kweli. Rwanda ni nchi ndogo sana hakua mkoa unaotenganishwa na mkoa mwingine kwa zaidi ya km 150

2. Anasema walitoka province ya butare then wakaenda province ya Gitarama siku iliyofuata then wakafika border ya burundi the next day. Si kweli maana ukitoka Kigali unaenda province ya Gitarama then ndo unaenda Butare(Huye) na si vice versa ndo unafika Border ya Rwanda na burundi. Kwa route hii kutoka kigali mpaka border ya burundi ni only 154km.

3. Kama waliondoka Kigali kwenda border ya Burundi kuna short route ya kupitia Kinazi then Nyamata mpaka Border ya Burundi. Njia hii ni rougly 36km kutoka Kigali unakua umefika border ya Burundi. Ndo njia ya haraka zaidi, Why hawakupita njia hii sijui.

4. Furthermore kutoka kigali kuja Tanzania directly ilikua rahisi zaidi kupitia border ya Rusumo. Ambapo route hii ya kutoka Kigali mpaka rusumo ni umbali wa 156km tu.
Why walienda bujumbura kwanza ndo waje Tanzania mtoa mada anaweza fafanua zaidi.

5. Pia kwa nini aliacha a very lucrative, noble diplomatic job na kuturn into bussiness bila kufukuzwa kazi na kuturn into bussiness za chuma chakavu Zambia itabaki kuwa mystery kwangu. Uache kazi inayolipa vizur na yenye future na heshima ubalozini uende uza vyuma chakavu zambia inatatanisha. Maybe anaweza fafanua zaidi.

6. Evacuation ya Kutoka Kigali kwenda mipaka yote iwe Uganda, Tz, Burundi au ata Goma DRC kwa gari haipaswi kuchukua more than 1 day maana kigali ni katikati kabisa ya nchi. Na umbali wa kutoka kigali kwenda mipaka yote ya Ug,Tz, DRC, Burundi haizidi km 170. Ambayo kama ni kwa hapa Tanzania ni umbali wa kutoka Dar city centre mpaka Morogoro na morogoro hufiki, Rwanda ni nchi ndogo sana.

Yapo mengi ila kwa sasa ni hayo tu.
 
It’s a believable story kwa sababu kuna mambo mengi aliyoelezea unaona kama kuna vinasaba vya mtu alieishi huko kipindi icho na binafsi nimepata ideas za nini kilianza kutokea siku mwanzo kupitia kwake tatizo chumvi nyingi kwenye kuchangamsha genge.

Lakini huyu mtu anakipaji cha uandishi hapo ndipo alipotunasa wengi kutaka kuona nini kilimkuta mbele na alichomoka vipi.
 
Story ni ya kweli ila ameweka codes. Inawezekana walipitia Rusumo ila kaamua kuweka miwani tusimjue ni nani. Yawezekana balozi alikuwa Me, au si mzanzibari. Story yake itabaki kuwa the best.
Hector pia ni mzuri kwenye historia ya Congo nahisi atatumegea mengi yanayohusu Chisekedi.
 
Na Chisekedi anaungwa mkono na PK? Au historia imeishia kwa Joseph Kabila?
 
Kuna mwanamapinduzi anaitwa Rwegyima ajazungumzwa kabsa na watia nyama kwenye huu uziii

Sent using Jamii Forums mobile app
Fred Rwigema, hicho kichwa achana nacho alizimwa mapema tu, na ndio alikua muanzisha harakati za kuchukua dola miaka ile Rwanda.
Huyo ni che Guevara mwafrika.
Kashachapana sana Angola huko na Savimbi, Eduardo dos Santos, akiwa kwa Savimbi, akitokea Kampala.
Siku kuongoza mapinduzi Kigali wenzake haohao anawaongoza wakamlamba za kisogoni
 
Hadithia yakwako wakati wa vita mnaweza kwenda na kurudi au kupindapinda njia za uchochoro kutafuta safe way nyie ku...ma msiingilie ati uongo hadithieni yenu kasema kuna mengi kasahau au aweza kuchanganya majina unalazimisha???
Si sema yako sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Mkuu uchambuzi swafi.

Hivi unaweza kujua hali ikoje vyuo vikuu huko au taasisi za elimu na Idara za serikali mgawanyo ukoje au wamejaa Tutsi tu.

Ile Choir Kwetu pazuri ni mix au tutsi tupu.
Nitashukuri kama utaweza kifafanua hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…