Genocide ya Rwanda ya 1994 isingetokea kama RPF ya Kagame/Rwigema wasingeanza uvamizi wao against serikali halali ya Habyarimana Juvenal kuanzia 1990 mpaka walipochukua nchi 1994. Mapigano kati ya wahutu/ interahamwe dhidi ya Tutsi/RPF yalikuwepo kwa muda mrefu tangu mwishoni mwa miaka ya 1980s ambapo wahutu walikua wakidefend legitimate govt yao kwa muda huo huku watutsi RPF chini ya Fred Gwisa Rwigema baadae Kagame wakiamini wao ndio wwnye haki ya kutawala Rwanda maana historically ma chief wote na wafalme wa Rwanda tangu 1700s kabla hata ya ukoloni wa wajerumani na wabelgiji walikua watutsi line ya Mwami Kigeli, Mutara , Karemera, Yuhi wafalme hawa wa kitutsi wametawala Rwanda wayback kuanzia 1600s mpaka mfalme wa Mwisho Kigeli VI aliyeondolewa madarakani mwaka 1961 , mwaka ambao Rwanda became a Republic with Hutu majority rule chini ya rais wa kihutu President Gregoire Kayibanda. Kuanzia mwaka 1962 watutsi wamekua wakistage guerilla warfare kutokea msituni walipokua uhamishoni mostly kutokea Uganda mpaka walipofanikiwa kuchukua tena madaraka baada ya Genocide July 1994.
Hivyo basi wahutu wasingewaua watutsi kama wao pia wasingeshambuliwa. Ilikua ni kama self defence. Ila kwa kuwa Kagame ndiye aliyeshinda vita ya 1994 na kwa support ya western powers na pamoja ya intelligence aliyokuwanayo PK pamoja skillfully propaganda mpaka leo mpaka kesho wahutu ndio wanaolaumiwa kwa genocide ya 1994. Na kwa sheria za leo hii za rwanda haiitwi genocide bali inaitwa ''genocide againsts Tutsis" na kama unapinga utaitwa hutu sympathizer au genocide denier na adhabu yake si chini ya miaka 10 jela kwa current laws za Rwanda. Yaani sio mauaji ya haraiki tu bali yanaitwa mauaji ya halaiki dhidi ya watutsi na uadhimishwa 1-7 April mwaka.
Kwa kumalizia tu Kagame ni agent / asset wa CIA / MI6 pamoja na Mossad. Alikuwa recruited Leavenworth, Kansas Marekani mnamo mwaka 1990. Yote yaliyotokea baada ya Mwaka 1990 mpaka Kagame anachukua nchi 1994, Congo war 1 1996 na Congo war ya pili 1998-1999 iliyopelekea kuuwawa kwa Rais Laurent Kabila Sr ikulu Kinshasa mwaka 1998, looting na vandalism ya precious minerals za Congo DRC Kama Gold, Cobalt, Tin, Coltan na uranium Congo chini ya Gen James Kabarebe na baadae mageneral waasi wenye asili ya Kitutsi akina Laurent Nkunda na Bosco Ntaganda, Yote haya yana baraka za USA na UK, maana Madini yote haya yanaelekezwa USA na yahitajika sana kama raw materials kwa ajili ya viwanda vya simu/laptops na electronics USA na baadhi kama uranium kwa ajili Atomic na nuclear bombs. Kipind cha cold war na baada yake marekani aliitaji ally ambae anaweza dhibiti madini ya Kongo yasiende USSR na pia waliitaji mtu ambae anaweza leta stability katika nchi za maziwa makuu na mtu huyo si mwingine zaidi ya mtu ya intelligence kubwa, strong, focused, keen to details, determined na mastermind wa military intelligence, wao wanamwita Pilato au Afande PK, General Paul Kagame
View attachment 1383575View attachment 1383576View attachment 1383577View attachment 1383578View attachment 1383580View attachment 1383581View attachment 1383582View attachment 1383583