Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Mkuu Bossless kabla ya kuendelea na stori yako ya biashara ya chuma uligusia mwanzoni kuwa utakuja kutumbia kuhusu vikosi vya UNAMIR. Tumalizie hicho kipande bos
 
Sawa kiongozi hapo nimekusoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wale wasichana aliokabidhiwa aliwaacha wapi na mpaka Leo wanafanya nini isijekuwa mmoja ndo first lady wa seneta wa mkoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine waliohudhuria walikuwa Waziri Mkuu Uwilingiyimana Agatha na Twagiramungu Faustin ambaye angekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Mpito.

Pia alikuwepo Mkuu wa UNAMIR, Jacques Roger BOOH-BOOH, na Balozi Dorah Mbezi wa Tanzania, ambaye alimwakilisha mpatanishi katika mazungumzo ya amani ya Arusha.

Mpatanishi katika makubaliano hayo alikuwa Rais Ally Hassan MWINYI. Pia alikuwepo Joe FELLI, Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika (OAU)
 
994: Joseph Kavaruganda alijua kuwa UN haitawasaidia wanyarwanda

Wakili, Joseph Kavaruganda, ambaye alikuwa Rais wa Mahakama ya Katiba, na Agathe Uwilingiyimana, Waziri Mkuu, wote waliuawa Aprili 7, 1994.

Siku 100 zilizopita waliiambia Umoja wa Mataifa kwamba ikiwa hawataingilia kati ili kuwaondoa wauaji, kutakuwa na maombolezo nchini Rwanda. Hasa, Kavaruganda alikutana na mkuu wa zamani wa UNAMIR, Jacques Roger Booh-Booh katika nyumba yake karibu na Hoteli Umubano-Merdien.

Katika mahojiano na Jacques Roger Booh-Booh ilikuwa ni kuonesha UN kwamba kucheleweshwa kwa uanzishwaji wa utawala wa mpito kunaweza kuwa na athari hasi kwa jinsi alivyotazama vitu nchini wakati huo. Kavaruganda, kama maafisa wengine waandamizi katika safu yake, alikuwa amepewa askari wa UNAMIR kumlinda. Walakini, hiyo haikumzuia kuhisi kwamba usalama wake wa kibinafsi hautumiki kwake.

Katika mahojiano ya kipekee na mtafiti Tom Ndahiro, mwandishi wa habari Venuste Nshimiyimana alimweleza kwamba Kavaruganda hakuwatuhumu wanajeshi wa UNAMIR kwa sababu hawawezi "kuzuia ugonjwa". Alisisitiza kwamba kukiri kwake kulipatikana kupitia kuteswa, na kwamba kukiri kwake kulipatikana kupitia kuteswa. Hakuwa na makosa, Kavarugamda aliuawa na UNAMIR ili kumlinda.

Kavaruganda alimweleza Jacques Roger Booh-Booh kuwa ameruka mara kadhaa, na kuendelea kupiga kura kwa wafuasi wa Rais Habyarimana. Mwingine akajibu kuwa hakuwa na uwezo wa kuona ikiwa anachokuwa akisema ni kweli.

Kwa maana, Kavaruganda alimweleza kiongozi wa UNAMIR kwamba "ikiwa atakubali kulinda usalama wake na kumuunga mkono", mnamo Februari 1994, atasimamia sherehe ya kuapishwa ya Waziri Mkuu Agathe Uwilingiyimana, kwa kushirikiana na Twagiramungu Faustin. kuongoza serikali ya mpito iliyoanguka.
Mapema mwezi huo, Rais Habyarimana angeenda Cote d'Ivoire kwenda kumzika Rais wa zamani Felix Houphouet Boigny. Maswala ya wakili yalikuwa na haki kwa sababu hakuna siku iliyokuwa imepita huko Kigali bila ya kulipuka mabomu 15.

Kwa kuongezea, mnamo Januari 5, washiriki wa CDR walimshambulia Balozi wa Tanzania Dorah Mbezi kwa tuhuma za kukiuka Hati za Amani za Arusha.
 
Ahsante mkuu kwa tafsiri hiyo.
 
duh! utanipofua macho... Anyway, ulakoze chane.

Balozi Dorah Mbezi nimempata kwa kuchungulia kwenye msitu wa maandishi ya Kinyarwanda
 
Pole Sana Mkuu kwa uliyoyapitia, stori tamu Sana nilikuwa nasoma huku nikivuta taswira ya Action Movie.
Endeleza stori Mzee wetu maana huwezi kumfurahisha mwanadamu kwa lolote lile. Ukikimbia ataongea Sana kwanini unakimbia atataka utembee na ukitembea atataka ukimbie, ukikaa atataka usimame, ukisimama atataka Tena usimame, ukilala ataongea tu ili uamke na ukiamka bado atalala.
Chukulia picha ya Gaddaf, aliwapa wananchi wake karibu kila kitu lakini haohao ndo walomuua.
 
Mwaka 1989 usiwe mbulula
Kimbari ni 1994
Hapo umejiona mjanja kumuita babu mbulula wakati umeandika vitu vya ajabu.
Soma uelewe, kama haukumuelewa mleta mda sio shida lakini hadi unafikia hapa hukusoma ufafanuzi wake na wa wadau wengine basi wewe ni sifuri kabisa.

Umeambiwa yeye kaanza kusimulia toka alivyoa anza kazi ubalozini mwaka 1989.
Hata hivyo hivyo vita ilianza miaka ya 1950 huko ikiwa inatokea vurugu inatulia kisha inarudi tena, kufikia mwaka 1990 mambo yakaanza kushika kasi sana na mwaka 1994 ndio ikalipuka vita kamili na machafuko ya kutisha (all out war) , ndio ile kimbari (genocide) sasa..
 
Mtoa mada....njoo ufafanue hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetazama suala tu linalohusu mambo yanayohusu watuhumiwa

Kuna mambo ya kipropaganda ikiwa walidanganya au walisema ukweli huwa wanatoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna baadhi ya matukio au nyaraka haziwezi kuwa declassified mpaka wahusika fulani wafe.
Sio nyaraka zote ukomo wa kuwa classified ni miaka 20.

Kuna nyingine unaruhusiwa kusema lakini usiweke majina au utambulisho halisi wa wahusika.
 
Hakusema alikimbilia Burundi peke yake...la hasha, ila alisema msafara mzima wa watumishi wa Ubalozi na Balozi mwenyewe walisafiri kutoka Rwanda, kupitia Burundi ndo waingie Tz...Anasema ingawa ni roote ndefu ila nadhani waliona ina usalama zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani uliposema umeshawaka akiliyangu sijui ikoje! imehamia kwingine kabisa. Samahani lakini kila mtu na uelewa wake.
Ninavyopenda story hapa nimeshawaka... leta vitu Mkuu.
Halafu hii tabia ya watu kuvamia story na kukashifu kuwa ni uongo, ya nini? Kama unaona story ni ya uongo si uachane nayo?
Ustaarabu ni jambo la msingi linalowashinda wengi, hakika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hivi umejiuliza kwanini huyu jamaa amegoma kuweka jina la huyo balozi mwanamama?
Je, haiwezekani huyo mama alikuwa afisa wa ubalozi anae kaimu nafasi kwa shughuli na wakati maalum?

Huoni sababu ya mleta mada kuficha ndio imepelekea hata kwenye taarifa zote rasmi kama ulizoweka wameficha kwa makusudi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…