Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Wee jamaa nimechekaa kinomaa....eti "ambao hawaungi mkono juhudi"
 
Bado sijaona ushahidi wa kuwa na ubalozi Rwanda.

From the quotation huyo mama anatwaja kama mwakilishi wa Tanzania kwa Rwanda in the settlement table.

Na hizo nakala wanazoleta za kinyarwanda ukifanya google translation kwa kizungu unaona upande wa Hutu walikuwa awajaridhika nae.

Binafsi I don’t want to engage kwenye angle za kuondoa credibility ya story yote. Mtu aje na tangible evidence which is verifiable na credible source ya serikari ya Tanzania watu tuongezee chumvi huko mbele ya safari kuhusu ushujaa wa huyo mama.
 
Ubalozi ulikuwepo kabla ya 2000, kabla ya huyo mama alikuwepo balozi anaitwa Mbago, kabla yake sijui.

Sent using Jamii Forums mobile app


Hiko ndicho kinachotokea kwenye hiyo website ya serikari wewe weka jina la balozi wanakuletea na vituo vyake vyote vya kazi.

Mbago alikuwa Russia tu ajafanya kazi sehemu nyingine; unless as a special envoy baadae kama huyo mama inavyoonekana na sidhani kama wamejumuisha hao.
 
Either way, she was an ambassador.
Na alikuwa kwenye kituo chake cha kazi Rwanda akiwa na hadhi ya ubalozi wakati wa matukio yaliyomo kwenye simulizi hii.
Kwa hivyo Bossless yupo sahihi na hakuongeza chumvi kunogesha simulizi.
 
Ii soma peke ako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Either way, she was an ambassador.
Na alikuwa kwenye kituo chake cha kazi Rwanda akiwa na hadhi ya ubalozi wakati wa matukio yaliyomo kwenye simulizi hii.
Kwa hivyo Bossless yupo sahihi na hakuongeza chumvi kunogesha simuizi.
Kama nilivyowaambia na wengine kila mtu ana uhuru wa kuamua.
 
Diplomat aondoke aache raia wake ni ujinga hata ungekua ww usingefanya huo ujinga. Jiongeze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Member mwingine mtu mzima mwenyeji Rwanda anaitwa Mibas na alikuwa anaenda Rwanda miaka hiyo yanatokea hayo mauaji alisema humuhumu kwenye huuhuu uzi eneo ambalo ubalozi ulokuwepo msianzishe ubishi usio na kichwa wala miguu


Na pia kuna dereva wa malori miaka ya story hii ambae anasema alikuwa anapeleka mizigo huko Rwanda kipindi hicho hicho (1900's) nimesahau ID name yake ameongelea humuhumu kwenye huuhuu uzi kuhusu huo ubalozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo ujue huyo balozi wa tz nchini Rwanda alikuwa ni barozi wa kimikakati ndiyo maana alikuwa anausika na upatanishi pia kunawatu wanasema kwanini alichelewa kuondolewa Rwanda hapo jibu ni jepesi tz ndiyo ilikuwa inajukumu la upatanishi hivyo nikama nahodha wa meli unatakiwa kuwa wa mwisho kabisa kutoka melini kutokana na jukumu la cheo chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unazungumzia uislam wa Rwanda, Tanzania au duniani kote?
Kule Zanzibar waislam wanabaguana sababu ya siasa, ethnic (upemba uarabu na uunguja ubantu).
Mashariki ya kati wanauwana kati ya waislam wa Shia na wa Sunni.

Mkuu pitia upya taarifa zako.
 
Story siyo ya uongo ubalozi wa kimkakati wa tz nchini Rwanda alikuwa anawakilisha tume ya usuluisha huo mgogoro sababu ya kuto kupitia tz moja kwa moja inategemea upepo wa vita ,kitendo cha tz kufunga mpaka inaonyesha kulikuwa na majeshi yanapigana upande wa Rwanda unao pakana na tz ,pia inaonyesha umeshindwa kujua uzito wa mauaji ya Rwanda tatizo la usalama wa watz na balozi wetu alikuwa kwa majeshi rasmi ya tusi na hutu tatuzo lilikuwa kwa RAIA wenye siraha hasa hasa Hutu walipewa siraha ovyo ovyo za kila aina hao hawatambui balozi wala mzungu nikama majambazi tu ,ndiyo maana mleta mada alisimulia wahutu waliovamia ubalozi na kutaka kuua tusi walio kimbilia ubalozini kwetu lakini wanajeshi wa Hutu walikuja baadae pamoja na defenda iliyokuwa na mjemba7 hao masoja wa kuhutu waliona Watusi wapo ubalozini ila awakufanya chochote ndiyo ujue tatizo lilikuwa kwa magenge ya kihutu na tusi mitaani na majiani ,hata alipo sema defenda ilishambulia darajani na kuua ujue iliua RAIA wenye siraha maana Hutu soja na tusi soja awakuwa na tatizo na msafala wa tz ndiyo maana mwanzo wa safari walisindikizwa na Hutu soja na mwisho wa safari walisindikizwa na tusi soja
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndicho kilicho fanyika ndiyo maana alikuwa wa mwisho kuondoka Rwanda kutokana na kazi ya upatanishi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye umbali au ukubwa kati ya kabila na kabila sijaafiki kama unasaidia kuzuia vita ya kikabila.
DRC ukichunguza sana mgogoro pamoja ya kuchochewa na mabepari na wakomunisti lakini kulichochewa na ukabila pia.

Kabila la Lumumba na Mobutu na Kasabavu ilikuwa changamoto, kuna siku Kasabavu alizuiwa kushuka kwenye ndege jimboni Katanga kama sikosei ambako ndio kwa Lumumba.
 
Watu kama nyinyi ni vigumu kuelewa huyo alikuwa barozi wa kimikakati kutokana na hali ya mambo Rwanda kwenye hiyo miaka na jukumu la tz kuwa mpatanishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…