Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Hutu walikuwa wanapigana vita mbili.jeshi lilijikita kupigana na waasi kina kagame..walibaki wanajeshi wachache wakiungana na interahamwe kupigana vita ya ndani ya kuua raia wote wa kitutsi na kihutu ambao hawaungi mkono juhudi .
Sasa ikatokea vita ya kijeshi .waasi walikuwa vizuri wakawashinda jeshi la rwanda wakafanikiwa kuingia ndani.ikapigwa ya ndani wakashinda tena.interahamwe wakakosa sapoti ya jeshi na hawakuwa na silaha za kisasa.pia waliopunguzwa sana .wakasilimu amri wakakimbilia congo.tanzania.na wengine walijichanganya na raia wema kwenye makambi ya wakimbizi.maofisa wa jeshi la rwanda nao walikimbia nchi.ndio chanzo cha kagame kuwa na nguvu.kwasababu alishinda vita.kwahiyo kuna wahutu wengi interahamwe nje ya rwanda ambao wanatamani sana kurudi rwanda lakini wanamuogopa kagame.ndio maana tunahisi siku kagame akipoteza power.hawa wahutu wakirudi wanakiwasha tena.safari hii watawachoma mishikaki kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wee jamaa nimechekaa kinomaa....eti "ambao hawaungi mkono juhudi"
 
Huyo Mama aliteuliwa na Mwinyi kama sio 1988 ni 89 kama balozi wa Tz nchini Rwanda. Ila alirudishwa Tz kama sikosei 1993 au muda fulani kabla ya machafuko. Sasa mama anayeongelewa aliongoza msafara wa WaTz wakati wa machafuko sijui alikuwa nani, huyu alisharudi Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado sijaona ushahidi wa kuwa na ubalozi Rwanda.

From the quotation huyo mama anatwaja kama mwakilishi wa Tanzania kwa Rwanda in the settlement table.

Na hizo nakala wanazoleta za kinyarwanda ukifanya google translation kwa kizungu unaona upande wa Hutu walikuwa awajaridhika nae.

Binafsi I don’t want to engage kwenye angle za kuondoa credibility ya story yote. Mtu aje na tangible evidence which is verifiable na credible source ya serikari ya Tanzania watu tuongezee chumvi huko mbele ya safari kuhusu ushujaa wa huyo mama.
 
Ubalozi ulikuwepo kabla ya 2000, kabla ya huyo mama alikuwepo balozi anaitwa Mbago, kabla yake sijui.

Sent using Jamii Forums mobile app
21F3AFD2-C30C-42CA-98AA-FEE3923020CD.jpeg


Hiko ndicho kinachotokea kwenye hiyo website ya serikari wewe weka jina la balozi wanakuletea na vituo vyake vyote vya kazi.

Mbago alikuwa Russia tu ajafanya kazi sehemu nyingine; unless as a special envoy baadae kama huyo mama inavyoonekana na sidhani kama wamejumuisha hao.
 
Kuna mabalozi wa aina mbili
1 balozi anaeteuliwa kuiwakilisha nchi mahala fulani na kuishi kwenye hiyo nchi husika
2 balozi anaeteuliwa kusimama kama mwakilishi wa interest za nchi yake sehemu ambazo hazina ofisi pia.

Under the circumstances inawezekana huyo mama aliteuliwa (as a special envoy) kutokana na Tanzania kuitaji mwakilishi katika kipindi ambacho wanashawishi pande mbili ziweke silaha chini na namna ya kurudisha wakimbizi.

Huyu mama ni balozi yupi?
Either way, she was an ambassador.
Na alikuwa kwenye kituo chake cha kazi Rwanda akiwa na hadhi ya ubalozi wakati wa matukio yaliyomo kwenye simulizi hii.
Kwa hivyo Bossless yupo sahihi na hakuongeza chumvi kunogesha simulizi.
 
Ii soma peke ako
1994: Joseph Kavaruganda yari azi ko ingabo za Loni zitazatabara abanyarwanda

Umunyamategeko, Joseph Kavaruganda wari Perezida w’Urukiko rurinda ubusugire bw’itegeko nshinga, na Agathe Uwilingiyimana wari Minisitiri w’Intebe, bombi bishwe ku itariki ya 7 Mata 1994.

Hari hashize iminsi 100 babwiye umuryango w’abibumbye ko nibadatabara ngo bambure abicanyi intwaro, mu Rwanda hazacura imiborogo. By’umwihariko Kavaruganda yabonanye n’uwari ukuriye MINUAR, Jacques Roger Booh-Booh, mu nzu yari atuyemo hafi ya Hotel Umubano-Merdien.

Mu kiganiro bagiranye na Jacques Roger Booh-Booh cyari icyo kwereka LONI ko gutinda gushyirwaho kw’inzego z’ubutegetsi bw’inzibacyuho bizagira ingaruka mbi ukurikije uko yabonaga ibintu mu gihugu icyo gihe. Kavaruganda, kimwe n’abandi bayobozi bakuru bari mu rwego rwe, yari yarahawe abasirikare na MINUAR bamurinda. Ariko, ibyo ntabwo byamubujije kumva ko umutekano we ku giti cye ntacyo wamumarira.

Mu kiganiro cyihariye Umunyamakuru Venuste Nshimiyimana yigeze kugirana n’ Umushakatsi Tom Ndahiro yamubwiye ko Kavaruganda atashiraga ingabo za MINUAR amakenga kubera ko zitabashaga “kubuza urwaje”. Ngo yavugaga ko kurindwa nazo “ari nko kurindwa n’imishashara ihura n’izuba igashonga.” Ibyo yavugaga ntiyibeshye, Kavarugamda yishwe MINUAR yitwa ngo iramurinze.

Kavaruganda yabwiye Jacques Roger Booh-Booh, ko yarusimbutse kenshi, akagenda ashyira mu majwi abambari ba Prezida Habyarimana. Undi amusubiza ko nta bushobozi yari afite bwo kureba niba ibyo avuga ari byo.

Icy’ingenzi muri icyo kiganiro ni uko Kavaruganda yabwiye umuyobozi wa MINUAR ko “iramutse yemeye kurinda umutekano we, ikamushyigikira”, muri Gashyantare 1994, yayobora umuhango wo kurahiza abaministiri n’abadepite batanzwe na Minisitiri w’intebe Agathe Uwilingiyimana, afatanije na Twagiramungu Faustin wari kuyobora guverinoma y’inzibacyuho yaguye.
Muri uko kwezi, Perezida Habyarimana yari kuba yagiye muri Cote d’Ivoire mu muhango wo guhamba uwahoze ayobora icyo gihugu witwa Felix Houphouet Boigny. Impungenge uwo mucamamaza yari afite zari zifite ishingiro kubera ko nta munsi wahitaga i Kigali hadaturitse nibura grenade 15.

Ikindi ni uko ku itariki ya 5 Mutarama, abayoboke b’ishyaka CDR bateye ambasaderi wa Tanzania, witwa Dorah Mbezi bamuziza ko ngo akabya gushyigikira amasezerano y’amahoro ya Arusha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Either way, she was an ambassador.
Na alikuwa kwenye kituo chake cha kazi Rwanda akiwa na hadhi ya ubalozi wakati wa matukio yaliyomo kwenye simulizi hii.
Kwa hivyo Bossless yupo sahihi na hakuongeza chumvi kunogesha simuizi.
Kama nilivyowaambia na wengine kila mtu ana uhuru wa kuamua.
 
Huo ni uongo. Ndio maana nimemuuliza maksudi Serikali iliplay role gani kuhakiki Usalama wao. Wakati Rwanda imechafuka vikosi vya Usalama Tanzania vilikuwa Rusumo kuimarisha Ulinzi.

Ambacho hakiadd up ni inawezekana vipi trucks zilikuwa escorted back kwa Ulinzi, Balozi akatangetange Burundi? Pili Diplomats wengi hawakuguswa na waliondoka kwa Ndege, Magari etc. Wetu kwa nini waondoke kwa kujifichaficha?

Kama unaelewa jografia ya Rwanda utaona kuna walakini kwenye Stori hii.
Diplomat aondoke aache raia wake ni ujinga hata ungekua ww usingefanya huo ujinga. Jiongeze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado sijaona ushahidi wa kuwa na ubalozi Rwanda.

From the quotation huyo mama anatwaja kama mwakilishi wa Tanzania kwa Rwanda in the settlement table.

Na hizo nakala wanazoleta za kinyarwanda ukifanya google translation kwa kizungu unaona upande wa Hutu walikuwa awajaridhika nae.

Binafsi I don’t want to engage kwenye angle za kuondoa credibility ya story yote. Mtu aje na tangible evidence which is verifiable na credible source ya serikari ya Tanzania watu tuongezee chumvi huko mbele ya safari kuhusu ushujaa wa huyo mama.
Kuna Member mwingine mtu mzima mwenyeji Rwanda anaitwa Mibas na alikuwa anaenda Rwanda miaka hiyo yanatokea hayo mauaji alisema humuhumu kwenye huuhuu uzi eneo ambalo ubalozi ulokuwepo msianzishe ubishi usio na kichwa wala miguu


Na pia kuna dereva wa malori miaka ya story hii ambae anasema alikuwa anapeleka mizigo huko Rwanda kipindi hicho hicho (1900's) nimesahau ID name yake ameongelea humuhumu kwenye huuhuu uzi kuhusu huo ubalozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa kwenye harakati za kunogesha story, lakini kuna shule nzuri kwenye story yake overall.

Mie sipingi kila kitu ingawa kuna fibs za hapa na pale na akithibitishwa balozi au hata kulikuwa na ubalozi naweza imeza yote; bila ya ivyo I reserve some percentages for fiction.

Huyo Dora Mbezi waliomleta bado atokei ukitafuta unapewa Dora Msechu tu aliwakilisha Tanzania nchini Sweden.
Ndiyo ujue huyo balozi wa tz nchini Rwanda alikuwa ni barozi wa kimikakati ndiyo maana alikuwa anausika na upatanishi pia kunawatu wanasema kwanini alichelewa kuondolewa Rwanda hapo jibu ni jepesi tz ndiyo ilikuwa inajukumu la upatanishi hivyo nikama nahodha wa meli unatakiwa kuwa wa mwisho kabisa kutoka melini kutokana na jukumu la cheo chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli siasa haina nguvu hapa kwa watanzania ni ya kimasilahi hawana (philosophy) itikadi, lakini pia makabila pia hayana nguvu kuna watanzania wengi hata wanaogopa kuongea lugha za kikabila yao kwa sababu ya 'inferioty complex' wengi wanajificha kwenye kiswahili hata wakiwa nyumbani

kwahiyo nivingumu watanzania kupigana kwa hayo mambo mawili tu......jambo linalo weza kuleta hisia za watu kwa kiwango cha kuuwana ni Dini, Waislama hawana mzaha na Dini yao na pia it's second to none, wako tayari kuyilinda dini yao hata kama ni kupoteza utaifa au asiri yao hili lilidhihirika pale Rwanda wakati wa Rc walikimbilia misikitini kuliko makanisani hamna Muislamu wanaweza kuua muislam mwenzie kwa sabb ya kua mtusi au muhtu Waislamu wana umoja katika hilo wanasemaga 'Muislamu ndugu ye Muislamu' ....... kuanzia 1992 Dini ya Kiislamu ina heshimika sana Rwanda nawanyarwanda wameslimu wengi wameona Uislamu ni 'pragamatic religion'.

Kitu kama hicho kutokea hapa nchini labda kipitie kwenye Imani za Dini serikali iwe makini ifanye 'fair play' sio kupendelea dhehebu moja nakuache mengine inaweza ikashutua mihemuko na hisia za watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unazungumzia uislam wa Rwanda, Tanzania au duniani kote?
Kule Zanzibar waislam wanabaguana sababu ya siasa, ethnic (upemba uarabu na uunguja ubantu).
Mashariki ya kati wanauwana kati ya waislam wa Shia na wa Sunni.

Mkuu pitia upya taarifa zako.
 
Story siyo ya uongo ubalozi wa kimkakati wa tz nchini Rwanda alikuwa anawakilisha tume ya usuluisha huo mgogoro sababu ya kuto kupitia tz moja kwa moja inategemea upepo wa vita ,kitendo cha tz kufunga mpaka inaonyesha kulikuwa na majeshi yanapigana upande wa Rwanda unao pakana na tz ,pia inaonyesha umeshindwa kujua uzito wa mauaji ya Rwanda tatizo la usalama wa watz na balozi wetu alikuwa kwa majeshi rasmi ya tusi na hutu tatuzo lilikuwa kwa RAIA wenye siraha hasa hasa Hutu walipewa siraha ovyo ovyo za kila aina hao hawatambui balozi wala mzungu nikama majambazi tu ,ndiyo maana mleta mada alisimulia wahutu waliovamia ubalozi na kutaka kuua tusi walio kimbilia ubalozini kwetu lakini wanajeshi wa Hutu walikuja baadae pamoja na defenda iliyokuwa na mjemba7 hao masoja wa kuhutu waliona Watusi wapo ubalozini ila awakufanya chochote ndiyo ujue tatizo lilikuwa kwa magenge ya kihutu na tusi mitaani na majiani ,hata alipo sema defenda ilishambulia darajani na kuua ujue iliua RAIA wenye siraha maana Hutu soja na tusi soja awakuwa na tatizo na msafala wa tz ndiyo maana mwanzo wa safari walisindikizwa na Hutu soja na mwisho wa safari walisindikizwa na tusi soja
Huo ni uongo. Ndio maana nimemuuliza maksudi Serikali iliplay role gani kuhakiki Usalama wao. Wakati Rwanda imechafuka vikosi vya Usalama Tanzania vilikuwa Rusumo kuimarisha Ulinzi.

Ambacho hakiadd up ni inawezekana vipi trucks zilikuwa escorted back kwa Ulinzi, Balozi akatangetange Burundi? Pili Diplomats wengi hawakuguswa na waliondoka kwa Ndege, Magari etc. Wetu kwa nini waondoke kwa kujifichaficha?

Kama unaelewa jografia ya Rwanda utaona kuna walakini kwenye Stori hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndicho kilicho fanyika ndiyo maana alikuwa wa mwisho kuondoka Rwanda kutokana na kazi ya upatanishi
Kuna mabalozi wa aina mbili
1 balozi anaeteuliwa kuiwakilisha nchi mahala fulani na kuishi kwenye hiyo nchi husika
2 balozi anaeteuliwa kusimama kama mwakilishi wa interest za nchi yake sehemu ambazo hazina ofisi pia.

Under the circumstances inawezekana huyo mama aliteuliwa (as a special envoy) kutokana na Tanzania kuitaji mwakilishi katika kipindi ambacho wanashawishi pande mbili ziweke silaha chini na namna ya kurudisha wakimbizi.

Huyu mama ni balozi yupi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa salama kwa Tanzania sio kwamba inshu za ukabila au udini hazikufanya au hazipo Ila n distance Kati ya hzo pande ndio ilkua inafanya Hilo Jambo lisiwezekane sie tuna eneo kubwa Sana alafu population yetu n ndogo katika eneo tulilonalo Mana Kuna distance Zaid ya 300km kuuacha utamadun mmoja Hadi mwingine.

Hvyo sehemu Kama Burundi, kenya, Rwanda na Uganda walifanikiwa Sana sababu yakuwa na eneo dogo na population kubwa kwenye eneo Moja pia DRC na Sudan.

Hata hapa Tanzania wanatamani Sana tuingie kwenye machafuko ya sisi kwa sisi ili waje kusema wanalinda Aman wajichukulie vyakao

Hawa wanasiasa Tena Hawa maarafu ndio agents wa kutupeleka huko kaa chin uwafuatilie utaona Kuna kitu huyu JPM anajitahidi kufikisha kijiti salama Sana japo JK ilkua imebaki kidogo tuu tuingie humo kumbuka ya green guard, red gurd, cuf sijui iliitwaje Mara panyaroad Mara vikund vya kijingajinga tuu.
Hapo kwenye umbali au ukubwa kati ya kabila na kabila sijaafiki kama unasaidia kuzuia vita ya kikabila.
DRC ukichunguza sana mgogoro pamoja ya kuchochewa na mabepari na wakomunisti lakini kulichochewa na ukabila pia.

Kabila la Lumumba na Mobutu na Kasabavu ilikuwa changamoto, kuna siku Kasabavu alizuiwa kushuka kwenye ndege jimboni Katanga kama sikosei ambako ndio kwa Lumumba.
 
Mkuu kwa maelezo yako hapo mwisho kwamba yawezekana huyo mama alikuwa special envoy tu unamaanisha huko Kigali kwa miaka yote aliyotaja msimulizi wetu kuanzia alipoingia Rwanda mwaka 1989 hadi alipoondoka 1994 hatukuwa na ubalozi pale Rwanda? Na kwa maana nyingine hiyo stori ya kwamba yeye alikuwa ni miongoni mwa staff wa ubalozi uliokuwa kwenye jengo lenye vyumba viwili vya siri n.k. hadi staff wote wa ubalozi, watanzania wengine na baadhi ya wanyarwanda waliozamia kwenye yale malori kuwa evacuated kwa kupitia mipaka ya Burundi yote katulisha matango pori?
Watu kama nyinyi ni vigumu kuelewa huyo alikuwa barozi wa kimikakati kutokana na hali ya mambo Rwanda kwenye hiyo miaka na jukumu la tz kuwa mpatanishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom