Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

🙏
 
Na ndio stori nyingi zipo hivi😃😃
 
Hivi ni covid-19 ndiyo imepunguza shauku ya watu kufuatilia hiki kisa au? Awali haikuwa hivi na kama hali itaendelea hivi itamkatisha tamaa msimulizi wetu.
 
Vita ya Rwanda,.nlikuwa kigoma at that time,nlipokuwa Ni karibu na mpaka waburundi,nlikuwa Kama na miaka sita hivi, origin ya waha wengi wa mipakani huwa na asili ya either tutsi au hutu.kwetu ilikuwa Ni tutsi nakumbuka mida ya jioni walikuwa wakifungulia redio kusikiliza BBC ilikuwa Kama wanafatilia matangazo ya mpira

ilikuwa ikitangazwa idadi ya wahutu waliokufa Ni wengi kuliko watutsi Basi nyumba nzima ilikuwa inaripuka kwa shangwe
miaka kadhaa baadaye ndio nakuja kujua kwamba ilikuwa Ni Vita ...nkaanza kupata picha halisi ya uadui uliokuwapo Kati ya mtutsi nA muhutu,...yani mtu anashangilia kifo Cha mwenzake Kama timu yake pendwa imepata goli
 


Hapo ndio utajua sisi waAfrika tuna laana na aliyetulaani wala hatumjui.Jeshi la Rwanda ni jeshi la watutsi.Vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni Tutsi.

Serekali ya sasa ni Tutsi ambao ni 15% huku wahutu wakiwekwa kando wakikodoa macho.Paul Kagame hajarekebisha mambo sana sana ndio anazidi kupanda mbegu ya utengano baina ya kabila mbili kubwa.
 
JF ni habari nyingine linapokuja swala la kusaka habari,vijana wa leo mnatuangusha sana mpaka sasa nipo post ya 881 hakuna mtu aliweza kusaka jina la Mama Balozi shujaa ?
 
JF ni habari nyingine linapokuja swala la kusaka habari,vijana wa leo mnatuangusha sana mpaka sasa nipo post ya 881 hakuna mtu aliweza kusaka jina la Mama Balozi shujaa ?
Huyo mama kumjua Ni issue aisee maana database ya Tz inaanzia 2003
 

Attachments

  • Screenshot_20200420-001258.png
    50.3 KB · Views: 17


Ni kweli aisee Tundu Lissu kakomeshwa haswaa.
 


Kuna binadamu wa ajabu sana,mtu hataki kufanyakazi anakodolea macho ukabila.Majuzi nilikuwa mitaa ya Bondeni basi jamaa mmoja kawajaza watu ujinga eti corona inapukutisha wazungu mwakani lazima waje afrika kutuomba tuhamie Ulaya washabiki wakawa wanashangilia utafikiri majuha.
 
Huu uzi umeufuatilia vizuri 'mzee wa zamani ' Balozi alishatajwa na picha zake zimewekwa, Uzi una pages 1700 na ushee wewe umeishia 881 halafu umesha draw conclusion kazi kwako
JF ni habari nyingine linapokuja swala la kusaka habari,vijana wa leo mnatuangusha sana mpaka sasa nipo post ya 881 hakuna mtu aliweza kusaka jina la Mama Balozi shujaa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeiweka vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…