Mkuu kashasema humu amefanya kazi ubalozini hiyo tu inatosha, haihitajiki maelezo zaidi
Kama mtu anafahamu diplomatic passports huwa wanapewa watu gani nje ya viongozi na kwa sababu gani basi hutatilia shaka simulizi hii na utapata picha mtoa mada anatumikia chombo gani kikubwa cha dola hapa nchini
Kingine mtoa mada ni muislam kwa nilivyomcheki na Feza ni shule ya Waturuki na Waturuki ni Waislamu
Kama member mmoja hapo juu alivyosema kama mtu anafahamu kuhusu usalama wa Taifa basi anajua kuwa si kila kinachoonekana/onyeshwa/semwa ni disclosed , na kama mkuu mtoa mada ni mtu wa TISS hawezi kuongea vitu au kuweka hadharani taarifa za kumjulisha yeye nani tujaribu kukubaliana na hilo