Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Mkuu Bossless naomba maelezo yako hapa kwa ufupi.
Natanguliza shukrani.
Screenshot_20200319-173540_1584630363620.jpeg
 
Mkuu Bossless naomba maelezo yako hapa kwa ufupi.
Natanguliza shukrani.View attachment 1393125
Makubwa! Pia katika post yake ya kwanza kwenye mada hii alisema alisomea stashahada ya uhasibu ila katika post zake katika mada zingine anadai yeye ni fundi umeme na ana degree ya Human Resource Management. Pia katika post hizo hizo zingine anadai yeye akinunua kitu kipya atamwita mtoto wake na kumwambia asikiguse lakini pia atampiga pasipo mtoto kufanya kosa lolote ili mradi tu kumtisha asije akathubutu kugusa hicho kifaa kipya! Huo ni upande wa pili wa msimulizi wetu.
 
Mkuu Bossless naomba maelezo yako hapa kwa ufupi.
Natanguliza shukrani.View attachment 1393125
Kwa maelezo yake mwenyewe alisema alimaliza masomo ya stashahada ya uhasibu mwaka 1989.
Ukienda kwenye website ya FEZA INTERNATIONAL SCHOOL inaonyesha Feza Boys Secondary School ilianzishwa mwaka 1998 na high school ikaanzishwa mwaka 2005. Nursery ilianzishwa 2001. Sasa kama alimaliza stashahada 1989 hizo Feza Primary hadi Feza High School alizisomea wapi wakati zilikuwa hazijaanzishwa? Na kama msimulizi kaweza kudanganya hivi uhalali wa hii simulizi yake utatoka wapi?
 
Mkuu kashasema humu amefanya kazi ubalozini hiyo tu inatosha, haihitajiki maelezo zaidi

Kama mtu anafahamu diplomatic passports huwa wanapewa watu gani nje ya viongozi na kwa sababu gani basi hutatilia shaka simulizi hii na utapata picha mtoa mada anatumikia chombo gani kikubwa cha dola hapa nchini
Kingine mtoa mada ni muislam kwa nilivyomcheki na Feza ni shule ya Waturuki na Waturuki ni Waislamu

Kama member mmoja hapo juu alivyosema kama mtu anafahamu kuhusu usalama wa Taifa basi anajua kuwa si kila kinachoonekana/onyeshwa/semwa ni disclosed , na kama mkuu mtoa mada ni mtu wa TISS hawezi kuongea vitu au kuweka hadharani taarifa za kumjulisha yeye nani tujaribu kukubaliana na hilo
 
Sawa mkuu. Kwa mantiki hiyo msimulizi atakuwa kaongeza mengine yasiyo kweli au kuficha mengine yaliyo kweli ili kuficha true identity yake. Na sababu kuu ya kuongeza au kuficha hayo ikiwa ni sababu za kiusalama ambapo tafsiri yake pana ni kwamba ukweli wa simulizi yote kama ilivyo hapa ni 50% kwa 50%. Hii ni kwa sababu kama yote aliyoeleza ni kweli kwenye kila kipengele ni wazi kwamba wenzie aliokuwa nao ofisi moja ubalozini ambao wameona hii simulizi yake tayari watakuwa wameshamjua.
 
Back
Top Bottom