Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Heri ya Mwaka mpya mkuu. Hivi kisa chako kile ulikihitimisha?
Binafsi nilisoma sehemu ya kwanza, siku ile ile alipoanza kusimulia. Kumbe ameweka sehemu zingine, ambazo kwangu zimegoma kufunguka!
 
Lakini ajabu dunia ilifahamu ikapuuza. Bikira Maria hadi alitokea kuonya kinachokuja lakini wale mabinti waliotokewa walipuuzwa! Ila yale mauaji ya Rwanda sijui nini kiliikumba dunia!

Sent using Jamii Forums mobile app
Bikra Marium aliwezaje kuwa bikra wakati alikiwasha jifungua mtoto Yesu apo tarehe 25 desemba? Na inasemekana Yesu alikuwa na wadogo zake pia..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ingia google utamjua tu

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
nmecheka kama mazuri
imagine ushabiki wa mpira ukawekwe kwenye maisha ya watu
dunia ina matukio ya kutisha sana
 
Ndio kitu kilikuwa kinaasisiwa na Magufuli na genge lake kina sabaya, makonda, musiba, kheri James na wengine πŸ₯ΊπŸ₯Ί

Hatari sana
 

Aisee, nimecheka sana mkuu. Kuna aina ya ujinga huwa unakuwepo kwa wanajeshi hasa vitani. Mpaka wazungu ikabidi waukariri wimbo wa MRND na ukute ulikuwa na melody mbaya kinoma πŸ˜„πŸ˜„
 
Nisije nikaota ulichosimulia 😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…