Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Hahahahaha
I see duniani kuna mambo mengi mazito sana ya kuogofya ya kikatiri, yanawapitia binadamu mahala popote,muda wowote haya-repotiwi. Hapo ndipo utajua life is fair. Big up sana kwa huyo mama barozi wa Tanzania nchini Rwanda kipindi hicho. Anastahiri sifa kabisa huko aliko. Ana roho ya kijasiri zaidi ya wanaume wa dar. Alikuwa jasiri haogopi kifo,alikuwa jasiri tayari kupigania anachokiamini, ikimbidi kifo. Mwisho nasema vita vipo tena Rwanda.

KG amepandikiza chuki sana mioyoni mwa wahutu,hawawezi kusamehe kamwe. Sasa basi njia ya kunusuru yajayo inabidi Tanzania kupitia UN tuzivamie hizi nchi mbili Rwanda na Burundi,then tuzifanye ni mikoa ya Tz. Tutawasambaza wengine Lindi,mtwala,mara,mbeya huko ile mikoa yetu miwili mipya Rwanda na Burundi itaunganishwa itakuwa ni eneo moja kwa ajili kambi na mafunzo ya kijeshi tu. JKT wote watakuwa mafunzo yao ni huko

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji857][emoji857][emoji857] Bado naiona pesa kwenye hii thread.. Mkuu Mungu akijalia uzima .. Na mipango ikampendeza, na mwisho kama wewe hautojali siku moja nitakutafuta.. Unless uwe haupo interested.. Tu make hii kitu iende Amazon.. Naamini kabisa pesa ipo hapa.. Trust me or not [emoji857][emoji857][emoji857]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana lolote huyu, alikuwa derava tu wa malori

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team | United Republic of Tanzania High Commissions, Embassies, Consulates, and Diplomatic Missions

Hiyo website ina orodha ya mabalozi wote tangia uhuru na nchi walizopangiwa. Unaweza search kwa kila nchi pia inakupatia list ya mabalozi waliowahi kuiwakilisha Tanzania hiyo sehemu.

Tatizo ni kwamba huyo balozi hayumo kwenye list, ukipekuwa unaona atukuwa na balozi muda huo Rwanda isipokuwa Burundi na kwenyewe pia akupelekwa mtu baada 1991 mpaka vita ilipoisha.

Ukipekuwa sana domument zingine unakutana na jina la ‘Ami Mpungwe’ kama chief diplomat kutoka wizarani aliekuwa architect wa usuluhishi wa mambo ya Rwanda na ‘Patrick Chokala’ kama msemaji wa serikari hao ndio watanzania wanaotajwa na Dr Salim.

Lakini hakuna mention ya huyu mama balozi, pamoja na uzuri wa story but one significant fact is missing for credibility hapo ndio kwenye utata ili wengine tumeze yote as yet ntachukua 80%; very interesting though.
 
Team | United Republic of Tanzania High Commissions, Embassies, Consulates, and Diplomatic Missions

Hiyo website ina list ya mabalozi wote tangia uhuru na nchi walizopangiwa. Unaweza search kwa nchi pia inakupatia list ya mabalozi waliowahi kuwakilisha Tanzania hiyo sehemu.

Tatizo ni kwamba balozi huyo hayumo kwenye list, ukipekuwa unaona atukuwa na balozi muda huo Rwanda isipokuwa Burundi na kwenyewe pia akupelekwa mtu kuanzia 1991 mpaka baada ya vita.

Ukipekuwa sana domument zingine unakutana na jina la ‘Ami Mpungwe’ kama chief diplomat kutoka wizarani aliekuwa na architect wa usuluhishi na ‘Patrick Chokala’ kama msemaji wa serikari hao ndio watanzania wanaotajwa na Dr Salim.

Lakini hakuna mention ya huyu mama balozi, pamoja na uzuri wa story but one significant fact is missing hapo ndio kwenye utata ili wengine tumeze yote as yet ntachukua 80%; very interesting though.
Labda ndiyo sababu msimulizi akiulizwa kuhusu jina la huyo balozi anashindwa au anakuwa mzito kutaja! Yaani ugumu wa kutaja public figure tena kwa mazuri aliyoyafanya unatokana hasa na nini?
 
ĹHii ni kama testmony tu.story zipo nyingi tu hata kwa survivor wa kinyarwanda.hela ilishapigwa kitambo na kina emaculee ilibagiza " left to tell" ." Virgin marry" .our laddy from kibeho.pia yule kamanda wa UNAMIR ana kitabu chake.muda umekwenda sana sasa.ukileta hizo mambo unamtafuta ubaya PK.hapendiii....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hataivo kwa saivi sidhani kama tunao hao waandishi wenyewe wa stori za kumtoa nyoka pangoni. Wamebaki wapiga udaku tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Genocide ya Rwanda ya 1994 isingetokea kama RPF ya Kagame/Rwigema wasingeanza uvamizi wao against serikali halali ya Habyarimana Juvenal kuanzia 1990 mpaka walipochukua nchi 1994. Mapigano kati ya wahutu/ interahamwe dhidi ya Tutsi/RPF yalikuwepo kwa muda mrefu tangu mwishoni mwa miaka ya 1980s ambapo wahutu walikua wakidefend legitimate govt yao kwa muda huo huku watutsi RPF chini ya Fred Gwisa Rwigema baadae Kagame wakiamini wao ndio wwnye haki ya kutawala Rwanda maana historically ma chief wote na wafalme wa Rwanda tangu 1700s kabla hata ya ukoloni wa wajerumani na wabelgiji walikua watutsi line ya Mwami Kigeli, Mutara , Karemera, Yuhi wafalme hawa wa kitutsi wametawala Rwanda wayback kuanzia 1600s mpaka mfalme wa Mwisho Kigeli VI aliyeondolewa madarakani mwaka 1961 , mwaka ambao Rwanda became a Republic with Hutu majority rule chini ya rais wa kihutu President Gregoire Kayibanda. Kuanzia mwaka 1962 watutsi wamekua wakistage guerilla warfare kutokea msituni walipokua uhamishoni mostly kutokea Uganda mpaka walipofanikiwa kuchukua tena madaraka baada ya Genocide July 1994.
Hivyo basi wahutu wasingewaua watutsi kama wao pia wasingeshambuliwa. Ilikua ni kama self defence. Ila kwa kuwa Kagame ndiye aliyeshinda vita ya 1994 na kwa support ya western powers na pamoja ya intelligence aliyokuwanayo PK pamoja skillfully propaganda mpaka leo mpaka kesho wahutu ndio wanaolaumiwa kwa genocide ya 1994. Na kwa sheria za leo hii za rwanda haiitwi genocide bali inaitwa ''genocide againsts Tutsis" na kama unapinga utaitwa hutu sympathizer au genocide denier na adhabu yake si chini ya miaka 10 jela kwa current laws za Rwanda. Yaani sio mauaji ya haraiki tu bali yanaitwa mauaji ya halaiki dhidi ya watutsi na uadhimishwa 1-7 April mwaka.

Kwa kumalizia tu Kagame ni agent / asset wa CIA / MI6 pamoja na Mossad. Alikuwa recruited Leavenworth, Kansas Marekani mnamo mwaka 1990. Yote yaliyotokea baada ya Mwaka 1990 mpaka Kagame anachukua nchi 1994, Congo war 1 1996 na Congo war ya pili 1998-1999 iliyopelekea kuuwawa kwa Rais Laurent Kabila Sr ikulu Kinshasa mwaka 1998, looting na vandalism ya precious minerals za Congo DRC Kama Gold, Cobalt, Tin, Coltan na uranium Congo chini ya Gen James Kabarebe na baadae mageneral waasi wenye asili ya Kitutsi akina Laurent Nkunda na Bosco Ntaganda, Yote haya yana baraka za USA na UK, maana Madini yote haya yanaelekezwa USA na yahitajika sana kama raw materials kwa ajili ya viwanda vya simu/laptops na electronics USA na baadhi kama uranium kwa ajili Atomic na nuclear bombs. Kipind cha cold war na baada yake marekani aliitaji ally ambae anaweza dhibiti madini ya Kongo yasiende USSR na pia waliitaji mtu ambae anaweza leta stability katika nchi za maziwa makuu na mtu huyo si mwingine zaidi ya mtu ya intelligence kubwa, strong, focused, keen to details, determined na mastermind wa military intelligence, wao wanamwita Pilato au Afande PK, General Paul Kagame

View attachment 1383575View attachment 1383576View attachment 1383577View attachment 1383578View attachment 1383580View attachment 1383581View attachment 1383582View attachment 1383583
Mkuu naomba niulize swali, hivi pale Congo wakati vita ya I & II zikiendelea ni upande UPI kati ya Serikali na Waasi ulikua ukihusika na usafirishaji wa madini nje ya Congo?
 
Kuna wawili nawafaham wako bungeni kabisaa, mmoja ni mwanafunzi wangu yuko ubalozini na wawili wanafnya kazii wizara ya mambo ya ndani, kama ilivo mimi bibi na babu zetu ni wakimbizi wa kle genocide ya miaka ya 80

Sent using Jamii Forums mobile app

Lakin naamini n watanzania kwa sifa Bali Wana vinasaba vya huko pia mbona marekan Kuna wahindi wapo bungeni hata Obama n mkenya Ila muamerika kwasifa za uhamiaji na mbona aliendesha nchi.

Sema sio watz tunapenda kucomplicate Mambo sna
 
Kuna wawili nawafaham wako bungeni kabisaa, mmoja ni mwanafunzi wangu yuko ubalozini na wawili wanafnya kazii wizara ya mambo ya ndani, kama ilivo mimi bibi na babu zetu ni wakimbizi wa kle genocide ya miaka ya 80

Sent using Jamii Forums mobile app
point of correction, vita ya kwanza ilikuwa miaka ya 50 mwishoni kama sikosei.
 
Genocide ya Rwanda ya 1994 isingetokea kama RPF ya Kagame/Rwigema wasingeanza uvamizi wao against serikali halali ya Habyarimana Juvenal kuanzia 1990 mpaka walipochukua nchi 1994. Mapigano kati ya wahutu/ interahamwe dhidi ya Tutsi/RPF yalikuwepo kwa muda mrefu tangu mwishoni mwa miaka ya 1980s ambapo wahutu walikua wakidefend legitimate govt yao kwa muda huo huku watutsi RPF chini ya Fred Gwisa Rwigema baadae Kagame wakiamini wao ndio wwnye haki ya kutawala Rwanda maana historically ma chief wote na wafalme wa Rwanda tangu 1700s kabla hata ya ukoloni wa wajerumani na wabelgiji walikua watutsi line ya Mwami Kigeli, Mutara , Karemera, Yuhi wafalme hawa wa kitutsi wametawala Rwanda wayback kuanzia 1600s mpaka mfalme wa Mwisho Kigeli VI aliyeondolewa madarakani mwaka 1961 , mwaka ambao Rwanda became a Republic with Hutu majority rule chini ya rais wa kihutu President Gregoire Kayibanda. Kuanzia mwaka 1962 watutsi wamekua wakistage guerilla warfare kutokea msituni walipokua uhamishoni mostly kutokea Uganda mpaka walipofanikiwa kuchukua tena madaraka baada ya Genocide July 1994.
Hivyo basi wahutu wasingewaua watutsi kama wao pia wasingeshambuliwa. Ilikua ni kama self defence. Ila kwa kuwa Kagame ndiye aliyeshinda vita ya 1994 na kwa support ya western powers na pamoja ya intelligence aliyokuwanayo PK pamoja skillfully propaganda mpaka leo mpaka kesho wahutu ndio wanaolaumiwa kwa genocide ya 1994. Na kwa sheria za leo hii za rwanda haiitwi genocide bali inaitwa ''genocide againsts Tutsis" na kama unapinga utaitwa hutu sympathizer au genocide denier na adhabu yake si chini ya miaka 10 jela kwa current laws za Rwanda. Yaani sio mauaji ya haraiki tu bali yanaitwa mauaji ya halaiki dhidi ya watutsi na uadhimishwa 1-7 April mwaka.

Kwa kumalizia tu Kagame ni agent / asset wa CIA / MI6 pamoja na Mossad. Alikuwa recruited Leavenworth, Kansas Marekani mnamo mwaka 1990. Yote yaliyotokea baada ya Mwaka 1990 mpaka Kagame anachukua nchi 1994, Congo war 1 1996 na Congo war ya pili 1998-1999 iliyopelekea kuuwawa kwa Rais Laurent Kabila Sr ikulu Kinshasa mwaka 1998, looting na vandalism ya precious minerals za Congo DRC Kama Gold, Cobalt, Tin, Coltan na uranium Congo chini ya Gen James Kabarebe na baadae mageneral waasi wenye asili ya Kitutsi akina Laurent Nkunda na Bosco Ntaganda, Yote haya yana baraka za USA na UK, maana Madini yote haya yanaelekezwa USA na yahitajika sana kama raw materials kwa ajili ya viwanda vya simu/laptops na electronics USA na baadhi kama uranium kwa ajili Atomic na nuclear bombs. Kipind cha cold war na baada yake marekani aliitaji ally ambae anaweza dhibiti madini ya Kongo yasiende USSR na pia waliitaji mtu ambae anaweza leta stability katika nchi za maziwa makuu na mtu huyo si mwingine zaidi ya mtu ya intelligence kubwa, strong, focused, keen to details, determined na mastermind wa military intelligence, wao wanamwita Pilato au Afande PK, General Paul Kagame

View attachment 1383575View attachment 1383576View attachment 1383577View attachment 1383578View attachment 1383580View attachment 1383581View attachment 1383582View attachment 1383583
Dah!jamaa anatumika kuumiza wa africa wenzie halafu kajificha kwenye mwamvuli wa tutsi.
Mabeberu wabaya sana tunamlaumu kagame kumbe ye mwenyewe anatumwa.
 
Baada ya kusoma hii stori na kuangalia documentaries za vita mbali mbali kuanzia world war 1 and 2...., nimetafakari na kuona kweli binadamu ana pande mbili, upande mzuri na upande mbaya. Kuna uzi au mstari mwembamba sana unaozitenganisha pande hizo mbili. Haijalishi kama wewe ni mtutsi au mhutu, wewe ni mfaransa au mvietnam....

Unaporuhusu uovu ukuvike, unaweza kutenda matendo ya ajabu sana. Haya yaliyotokea Rwanda mwaka 1994 si mageni katika dunia hii. Dunia ilishawahi kushuhudia matukio mengi ya uovu usiothimilika, bahati mbaya yetu sisi tuliokuwepo wakati uovu huu ukitendeka katika kiasi kikubwa na katika kipindi kifupi. Mungu awasaidie wahutu na watutsi waweze ku overcome haya na wasiendelee kurithisha hii chuki kwa vizazi vijavyo.
 
Genocide ya Rwanda ya 1994 isingetokea kama RPF ya Kagame/Rwigema wasingeanza uvamizi wao against serikali halali ya Habyarimana Juvenal kuanzia 1990 mpaka walipochukua nchi 1994. Mapigano kati ya wahutu/ interahamwe dhidi ya Tutsi/RPF yalikuwepo kwa muda mrefu tangu mwishoni mwa miaka ya 1980s ambapo wahutu walikua wakidefend legitimate govt yao kwa muda huo huku watutsi RPF chini ya Fred Gwisa Rwigema baadae Kagame wakiamini wao ndio wwnye haki ya kutawala Rwanda maana historically ma chief wote na wafalme wa Rwanda tangu 1700s kabla hata ya ukoloni wa wajerumani na wabelgiji walikua watutsi line ya Mwami Kigeli, Mutara , Karemera, Yuhi wafalme hawa wa kitutsi wametawala Rwanda wayback kuanzia 1600s mpaka mfalme wa Mwisho Kigeli VI aliyeondolewa madarakani mwaka 1961 , mwaka ambao Rwanda became a Republic with Hutu majority rule chini ya rais wa kihutu President Gregoire Kayibanda. Kuanzia mwaka 1962 watutsi wamekua wakistage guerilla warfare kutokea msituni walipokua uhamishoni mostly kutokea Uganda mpaka walipofanikiwa kuchukua tena madaraka baada ya Genocide July 1994.
Hivyo basi wahutu wasingewaua watutsi kama wao pia wasingeshambuliwa. Ilikua ni kama self defence. Ila kwa kuwa Kagame ndiye aliyeshinda vita ya 1994 na kwa support ya western powers na pamoja ya intelligence aliyokuwanayo PK pamoja skillfully propaganda mpaka leo mpaka kesho wahutu ndio wanaolaumiwa kwa genocide ya 1994. Na kwa sheria za leo hii za rwanda haiitwi genocide bali inaitwa ''genocide againsts Tutsis" na kama unapinga utaitwa hutu sympathizer au genocide denier na adhabu yake si chini ya miaka 10 jela kwa current laws za Rwanda. Yaani sio mauaji ya haraiki tu bali yanaitwa mauaji ya halaiki dhidi ya watutsi na uadhimishwa 1-7 April mwaka.

Kwa kumalizia tu Kagame ni agent / asset wa CIA / MI6 pamoja na Mossad. Alikuwa recruited Leavenworth, Kansas Marekani mnamo mwaka 1990. Yote yaliyotokea baada ya Mwaka 1990 mpaka Kagame anachukua nchi 1994, Congo war 1 1996 na Congo war ya pili 1998-1999 iliyopelekea kuuwawa kwa Rais Laurent Kabila Sr ikulu Kinshasa mwaka 1998, looting na vandalism ya precious minerals za Congo DRC Kama Gold, Cobalt, Tin, Coltan na uranium Congo chini ya Gen James Kabarebe na baadae mageneral waasi wenye asili ya Kitutsi akina Laurent Nkunda na Bosco Ntaganda, Yote haya yana baraka za USA na UK, maana Madini yote haya yanaelekezwa USA na yahitajika sana kama raw materials kwa ajili ya viwanda vya simu/laptops na electronics USA na baadhi kama uranium kwa ajili Atomic na nuclear bombs. Kipind cha cold war na baada yake marekani aliitaji ally ambae anaweza dhibiti madini ya Kongo yasiende USSR na pia waliitaji mtu ambae anaweza leta stability katika nchi za maziwa makuu na mtu huyo si mwingine zaidi ya mtu ya intelligence kubwa, strong, focused, keen to details, determined na mastermind wa military intelligence, wao wanamwita Pilato au Afande PK, General Paul Kagame

View attachment 1383575View attachment 1383576View attachment 1383577View attachment 1383578View attachment 1383580View attachment 1383581View attachment 1383582View attachment 1383583
Dadeki,, this is Jf bwana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba niulize swali, hivi pale Congo wakati vita ya I & II zikiendelea ni upande UPI kati ya Serikali na Waasi ulikua ukihusika na usafirishaji wa madini nje ya Congo?
Iko hivi...Congo War 1 ilikua kati ya mwaka 1996-1997. Kuna makundi manne( Mobutu Sseseko, Laurent Kabila, Paul Kagame, Yoweri Musseveni) yaliyopigana vita hii na kila kundi lilikua na interest zake tofauti.
Vita hii ilitokea DRC kipindi hicho ikiitwa Zaire ilianzia pronvince za kaskazini mashariki Nord na Soud Kivu, ikaelekea Kisangani mpaka DRC magharibi then Kinshasha ilipoisha na kuondolewa madarakani kwa Rais wa kipind hicho Mobutu Seseko, nchi ikatwaliwa na Laurent Kabila aliyebadili jina la nchi kutoka Zaire na kuwa Democratic Republic of Congo.

Kwa kifupi ni kwamba wakati vita hii inaanza Mobutu ndiye alikuwa rais halali wa DRC na Laurent Kabila Sr ndiye alikuwa muasi akipigana kutoka msituni mashariki ya Kongo. Kabila alipata msaada wa kijeshi kutoka kwa majeshi ya Rwanda na Uganda chini ya Kagame na Mseveni. Lengo la Kagame si kwamba alikua sympathizer wa movement au uasi wa Kabila bali lengo lake lilikua ni kuwamalizia mbali wahutu na interahamwe wote waliokimbilia Congo baada ya genocide ya 1994 na pia aliona fursa kwenye madini adhimu ya Congo.

Museveni ye hakua interested na wahutu bali ye pia aliona fursa kwenye madini. Sasa basi majeshi ya Rwanda chini ya Gen James Kabaerebe, uganda pamoja na vikosi vidogo vya waasi wa congo wakiongozwa na Laurent Kabila walivamia Congo mwaka 1996 na kuanza kuuwa interahamwe , kushambulia majeshi halali ya Congo ya Mobutu, wakasonga mbele Toka Goma, kwenda Kisangani, kindu, kinanga mpaka walipofanikiwa kuuzingira mji mkuu wa DRC Kinshasha na kumuondoa madarakani Mobutu Seseko, na kufanikiwa kumuweka kibaraka wao Laurent Kabila kama rais mpya wa DRC. Kabila aliwatunuku vyeo jeshi maafisa waandamizi wa majeshi ya Rwanda ilhali hawakua raia wa Congo.

Ambapo Gen wa kitutsi James Kabarebe aliyeongoza vikosi upande wa Rwanda akipewa cheo cha mkuu wa majeshi CDF. Kilichofuata hapo ni historia ilikua ni kuchota madini tu na kuuwa wahutu/interahamwe wote waliokua wakionekana kama threat kwa serikali ya Rwanda chini ya Kagame. Na pia ndipo kipindi hiki wakasimikwa waasi wa Kitutsi mashariki ya DRC wanaoisumbua serikali ya DRC mpaka leo hii.
Madini yalichotwa na wahutu waliuuwawa mpaka sense ilipomuingia Laurent Kabila ambapo katika kujaribu kutokomeza hali hii akamfukuza na kumvua vyeo vyote CDF wake wankinyarwanda Gen Kabarebe mwaka 1997.

Hali hii ilimchukiza Kagame na swahiba wake Museveni ndipo mikakati ikaanza ya kumng'oa madarakani Laurent Kabila iliyopelekea vita iliyokuja kupewa jina ya Congo War 2.
Ni historia ndefu ila kwa kifupi tu ni kwamba zilitafutwa mbinu nyingi za kivita na za kiinteligensia za kumuondoa Kabila Sr mpaka walipofanikiwa kwa msaada wa CIA ambapo mwaka 2001 Laurent Kabila akiwa ofiain kwake Ikulu Kinshasa alipigwa Risasi na Bodyguard wake karibu, na Bodyguard wake pia akapigwa risasi na mpambe wa Rais (ADC) Eddy Kapend, naye pia kabla ya kuwekwa nguvun katika ile taharuki akapigwa risasi na mlinz mwingine aliyetokomea kusikojulikana. Mpaka leo mauaji ya Rais Kabila Sr yanabaki kuwa ni mystery maana walioshuriki katika kufyatua risasi nao pia waliuawa kama cover up.

Baada ya kufanikiwa katika mauaji haya, Joseph Kabila ambaye ni mtoto wa kambo wa Kabila( si mtoto wake by birth) mwenye asili ya kitutsi akakabidhiwa madaraka ya DRC kama Rais. Joseph kabila ni mtusti, mzaliwa wa Rwanda na ni mpwa wa Gen Kabarebe. Alilelewa na Kabila Sr toka akiwa mdogo baada ya baba yake ambaye alikua member wa jeshi la waasi wa Kabila mashariki ya Kongo alipofariki katika umri mdogo, Laurent Kabila Sr akamchukua Joseph na kumlea kama mwanaye, ila Joseph Kabila si mtoto wa kuzaliwa na Laurent Kabila .

Toka mwaka 2001 baada ya Rais Joseph Kabila Jr kuchukua madaraka rasmi kama Rais, plunder na looting ya madini kutoka DRC na kusafirishwa kinyemela kwenye mataifa ya magharibi kupitia Rwanda Kigali inaendelea na itaendelea mpaka kesho as long as Kagame yuko madarakani.

Pichani chini ni Joseph Kabila akiwa na Uncle ake Gen James Kabarebe (ambae amehudumu kama CDF na minister of defence katika serikali ya Kagame kwa miaka mingi toka 2000 mpaka 2018).
Huyo mrefu katikati mwenye sare ya Jeshi ndo Gen Kabarebe na kulia kwake ni Joseph Kabila , hapo walikua Kigali 1998.

images (15).jpeg
 
Team | United Republic of Tanzania High Commissions, Embassies, Consulates, and Diplomatic Missions

Hiyo website ina list ya mabalozi wote tangia uhuru na nchi walizopangiwa. Unaweza search kwa nchi pia inakupatia list ya mabalozi waliowahi kuwakilisha Tanzania hiyo sehemu.

Tatizo ni kwamba balozi huyo hayumo kwenye list, ukipekuwa unaona atukuwa na balozi muda huo Rwanda isipokuwa Burundi na kwenyewe pia akupelekwa mtu kuanzia 1991 mpaka baada ya vita.

Ukipekuwa sana domument zingine unakutana na jina la ‘Ami Mpungwe’ kama chief diplomat kutoka wizarani aliekuwa na architect wa usuluhishi na ‘Patrick Chokala’ kama msemaji wa serikari hao ndio watanzania wanaotajwa na Dr Salim.

Lakini hakuna mention ya huyu mama balozi, pamoja na uzuri wa story but one significant fact is missing hapo ndio kwenye utata ili wengine tumeze yote as yet ntachukua 80%; very interesting though.
Sehemu kubwa ya story hii ni fiction. Madereva wa trucks wote walikuwa escorted back na diplomats waliondoka bila kudhuriwa iweje yeye mtumishi mwenye hadhi ya diplomat (kumbuka kuwa degree holder wakati huo halikuwa jambo la mchezo mchezo) akimbilie Burundi kwa kuunga unga?
 
Iko hivi...Congo War 1 ilikua kati ya mwaka 1996-1997. Kuna makundi manne( Mobutu Sseseko, Laurent Kabila, Paul Kagame, Yoweri Musseveni) yaliyopigana vita hii na kila kundi lilikua na interest zake tofauti.
Vita hii ilitokea DRC kipindi hicho ikiitwa Zaire ilianzia pronvince za kaskazini mashariki Nord na Soud Kivu, ikaelekea Kisangani mpaka DRC magharibi then Kinshasha ilipoisha na kuondolewa madarakani kwa Rais wa kipind hicho Mobutu Seseko, nchi ikatwaliwa na Laurent Kabila aliyebadili jina la nchi kutoka Zaire na kuwa Democratic Republic of Congo.

Kwa kifupi ni kwamba wakati vita hii inaanza Mobutu ndiye alikuwa rais halali wa DRC na Laurent Kabila Sr ndiye alikuwa muasi akipigana kutoka msituni mashariki ya Kongo. Kabila alipata msaada wa kijeshi kutoka kwa majeshi ya Rwanda na Uganda chini ya Kagame na Mseveni. Lengo la Kagame si kwamba alikua sympathizer wa movement au uasi wa Kabila bali lengo lake lilikua ni kuwamalizia mbali wahutu na interahamwe wote waliokimbilia Congo baada ya genocide ya 1994 na pia aliona fursa kwenye madini adhimu ya Congo. Museveni ye hakua interested na wahutu bali ye pia aliona fursa kwenye madini. Sasa basi majeshi ya Rwanda chini ya Gen James Kabaerebe, uganda pamoja na vikosi vidogo vya waasi wa congo wakiongozwa na Laurent Kabila walivamia Congo mwaka 1996 na kuanza kuuwa interahamwe , kushambulia majeshi halali ya Congo ya Mobutu, wakasonga mbele Toka Goma, kwenda Kisangani, kindu, kinanga mpaka walipofanikiwa kuuzingira mji mkuu wa DRC Kinshasha na kumuondoa madarakani Mobutu Seseko, na kufanikiwa kumuweka kibaraka wao Laurent Kabila kama rais mpya wa DRC. Kabila aliwatunuku vyeo jeshi maafisa waandamizi wa majeshi ya Rwanda ilhali hawakua raia wa Congo. Ambapo Gen wa kitutsi James Kabarebe aliyeongoza vikosi upande wa Rwanda akipewa cheo cha mkuu wa majeshi CDF. Kilichofuata hapo ni historia ilikua ni kuchota madini tu na kuuwa wahutu/interahamwe wote waliokua wakionekana kama threat kwa serikali ya Rwanda chini ya Kagame. Na pia ndipo kipindi hiki wakasimikwa waasi wa Kitutsi mashariki ya DRC wanaoisumbua serikali ya DRC mpaka leo hii.
Madini yalichotwa na wahutu waliuuwawa mpaka sense ilipomuingia Laurent Kabila ambapo katika kujaribu kutokomeza hali hii akamfukuza na kumvua vyeo vyote CDF wake wankinyarwanda Gen Kabarebe mwaka 1997. Hali hii ilimchukiza Kagame na swahiba wake Museveni ndipo mikakati ikaanza ya kumng'oa madarakani Laurent Kabila iliyopelekea vita iliyokuja kupewa jina ya Congo War 2.
Ni historia ndefu ila kwa kifupi tu ni kwamba zilitafutwa mbinu nyingi za kivita na za kiinteligensia za kumuondoa Kabila Sr mpaka walipofanikiwa kwa msaada wa CIA ambapo mwaka 2001 Laurent Kabila akiwa ofiain kwake Ikulu Kinshasa alipigwa Risasi na Bodyguard wake karibu, na Bodyguard wake pia akapigwa risasi na mpambe wa Rais (ADC) Eddy Kapend, naye pia kabla ya kuwekwa nguvun katika ile taharuki akapigwa risasi na mlinz mwingine aliyetokomea kusikojulikana. Mpaka leo mauaji ya Rais Kabila Sr yanabaki kuwa ni mystery maana walioshuriki katika kufyatua risasi nao pia waliuawa kama cover up.
Baada ya kufanikiwa katika mauaji haya, Joseph Kabila ambaye ni mtoto wa kambo wa Kabila( si mtoto wake by birth) mwenye asili ya kitutsi akakabidhiwa madaraka ya DRC kama Rais. Joseph kabila ni mtusti, mzaliwa wa Rwanda na ni mpwa wa Gen Kabarebe. Alilelewa na Kabila Sr toka akiwa mdogo baada ya baba yake ambaye alikua member wa jeshi la waasi wa Kabila mashariki ya Kongo alipofariki katika umri mdogo, Laurent Kabila Sr akamchukua Joseph na kumlea kama mwanaye, ila Joseph Kabila si mtoto wa kuzaliwa na Laurent Kabila .
Toka mwaka 2001 baada ya Rais Joseph Kabila Jr kuchukua madaraka rasmi kama Rais, plunder na looting ya madini kutoka DRC na kusafirishwa kinyemela kwenye mataifa ya magharibi kupitia Rwanda Kigali inaendelea na itaendelea mpaka kesho as long as Kagame yuko madarakani.

Pichani chini ni Joseph Kabila akiwa na Uncle ake Gen James Kabarebe (ambae amehudumu kama CDF na minister of defence katika serikali ya Kagame kwa miaka mingi toka 2000 mpaka 2018).
Huyo mrefu katikati mwenye sare ya Jeshi ndo Gen Kabarebe na kulia kwake ni Joseph Kabila , hapo walikua Kigali 1998.

View attachment 1384017
Duhh aseee, niulze kitu mkuu ......Ilkuaje kabila junior akaja bongo na kwenda jkt kabisa??? Naomba unieleweshe mkuuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa ongea yako yote unafikiria Wahutu hawana sapot. Akiondoka kagame mtakiona nyie Watutsi wote,bahati mbaya wote nyie watusi akili yenu yote mmeiweka kwa PK. Hakuna anaendaliwa hata kuja kuiweka vizuri siasa ya Rwanda baada ya PK. Kwenye swali lako baada ya Pk Wahutu watarudi madarakani. Wakirudi M7 hatakuwa salama. Kuanzia leo nawasapot Wahutu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipewa story na mtu aliyeenda Rwanda kipindi wanakumbuka hayo mauaji. Kwanza wameweka kumbukizi kama mauaji ya watutsi pekee kitu ambacho binafsi nakiona kama kinachochea mgawanyiko maana hata familia za kihutu zilipoteza pia wapendwa wao. Hii inawanyima haki

Kingine wanachukua muda mrefu zaidi ya wiki kama kumbukumbu zangu zipo sawa na familia hukusanyika kuomboleza na wanashea stories za yaliyotokea. Hii naona kama kuwarithisha kizazi kipya hili bifu maana nao wanakuwa wanafeel yale machungu kama walikuwepo

Rwanda nilivyoelezwa ipo katika tension na siku mkuu wetu akiondoka while hajaweka succession plan ya kueleweka bhasi outbreak ya genocide ingine inaweza kutokea
 
Iko hivi...Congo War 1 ilikua kati ya mwaka 1996-1997. Kuna makundi manne( Mobutu Sseseko, Laurent Kabila, Paul Kagame, Yoweri Musseveni) yaliyopigana vita hii na kila kundi lilikua na interest zake tofauti.
Vita hii ilitokea DRC kipindi hicho ikiitwa Zaire ilianzia pronvince za kaskazini mashariki Nord na Soud Kivu, ikaelekea Kisangani mpaka DRC magharibi then Kinshasha ilipoisha na kuondolewa madarakani kwa Rais wa kipind hicho Mobutu Seseko, nchi ikatwaliwa na Laurent Kabila aliyebadili jina la nchi kutoka Zaire na kuwa Democratic Republic of Congo.

Kwa kifupi ni kwamba wakati vita hii inaanza Mobutu ndiye alikuwa rais halali wa DRC na Laurent Kabila Sr ndiye alikuwa muasi akipigana kutoka msituni mashariki ya Kongo. Kabila alipata msaada wa kijeshi kutoka kwa majeshi ya Rwanda na Uganda chini ya Kagame na Mseveni. Lengo la Kagame si kwamba alikua sympathizer wa movement au uasi wa Kabila bali lengo lake lilikua ni kuwamalizia mbali wahutu na interahamwe wote waliokimbilia Congo baada ya genocide ya 1994 na pia aliona fursa kwenye madini adhimu ya Congo. Museveni ye hakua interested na wahutu bali ye pia aliona fursa kwenye madini. Sasa basi majeshi ya Rwanda chini ya Gen James Kabaerebe, uganda pamoja na vikosi vidogo vya waasi wa congo wakiongozwa na Laurent Kabila walivamia Congo mwaka 1996 na kuanza kuuwa interahamwe , kushambulia majeshi halali ya Congo ya Mobutu, wakasonga mbele Toka Goma, kwenda Kisangani, kindu, kinanga mpaka walipofanikiwa kuuzingira mji mkuu wa DRC Kinshasha na kumuondoa madarakani Mobutu Seseko, na kufanikiwa kumuweka kibaraka wao Laurent Kabila kama rais mpya wa DRC. Kabila aliwatunuku vyeo jeshi maafisa waandamizi wa majeshi ya Rwanda ilhali hawakua raia wa Congo. Ambapo Gen wa kitutsi James Kabarebe aliyeongoza vikosi upande wa Rwanda akipewa cheo cha mkuu wa majeshi CDF. Kilichofuata hapo ni historia ilikua ni kuchota madini tu na kuuwa wahutu/interahamwe wote waliokua wakionekana kama threat kwa serikali ya Rwanda chini ya Kagame. Na pia ndipo kipindi hiki wakasimikwa waasi wa Kitutsi mashariki ya DRC wanaoisumbua serikali ya DRC mpaka leo hii.
Madini yalichotwa na wahutu waliuuwawa mpaka sense ilipomuingia Laurent Kabila ambapo katika kujaribu kutokomeza hali hii akamfukuza na kumvua vyeo vyote CDF wake wankinyarwanda Gen Kabarebe mwaka 1997. Hali hii ilimchukiza Kagame na swahiba wake Museveni ndipo mikakati ikaanza ya kumng'oa madarakani Laurent Kabila iliyopelekea vita iliyokuja kupewa jina ya Congo War 2.
Ni historia ndefu ila kwa kifupi tu ni kwamba zilitafutwa mbinu nyingi za kivita na za kiinteligensia za kumuondoa Kabila Sr mpaka walipofanikiwa kwa msaada wa CIA ambapo mwaka 2001 Laurent Kabila akiwa ofiain kwake Ikulu Kinshasa alipigwa Risasi na Bodyguard wake karibu, na Bodyguard wake pia akapigwa risasi na mpambe wa Rais (ADC) Eddy Kapend, naye pia kabla ya kuwekwa nguvun katika ile taharuki akapigwa risasi na mlinz mwingine aliyetokomea kusikojulikana. Mpaka leo mauaji ya Rais Kabila Sr yanabaki kuwa ni mystery maana walioshuriki katika kufyatua risasi nao pia waliuawa kama cover up.
Baada ya kufanikiwa katika mauaji haya, Joseph Kabila ambaye ni mtoto wa kambo wa Kabila( si mtoto wake by birth) mwenye asili ya kitutsi akakabidhiwa madaraka ya DRC kama Rais. Joseph kabila ni mtusti, mzaliwa wa Rwanda na ni mpwa wa Gen Kabarebe. Alilelewa na Kabila Sr toka akiwa mdogo baada ya baba yake ambaye alikua member wa jeshi la waasi wa Kabila mashariki ya Kongo alipofariki katika umri mdogo, Laurent Kabila Sr akamchukua Joseph na kumlea kama mwanaye, ila Joseph Kabila si mtoto wa kuzaliwa na Laurent Kabila .
Toka mwaka 2001 baada ya Rais Joseph Kabila Jr kuchukua madaraka rasmi kama Rais, plunder na looting ya madini kutoka DRC na kusafirishwa kinyemela kwenye mataifa ya magharibi kupitia Rwanda Kigali inaendelea na itaendelea mpaka kesho as long as Kagame yuko madarakani.

Pichani chini ni Joseph Kabila akiwa na Uncle ake Gen James Kabarebe (ambae amehudumu kama CDF na minister of defence katika serikali ya Kagame kwa miaka mingi toka 2000 mpaka 2018).
Huyo mrefu katikati mwenye sare ya Jeshi ndo Gen Kabarebe na kulia kwake ni Joseph Kabila , hapo walikua Kigali 1998.

View attachment 1384017
Kwa stori hii kumbe wanovuruga amani Congo ni Museven na Kagame.

Kenya, Tz, Congo na nchi zingine zinazozunguka maziwa makuu inabidi ziungane kuwaangamiza Kagame na Museven

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa stori hii kumbe wanovuruga amani Congo ni Museven na Kagame.

Kenya, Tz, Congo na nchi zingine zinazozunguka maziwa makuu inabidi ziungane kuwaangamiza Kagame na Museven

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi unafahamu Mwl Nyerere aliwasupport kagame,kabila na Museveni?? Kiufupi hata huyo kagame na museveni military academy wameanzia ya Bongo na hata walipoenda kupindua serikali ya Uganda walipewa support!!

Kwahiyo hao unaotaka waondolewe na TZ ni actually ''watoto'' wa TZ!!
 
Mzee inaonekana historia ya Rwanda unaijua vizuri
Salute kwako
Iko hivi...Congo War 1 ilikua kati ya mwaka 1996-1997. Kuna makundi manne( Mobutu Sseseko, Laurent Kabila, Paul Kagame, Yoweri Musseveni) yaliyopigana vita hii na kila kundi lilikua na interest zake tofauti.
Vita hii ilitokea DRC kipindi hicho ikiitwa Zaire ilianzia pronvince za kaskazini mashariki Nord na Soud Kivu, ikaelekea Kisangani mpaka DRC magharibi then Kinshasha ilipoisha na kuondolewa madarakani kwa Rais wa kipind hicho Mobutu Seseko, nchi ikatwaliwa na Laurent Kabila aliyebadili jina la nchi kutoka Zaire na kuwa Democratic Republic of Congo.

Kwa kifupi ni kwamba wakati vita hii inaanza Mobutu ndiye alikuwa rais halali wa DRC na Laurent Kabila Sr ndiye alikuwa muasi akipigana kutoka msituni mashariki ya Kongo. Kabila alipata msaada wa kijeshi kutoka kwa majeshi ya Rwanda na Uganda chini ya Kagame na Mseveni. Lengo la Kagame si kwamba alikua sympathizer wa movement au uasi wa Kabila bali lengo lake lilikua ni kuwamalizia mbali wahutu na interahamwe wote waliokimbilia Congo baada ya genocide ya 1994 na pia aliona fursa kwenye madini adhimu ya Congo.

Museveni ye hakua interested na wahutu bali ye pia aliona fursa kwenye madini. Sasa basi majeshi ya Rwanda chini ya Gen James Kabaerebe, uganda pamoja na vikosi vidogo vya waasi wa congo wakiongozwa na Laurent Kabila walivamia Congo mwaka 1996 na kuanza kuuwa interahamwe , kushambulia majeshi halali ya Congo ya Mobutu, wakasonga mbele Toka Goma, kwenda Kisangani, kindu, kinanga mpaka walipofanikiwa kuuzingira mji mkuu wa DRC Kinshasha na kumuondoa madarakani Mobutu Seseko, na kufanikiwa kumuweka kibaraka wao Laurent Kabila kama rais mpya wa DRC. Kabila aliwatunuku vyeo jeshi maafisa waandamizi wa majeshi ya Rwanda ilhali hawakua raia wa Congo.

Ambapo Gen wa kitutsi James Kabarebe aliyeongoza vikosi upande wa Rwanda akipewa cheo cha mkuu wa majeshi CDF. Kilichofuata hapo ni historia ilikua ni kuchota madini tu na kuuwa wahutu/interahamwe wote waliokua wakionekana kama threat kwa serikali ya Rwanda chini ya Kagame. Na pia ndipo kipindi hiki wakasimikwa waasi wa Kitutsi mashariki ya DRC wanaoisumbua serikali ya DRC mpaka leo hii.
Madini yalichotwa na wahutu waliuuwawa mpaka sense ilipomuingia Laurent Kabila ambapo katika kujaribu kutokomeza hali hii akamfukuza na kumvua vyeo vyote CDF wake wankinyarwanda Gen Kabarebe mwaka 1997.

Hali hii ilimchukiza Kagame na swahiba wake Museveni ndipo mikakati ikaanza ya kumng'oa madarakani Laurent Kabila iliyopelekea vita iliyokuja kupewa jina ya Congo War 2.
Ni historia ndefu ila kwa kifupi tu ni kwamba zilitafutwa mbinu nyingi za kivita na za kiinteligensia za kumuondoa Kabila Sr mpaka walipofanikiwa kwa msaada wa CIA ambapo mwaka 2001 Laurent Kabila akiwa ofiain kwake Ikulu Kinshasa alipigwa Risasi na Bodyguard wake karibu, na Bodyguard wake pia akapigwa risasi na mpambe wa Rais (ADC) Eddy Kapend, naye pia kabla ya kuwekwa nguvun katika ile taharuki akapigwa risasi na mlinz mwingine aliyetokomea kusikojulikana. Mpaka leo mauaji ya Rais Kabila Sr yanabaki kuwa ni mystery maana walioshuriki katika kufyatua risasi nao pia waliuawa kama cover up.

Baada ya kufanikiwa katika mauaji haya, Joseph Kabila ambaye ni mtoto wa kambo wa Kabila( si mtoto wake by birth) mwenye asili ya kitutsi akakabidhiwa madaraka ya DRC kama Rais. Joseph kabila ni mtusti, mzaliwa wa Rwanda na ni mpwa wa Gen Kabarebe. Alilelewa na Kabila Sr toka akiwa mdogo baada ya baba yake ambaye alikua member wa jeshi la waasi wa Kabila mashariki ya Kongo alipofariki katika umri mdogo, Laurent Kabila Sr akamchukua Joseph na kumlea kama mwanaye, ila Joseph Kabila si mtoto wa kuzaliwa na Laurent Kabila .

Toka mwaka 2001 baada ya Rais Joseph Kabila Jr kuchukua madaraka rasmi kama Rais, plunder na looting ya madini kutoka DRC na kusafirishwa kinyemela kwenye mataifa ya magharibi kupitia Rwanda Kigali inaendelea na itaendelea mpaka kesho as long as Kagame yuko madarakani.

Pichani chini ni Joseph Kabila akiwa na Uncle ake Gen James Kabarebe (ambae amehudumu kama CDF na minister of defence katika serikali ya Kagame kwa miaka mingi toka 2000 mpaka 2018).
Huyo mrefu katikati mwenye sare ya Jeshi ndo Gen Kabarebe na kulia kwake ni Joseph Kabila , hapo walikua Kigali 1998.

View attachment 1384017

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duhh aseee, niulze kitu mkuu ......Ilkuaje kabila junior akaja bongo na kwenda jkt kabisa??? Naomba unieleweshe mkuuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hivi...Laurent Desiré Kabila Sr alikua ni loverboy au tuseme player kwani alikua na wake official 13 na watoto zaidi ya 25.. alikua na wanawake kila kona ya nchi hizi za africa mashariki na kati..Kama muasi wa serikali halali ya Mobutu aliishi maisha ya kujificha katika misitu ya Congo, muda mwingine alikua Uganda, ku kipind alikua Tanzania Lake Tanganyika na kwingineko hii yote ni kuukwepa mkono wa chuma wa dikteta Mobutu Sseseko..maisha yake yalikua ya ki guerrilla warfare akistage attacks toka msituni huku akiomba msaada toka nchi jiran za Tanzania, Uganda rwanda na Burundi. Kwa hiyo katika harakati hizi alikua akizaa hovyo na wanawake kila anapokwenda.

Idadi halisi ya watoto wake haijulikani na idadi halisi ya wake zake haijulikani pia. Na hadi anakua Rais wa DRC 1998-2001 hakua na mke mmoja rasmi. Hakuwah kuwa na first lady wala hakuwajali kabisa watoto wake. Inasemekana Joseph Kabila ni mtoto wake aliyempata alipokuwa Tanzania wengine wanasema ni mtoto wa rafiki yake wa Kitutsi aliyezaliwa south Kivu Congo mashariki.

Baba yake halisi Kabila, mzee Kanambe alikua rafiki wa Kabila na walikuwa pamoja kama waasi wa AFDL dhidi ya serikali ya Mobutu. Alipofariki vitani Kabila anamchukua Joseph Kabila ( Jina lake halisi Hipolite Kanambe) na kumlea kama mwanae. Asili ya Joseph kabila ni debatable ila kwa mwonekano wake wa uso na pua ana asili ya Kitutsi na hafanani kabisa na Laurent Kabila.

Tunachojua for fact ni kwamba Joseph Kabila Jr kakulia Tanzania, Kasoma Shule ya Msingi Msasani Dar es salaam, sekondari kasoma hapa hapa Tanzania, chuo kikuu kasoma Makerere Uganda na katika kutafuta maisha amewah kuwa dereva taxi Dar es salaam, baadae akaelekea Rwanda na Congo kuungana na majeshi ya baba yake ya AFDL pamoja na RPF akiwa kama commander of the 'kadogos'( child soldiers) mpaka alipokuja kurithi mikoba ya baba yake mwaka 2001 kama rais wa DRC akiwa na umri mdogo tu wa miaka 29.

Pichani chini ni Baba yake mzazi Joseph Kabila, Adrien Kanambe, wa mwisho Kulia akiwa na Laurent Kabila katikati wa tatu toka kulia, hapa walikua msituni Congo mashariki wakiongoza vikosi vya waasi dhidi ya serikali ya Mobutu Sseseko.
images (16).jpeg

images (18).jpeg
images (17).jpeg
images (19).jpeg
 
Back
Top Bottom