Kina nani walisema hayo maneno?
Na hayo makabila yalioambiwa hawezi kuwa mtu Rais ni yapi?
Na kwanini waliambiwa hivyo?
Akikujibu ni-tag mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina nani walisema hayo maneno?
Na hayo makabila yalioambiwa hawezi kuwa mtu Rais ni yapi?
Na kwanini waliambiwa hivyo?
Balozi afanyi kazi kama official undercover agent ata kama anashiriki kwenye covert mission zingine za nchi yake.Mkuu hivi umejiuliza kwanini huyu jamaa amgoma kuweka jina la huyo balozi mwanamama?
Je, haiwezekani huyo mama alikuwa afisa wa ubalozi anae kaimu nafasi kwa shughili na wakati maalum?
Huoni sababu ya mleta mada kuficha ndio imepelekea hata kwenye taarifa zote rasmi kama ulizoweka wameficha kwa makusudi?
Najiuliza tena kwamba huyu jamaa mleta mada katunga uongo mkubwa kiasi hiki kwamba aliajiriwa kama afisa ubalozini huko Rwanda wakati hatukuwa na ubalozi Rwanda kwa miaka hiyo?Balozi afanyi kazi kama official undercover agent ata kama anashiriki kwenye covert mission zingine za nchi yake.
Ndio maana anatambulishwa rasmi kama kuna majukumu mengine ya siri ni yeye, washirika wake walio undercover na serikari iliyomtuma.
Ubalozi wenyewe wa Rwanda nchini Tanzania umefunguliwa kwa mara ya kwanza 2009 na Tanzania sidhani kama kulikuwa na ubalozi Rwanda prior to 2000’s tangia uhuru wake (those understandings are open for correction if others know otherwise)
Duh jina la balozi limepatikana
Itakuwa kwenye harakati za kunogesha story, lakini kuna shule nzuri kwenye story yake overall.Najiuliza tena kwamba huyu jamaa mleta mada katunga uongo mkubwa kiasi hiki kwamba aliajiriwa kama afisa ubalozini huko Rwanda wakati hatukuwa na ubalozi Rwanda kwa miaka hiyo?
Sio kwamba nakataa namna yako ya kuhoji au kutafuta ukweli bali nami nachangia udadisi huenda tutapata majibu toka wadau wenye kujua.
Ngoja tumuulize mkuu Mibas alikuwa Rwanda kipindi hicho.Itakuwa kwenye harakati za kunogesha story, lakini kuna shule nzuri kwenye story yake overall.
Mie sipingi kila kitu ingawa kuna fibs za hapa na pale na akithibitishwa balozi au hata kulikuwa na ubalozi naweza imeza yote; bila ya ivyo I reserve some percentages for fiction.
Huyo Dora Mbezi waliomleta bado atokei ukitafuta unapewa Dora Msechu tu aliwakilisha Tanzania nchini Sweden.
Precisely hilo jambo aliwezi kuwa siri kama lipo.Ngoja tumuulize mkuu Mibas alikuwa Rwanda kipindi hicho.
Huenda yeye anaweza kutupa ushuhuda kweli ulikuwepo ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda kipindi hicho?
Kama ubalozi kweli ulikuwepo lakini hakukuwa na balozi kamili basi lazima kuna mtu alikahimu nafasi na ndiye huyo mama.
Naitamani hii taarifa,maana ni kama Kagame alimchukia JK kwa kuwa alishindwa kuweka ushawishi wake hapa kwetu. Sasa katika awamu hii ya Jiwe ukaribu umerudishwa kwa nguvu zote. Isijekuwa Jiwe analishwa matango pori, wakati kagame akipenyeza watu wake katika nyadhifa zenye nguvu ya maamuzi...! Kajamaa kana nchi ndogo ila kiutawala kana-colonize Congo na hata Uganda ipo chini ya watusi kina mseveni. Tanzania wanaitamani ila ina ugumu wake.
Kuna yule Rais wa Tanzania Football Failure nae asijekuwa na hiden backgrounds, kesho kesho kutwa tukasikia anagombea political position... Watusi watakuwa wametamaraki eneo zima la maziwa makuu...
Sent using Jamii Forums mobile app
JF kiboko! Hatimaye mama balozi amefahamika.Hapo kulia.
Mkuu pamoja na kuweka document ile kwenye post yangu namba 1,562 inayoonyesha minutes za vikao vya upatatanishi vilivyofanyika kwa siku kadhaa mwezi May 1993 na kwenye ukurasa wake wa 3 pale kwenye orodha ya wahudhuriaji namba 4 kusomeka "Her excellency Dorah N. J. Mbezi, Ambassador of the United Republic of Tanzania to the Republic of Rwanda and Representative of the Facilitator participated in the meeting" bado mna mashaka kwamba huyo mama hakuwa balozi wa Tanzania kipindi hicho?Ngoja tumuulize mkuu Mibas alikuwa Rwanda kipindi hicho.
Huenda yeye anaweza kutupa ushuhuda kweli ulikuwepo ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda kipindi hicho?
Kama ubalozi kweli ulikuwepo lakini hakukuwa na balozi kamili basi lazima kuna mtu alikahimu nafasi na ndiye huyo mama.
Ahsante mkuu.Mkuu pamoja na kuweka document ile kwenye post yangu namba 1,562 inayoonyesha minutes za vikao vya upatatanishi vilivyofanyika kwa siku kadhaa mwezi May 1993 na kwenye ukurasa wake wa 3 pale kwenye wahudhuriaji namba 4 kusomeka "Her excellency Dorah N. J. Mbezi, Ambassador of the United Republic of Tanzania to the Republic of Rwanda and Representative of the Facilitator participated in the meeting" bado mna mashaka kwamba huyo mama hakuwa balozi wa Tanzania kipindi hicho?
Tena kila kwenye makubaliano yaliyofikiwa kwenye hiyo document kuna jina la huyo mama, sahihi yake huku chini wadhifa wake kwamba alikuwa ni balozi nchini Rwanda ukiwa umerudiwa mara nyingi tu kwenye hizo minutes.
Hebu fungua document hii niliyoambatanisha tena.
Mkuu pamoja na kuweka document ile kwenye post yangu namba 1,562 inayoonyesha minutes za vikao vya upatatanishi vilivyofanyika kwa siku kadhaa mwezi May 1993 na kwenye ukurasa wake wa 3 pale kwenye orodha ya wahudhuriaji namba 4 kusomeka "Her excellency Dorah N. J. Mbezi, Ambassador of the United Republic of Tanzania to the Republic of Rwanda and Representative of the Facilitator participated in the meeting" bado mna mashaka kwamba huyo mama hakuwa balozi wa Tanzania kipindi hicho?
Tena kila kwenye makubaliano yaliyofikiwa kwenye hiyo document kuna jina la huyo mama, sahihi yake huku chini wadhifa wake kwamba alikuwa ni balozi nchini Rwanda ukiwa umerudiwa mara nyingi tu kwenye hizo minutes.
Hebu fungua document hii niliyoambatanisha tena.
Hatimaye.....mama balozi...[emoji119][emoji119][emoji119]humu matomaso wengi halafu wepesi kupinga ume fanya jema kuleta hii doc apa
wale walio kua wana sema wakat huo hakukua na balozi bas wafungue hiyo attach waisome yote waelewe
View attachment 1387310
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mabalozi wa aina mbili
Ahsante kwa kutafsiri, wengine tuliona majina tu na kunakili bila ya kujua linalozungumzwa.Wengine waliohudhuria walikuwa Waziri Mkuu Uwilingiyimana Agatha na Twagiramungu Faustin ambaye angekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Mpito.
Pia alikuwepo Mkuu wa UNAMIR, Jacques Roger BOOH-BOOH, na Balozi Dorah Mbezi wa Tanzania, ambaye alimwakilisha mpatanishi katika mazungumzo ya amani ya Arusha.
Mpatanishi katika makubaliano hayo alikuwa Rais Ally Hassan MWINYI. Pia alikuwepo Joe FELLI, Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika (OAU)
Mkuu kwa maelezo yako hapo mwisho kwamba yawezekana huyo mama alikuwa special envoy tu unamaanisha huko Kigali kwa miaka yote aliyotaja msimulizi wetu kuanzia alipoingia Rwanda mwaka 1989 hadi alipoondoka 1994 hatukuwa na ubalozi pale Rwanda? Na kwa maana nyingine hiyo stori ya kwamba yeye alikuwa ni miongoni mwa staff wa ubalozi uliokuwa kwenye jengo lenye vyumba viwili vya siri n.k. hadi staff wote wa ubalozi, watanzania wengine na baadhi ya wanyarwanda waliozamia kwenye yale malori kuwa evacuated kwa kupitia mipaka ya Burundi yote katulisha matango pori?Kuna mabalozi wa aina mbili
1 balozi anaeteuliwa kuiwakilisha nchi mahala fulani na kuishi kwenye hiyo nchi husika
2 balozi anaeteuliwa kusimama kama mwakilishi wa interest za nchi yake sehemu ambazo hazina ofisi pia.
Under the circumstances inawezekana huyo mama aliteuliwa (as a special envoy) kutokana na Tanzania kuitaji mwakilishi katika kipindi ambacho wanashawishi pande mbili ziweke silaha chini na namna ya kurudisha wakimbizi.
Huyu mama ni balozi yupi?
Inaelekea ivyo, mpaka hapo itavyothibitishwa vinginevyo kulikuwa na ofisi za ubalozi Rwanda kabla ya 2000’s.Mkuu kwa maelezo yako hapo mwisho kwamba yawezekana huyo mama alikuwa special envoy tu unamaanisha huko Kigali kwa miaka yote aliyotaja msimulizi wetu kuanzia alipoingia Rwanda mwaka 1989 hadi alipoondoka 1994 hatukuwa na ubalozi pale Rwanda? Na kwa maana nyingine hiyo stori ya kwamba yeye alikuwa ni miongoni mwa staff wa ubalozi uliokuwa kwenye jengo lenye vyumba viwili vya siri n.k. hadi staff wote wa ubalozi, watanzania na baadhi ya wanyarwanda waliozamia kwenye yale malori kuwa evacuated yote katulisha matango pori?
Huyo Mama aliteuliwa na Mwinyi kama sio 1988 ni 89 kama balozi wa Tz nchini Rwanda. Ila alirudishwa Tz kama sikosei 1993 au muda fulani kabla ya machafuko. Sasa mama anayeongelewa aliongoza msafara wa WaTz wakati wa machafuko sijui alikuwa nani, huyu alisharudi Tz.Kuna mabalozi wa aina mbili
1 balozi anaeteuliwa kuiwakilisha nchi mahala fulani na kuishi kwenye hiyo nchi husika
2 balozi anaeteuliwa kusimama kama mwakilishi wa interest za nchi yake sehemu ambazo hazina ofisi pia.
Under the circumstances inawezekana huyo mama aliteuliwa (as a special envoy) kutokana na Tanzania kuitaji mwakilishi katika kipindi ambacho wanashawishi pande mbili ziweke silaha chini na namna ya kurudisha wakimbizi.
Huyu mama ni balozi yupi?
Ubalozi ulikuwepo kabla ya 2000, kabla ya huyo mama alikuwepo balozi anaitwa Mbago, kabla yake sijui.Inaelekea ivyo, mpaka hapo itavyothibitishwa vinginevyo kulikuwa na ofisi za ubalozi Rwanda kabla ya 2000’s.
Hawa jamaa wanaondeleza hiyo angle ndio wanaleta maswali zaidi ya nyuma, mimi wala halikuwa lengo ku-discount event zote.