Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Vunja bei lazima aingie hasara kuhusu mauzo ya jezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe bhana kama unaamua kususa, susa tu. Mashabiki wenzako watakuwakilisha vizuri tu kwenye kununua hizo jezi, na pia kwenda uwanjani kuangalia timu.Wanajamvi, mimi ni shabiki wa simba, naipenda simba.
Lakini kwa yanayoendelea kwakweli nimevunjika moyo, nimeamua sinunui tena jezi wala sitapoteza pesa zangu kwenda tena uwanjani kwa msimu huu wote.
Nimetazama hizi mechi mbili kwakweli nina maswali mengi sana yasiyo na majibu!
1. Hivi simba inashida gani na makocha? Kwamba kila msimu tumekuwa watu wakufukuza makocha tu? Miaka mitano yote hatujawahi kupata kocha bora wa kuifundisha timu yetu? Makocha wote tuliopata wanamatatizo au simba ndio inamatatizo?
2. Kwahiyo tuliacha kumnunua Manzoki tukaenda kununua Mzungu?
3. Mnauhakika huyu Mo anania njema na simba kweli?
4. Kwanini kila mchezaji mzuri tunayemtaka huwa hatumpati? Na tunazidiwa kete hadi na yanga?
Mf: Djuma shabani, Aziz Ki n.k
WACHA NIPUMZIKE KUSHABIKIA HII TIMU NITAFUTE SHUGHULI NYINGINE ZA KUFANYA
Kwa sasa uongozi wa Simba ufute kazi Matola tu kama tulivyofanya kwa kumuondoa Djuma kipindi cha Uchebe ni hayo tu maana zile sub za juzi si za kawaida.
Hamia utopoloni, hulazimishwi hata kidogo kuwa shabiki wa Simba sports clubWanajamvi, mimi ni shabiki wa simba, naipenda simba.
Lakini kwa yanayoendelea kwakweli nimevunjika moyo, nimeamua sinunui tena jezi wala sitapoteza pesa zangu kwenda tena uwanjani kwa msimu huu wote.
Nimetazama hizi mechi mbili kwakweli nina maswali mengi sana yasiyo na majibu!
1. Hivi simba inashida gani na makocha? Kwamba kila msimu tumekuwa watu wakufukuza makocha tu? Miaka mitano yote hatujawahi kupata kocha bora wa kuifundisha timu yetu? Makocha wote tuliopata wanamatatizo au simba ndio inamatatizo?
2. Kwahiyo tuliacha kumnunua Manzoki tukaenda kununua Mzungu?
3. Mnauhakika huyu Mo anania njema na simba kweli?
4. Kwanini kila mchezaji mzuri tunayemtaka huwa hatumpati? Na tunazidiwa kete hadi na yanga?
Mf: Djuma shabani, Aziz Ki n.k
WACHA NIPUMZIKE KUSHABIKIA HII TIMU NITAFUTE SHUGHULI NYINGINE ZA KUFANYA
Atajulia wapi!Unajua maana ya derby