Sinunui jezi na wala sitaenda uwanjani kuitazama Simba SC msimu huu

Wanajamvi, mimi ni shabiki wa simba, naipenda simba.

Lakini kwa yanayoendelea kwakweli nimevunjika moyo, nimeamua sinunui tena jezi wala sitapoteza pesa zangu kwenda tena uwanjani kwa msimu huu wote.

Nimetazama hizi mechi mbili kwakweli nina maswali mengi sana yasiyo na majibu!

1. Hivi simba inashida gani na makocha? Kwamba kila msimu tumekuwa watu wakufukuza makocha tu? Miaka mitano yote hatujawahi kupata kocha bora wa kuifundisha timu yetu? Makocha wote tuliopata wanamatatizo au simba ndio inamatatizo?

2. Kwahiyo tuliacha kumnunua Manzoki tukaenda kununua Mzungu?

3. Mnauhakika huyu Mo anania njema na simba kweli?

4. Kwanini kila mchezaji mzuri tunayemtaka huwa hatumpati? Na tunazidiwa kete hadi na yanga?

Mf: Djuma shabani, Aziz Ki n.k

WACHA NIPUMZIKE KUSHABIKIA HII TIMU NITAFUTE SHUGHULI NYINGINE ZA KUFANYA
Wewe bhana kama unaamua kususa, susa tu. Mashabiki wenzako watakuwakilisha vizuri tu kwenye kununua hizo jezi, na pia kwenda uwanjani kuangalia timu.
 
Wanajamvi, mimi ni shabiki wa simba, naipenda simba.

Lakini kwa yanayoendelea kwakweli nimevunjika moyo, nimeamua sinunui tena jezi wala sitapoteza pesa zangu kwenda tena uwanjani kwa msimu huu wote.

Nimetazama hizi mechi mbili kwakweli nina maswali mengi sana yasiyo na majibu!

1. Hivi simba inashida gani na makocha? Kwamba kila msimu tumekuwa watu wakufukuza makocha tu? Miaka mitano yote hatujawahi kupata kocha bora wa kuifundisha timu yetu? Makocha wote tuliopata wanamatatizo au simba ndio inamatatizo?

2. Kwahiyo tuliacha kumnunua Manzoki tukaenda kununua Mzungu?

3. Mnauhakika huyu Mo anania njema na simba kweli?

4. Kwanini kila mchezaji mzuri tunayemtaka huwa hatumpati? Na tunazidiwa kete hadi na yanga?

Mf: Djuma shabani, Aziz Ki n.k

WACHA NIPUMZIKE KUSHABIKIA HII TIMU NITAFUTE SHUGHULI NYINGINE ZA KUFANYA
Hamia utopoloni, hulazimishwi hata kidogo kuwa shabiki wa Simba sports club
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Acha kabisa. Na usijihusishe na masuala ya Mpira umefungiwa maisha. Imeisha hiyo akili ndogo hatuzihitaji Simba.
 
Kweli nimekubali lisemwalo lipo team alivyoondoka pablo akapewa matola ilikuwa inacheza vizuri yule matola pia ana shida sana pale simba inabidi akale pension kidogo team nyingine.
 
Back
Top Bottom