Sinunui tena simu ya Huawei

Kama yupo ambae anamsikiliza Wema tena kwenye jambo hilo na anatumia kati ya hizo simu basi atakua hajazaliwa kwa njia ya kawaida lazima amejambwaa.
 
Wazazi msiwalishe watoto wenu viporo maana wanasumbua huku ukubwani kama hili ----- lililojitahidi kuandika hapa.
 
Neno la Wema linapofanywa sheria bas jua kuna tatizo
 
We mleta mada ---- kweli, ushawahi kujiuliza Huawei ascend P6 ,P7. bei gani?. ukijua bei yake kojoa ukalale na huyo wema wako.
 
miaka 22 na kuwa na nyota kali kama ya wema ni jambo la kihistoria sana, wema ni national treasure inabidi aheshimiwe
 
Kilaza.com...uliyepost sijui unarandana uwezo wa kiakili na wema,anway sio kosa lako.

Usiniwaze kama huwezi kujiwaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…