Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Binamu huyo ndugu yako wa wapi na anaongea upuuzi gani
Namjua basiiiiiiii mieee???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binamu huyo ndugu yako wa wapi na anaongea upuuzi gani
Mfyuuuuuuuuuuuuuuuu ye naniiii??
Hahaaaaaa
Nilitaka kukuita kumbe ushaona hii..lolz
Hhhhhaaaaa tupo twahangaika na misukule ya Wema
Ndiyo maana haikunishangaza ile taarifa kuwa Tanzania ni miongoni mwa mataifa ambayo watu wake wanna IQ ndogo sana.
Wazazi msiwalishe watoto wenu viporo maana wanasumbua huku ukubwani kama hili ----- lililojitahidi kuandika hapa.
Za jion jiran
miaka 22 na kuwa na nyota kali kama ya wema ni jambo la kihistoria sana, wema ni national treasure inabidi aheshimiwe