Sinywi pombe Sinywi soda! Ninywe nini nikiwa bar

Wakuu Nimeamua kuacha pombe kutokana na matatizo ya kiafya.
Lakini soda pia niliQuite tangu 2020.

Sasa napata changamoto nikienda Bar unakuta siwezi kukaa na kampani ya washikaji maana wenzio wanakunywa we unatoa macho.

Hivi ndo nilikuwa natumia lakini naona siyo kabisa

1. Maji
Aisee haya huwezi kunywa saa moja

2.Grand malta
-Hii inanikera inaleta nzi, mapovu kibao

3.Maji na Energy
Nzuri sana unakuwa na kavibe lakini shida haya maenegy kunywa energy mbili si kiaafya siyo poa naona nakunywa sana…

Hebu nipeni vinywaji vinavyoburudisha bila ya kileo
Piga Baltica
 
Vuta bangi utakuja kunishukuru baadae
 
Ukiwa unaenda bar uwe unabeba Thermos yako ya uji wa mhogo itapendeza zaidi
 
Wakuu Nimeamua kuacha pombe kutokana na matatizo ya kiafya.
Lakini soda pia niliQuite tangu 2020.

Sasa napata changamoto nikienda Bar unakuta siwezi kukaa na kampani ya washikaji maana wenzio wanakunywa we unatoa macho.

Hivi ndo nilikuwa natumia lakini naona siyo kabisa

1. Maji
Aisee haya huwezi kunywa saa moja

2.Grand malta
-Hii inanikera inaleta nzi, mapovu kibao

3.Maji na Energy
Nzuri sana unakuwa na kavibe lakini shida haya maenegy kunywa energy mbili si kiaafya siyo poa naona nakunywa sana…

Hebu nipeni vinywaji vinavyoburudisha bila ya kileo
Kunywa kahawa,hunywi sasa bar unafuata nini,basi uwe unakunywa shisha.
 
Back
Top Bottom