Sinywi pombe Sinywi soda! Ninywe nini nikiwa bar

Sema ushauri bure... Achana na bar... Kama ni stress jaribu kupunguza kwa njia nyingine... Tembea tembea kidogo... Jaribu kupika mwenyewe porini au Sehemu yoyote yenye kaupepo una forget kama kuna shida atleast for some hours
Hapo kwenye kupika porini nimekuelewa sana aisee, inasaidia sana kuondoa stress
 
Usipende kabisa Bar
 
Bavaria 😊😋
 
Kunywa Chai
 
Uhuuu....hujui..kwani hela zisipoisha utawaza kutafuta..zingine...?Na mpa pole yake jombaa..Bia tamu..inachajisha akili ...inavyo blink blink ukiimimina kwenye glass. na akili ina blink hivyo hivyo...unawaza kufanya madili ya hela kubwa kubwa
Alooooh!🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…