min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Watoto huwa hawalali na pesa😁Akauweke Amarula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto huwa hawalali na pesa😁Akauweke Amarula
Akili ni nini😂😂😂huna akili
Mtoto wa kianalojiaWatoto huwa hawalali na pesa😁
Utakua umemwezaMke ndio aende na washikaji
Sema tu we ni mlevi hutaki kuacha pombe na unaona hasara kukaa bar bila kunywa. Kwa nini sasa unaenda Bar kama huwezi vumilia?Wakuu Nimeamua kuacha pombe kutokana na matatizo ya kiafya.
Lakini soda pia niliQuite tangu 2020.
Sasa napata changamoto nikienda Bar unakuta siwezi kukaa na kampani ya washikaji maana wenzio wanakunywa we unatoa macho.
Hivi ndo nilikuwa natumia lakini naona siyo kabisa
1. Maji
Aisee haya huwezi kunywa saa moja
2.Grand malta
-Hii inanikera inaleta nzi, mapovu kibao
3.Maji na Energy
Nzuri sana unakuwa na kavibe lakini shida haya maenegy kunywa energy mbili si kiaafya siyo poa naona nakunywa sana…
Hebu nipeni vinywaji vinavyoburudisha bila ya kileo
Kuna pisi kibao maeneo hayo utakunywa mate yaoWakuu Nimeamua kuacha pombe kutokana na matatizo ya kiafya.
Lakini soda pia niliQuite tangu 2020.
Sasa napata changamoto nikienda Bar unakuta siwezi kukaa na kampani ya washikaji maana wenzio wanakunywa we unatoa macho.
Hivi ndo nilikuwa natumia lakini naona siyo kabisa
1. Maji
Aisee haya huwezi kunywa saa moja
2.Grand malta
-Hii inanikera inaleta nzi, mapovu kibao
3.Maji na Energy
Nzuri sana unakuwa na kavibe lakini shida haya maenegy kunywa energy mbili si kiaafya siyo poa naona nakunywa sana…
Hebu nipeni vinywaji vinavyoburudisha bila ya kileo
Mkuu USA kajitoa WHO, tunakumbushana tuMkuu ukifika bar wenzako wakiwa wanapiga Gambe, we angaza angaza macho ukiona kuna malaya yoyote chukua kapige short time afu unarudi, ukikaa kidogo unatafuta mwingine tena, hivyo hivyo mpaka time ya kuondoka
Ata mademu hutumii??Kunywa baktika au tonic water na ka limao au hill water ile sparkling mineral water
Nakosa namna ya kukusaidiaWakuu Nimeamua kuacha pombe kutokana na matatizo ya kiafya.
Lakini soda pia niliQuite tangu 2020.
Sasa napata changamoto nikienda Bar unakuta siwezi kukaa na kampani ya washikaji maana wenzio wanakunywa we unatoa macho.
Hivi ndo nilikuwa natumia lakini naona siyo kabisa
1. Maji
Aisee haya huwezi kunywa saa moja
2.Grand malta
-Hii inanikera inaleta nzi, mapovu kibao
3.Maji na Energy
Nzuri sana unakuwa na kavibe lakini shida haya maenegy kunywa energy mbili si kiaafya siyo poa naona nakunywa sana…
Hebu nipeni vinywaji vinavyoburudisha bila ya kileo
Serenget larger haipandishi sukari kuna mtu ana sukari anakunywa hiyo na haipandiini kweli lakini kiasi ninachokwambia kitaboresha afya yako unachanganya na maji
yuko mzee mmoja msabato alikuwa anaumwa akaletwa mjini kutibiwa akaambiwa baada ya chakula hasa cha jioni avute hata glass ya wine taratibu kwa muda mrefu afya yake ikawa njema.
hata wenye sukari wakinywa dry wine wakipima sukari inashuka.
sielewi unaumwa nini lakini jaribu utanishukuru najua wako wengine watajaribu.