Nashangaa wanaosema 1B, kwa uwekezaji gani pale lachaz, jamani unaijua 1B?Hiv nyinyi vijana wa dot com mnaijua 1b kwel?...au hata hyo 800 au 600...mnaijua kwel au ndo stor za vijiwen....mtuulize sis wenye mijengo.kwa haraka haraka pale lachaz naweza kwambia na mbwbwe zoote zile haizid 250m......usichanganywe ma zile mbao za pellets pale..zile ukizitaka nakupeleka had wanakouza moja 600..mi ka glocery kangu somwea nimeweka hvyo hvyo kama lachaz...achen ku imagine vtu....
Mbongo anajenga nyumba ya 300m ..anakuja tangazia watu oooh hii 800m...nakaaga nasema dah...
Ha ha ha....we kumbe hugusi hard drinks eeh, basi ndo maana[emoji848]La chalz na ndio nilikuwa naenda na hiyo 30,000 - 50,000 na ninatoka salama kabisa. Pesa na iheshimiwe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Nikifika pale naagiza portion moja ya mbuzi na ndizi, mbili. Maji madogo au makubwa na redbul na popkoni zangu. Offer yangu kwa wadada walio kuwa wanajipendekeza kwangu ni buku moja tu, wanajijaza ila ikishatoka hiyo buku ndio nitolee
Ha ha ha ha ha kwahiyo nani atawao hao wenzetu jamani.. si kila mmoja ataoa wa kufanana nae? Kwani nyie machurch boys? [emoji23][emoji23][emoji23] pooh mbakaKwa wadada sio nzur sana...mdada anatakiwa kuwa ametulia ...
Na sie wanaume hatupend mdada awe kiruka njia..na ndomana huwa hatuwaoi wale tunaokutana nao maeneo kama ya huko tunaoa wale home girl.church girl etc
Huhuhuuuhuu...kama kala mbona kitanuka[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]Siongeag na watu wa mkoani.
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]Ni vizuri kuustua ufukara. Acha waongee tu msoto sio mchezo!
Looh.... najulia wapi?? Miye napenda sehemu tulivu kwaajili ya kula tu. I love foodie[emoji3059][emoji3059]Ukimaliza ile bar jirani na BIGBON kuna vyumba vya show then kuna njia inaingia kulia ukimaliza frem zile kuna michongoma kuna site moja guest bubu unaipata?
Kwanini mwoga?[emoji23][emoji23][emoji23]Rapid test zile mjomba..umpime mdada wa watu atakuelewa?
Kwanza mi mwenyew kupima ni mwoga balaa
Sawa mama la mama[emoji119]Madame.. tusibishane sana. Siyo kwa story za vijiweni. Kuna kibiashara chetu tuu tulikiboresha hiyo hela iliyoenda hapo roho inakuumaa sema ndo hivyo unaboresha uweke mazingira poa kama bond ya mikopo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Urio si mjinga. Mjini hatuwagi na biashara moja. Unawekeza huku unahamisha huku. Ujenzi heshma sana.
Yale malive band dj mixing nayo yalizidisha makelele maana huwezi punguza sautiMajirani wamelalamika kelele so kinachofanyika saivi wanatengeneza lounge ya ndani
ipige mziki ndani kimya kimya sauti isitoke nnje,ni mambo za unoko unoko tu Majirani wamejazwa wakajazika wakakinukisha.
in short area ile unoko ni mwingi sana,ukiingia kuwekeza kwenye sekta ya burudani,Ujipange haswaa.
Hii ni kweli tunazidi mtia hatiani asee, may be ni watu wamampigia kiberiti huko nyuma maana pale fitina kama yotee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acheni ujinga.
Ila umeumia sana aisee. Seems unalipenda sana hili chimbo.
Mimi pia nimeumia kwasababu ni jamaa yetu na twafanya biashara wote. Jamaa ni mpambanaji. Yatakwisha haya. Sema tunavyoweka midomo hivi ndo kama tunawapa pressure kampuni husika ya bima kuweka uzito aisee. Na ukizingatia ndo mmopo dah
Fake fake everything till u make it...[emoji23][emoji23][emoji16]Unafosi tuu kaka....ule usemi wa force tuu mpaka itiki umeusahau...we huon skuhiz wana weng maeneo wanakunywa ngumu...
Mim nikienda mahala sabab sijaoa..80% ya mim kuwa hapo ni women..na 20% ni michongo.hahahahha
Yaaniii. Kuna mipango yake alikua nayo maskini ndo naona sasa inaenda kufa. Maana bank iko mdomoni marejesho. Bima ndo hivi kila mtu anachonga. Na hapo alipo kabaki mweupeee. Mimi sitaki kuwa negative saana kaichoma. Akajiweke kwenye risk yote hii? Presha za marejesho[emoji119][emoji119][emoji119]Hii ni kweli tunazidi mtia hatiani asee, may be ni watu wamampigia kiberiti huko nyuma maana pale fitina kama yotee
Ha ha haKweli tembea ujue mitaa na viwanja,Ujanja woteeee huuu siijui La Chaz
ndio kwanza naisikia,ila sinza napajua jamani msije sema na sinza sipajui.
Maison ni Club mkuu sio pombe [emoji2]Ukinywa hiyo maison ya 12 million, inakuwaje ikuwaje ? Ulevi wake upo tofauti na Balimi Extra ?
We ntakuwa nakufahamu[emoji848][emoji848]Mi maeneo yangu..kidimbwi..samak samak.sku moja moja mediteraneo..nkitaka ogelea na chungulia biki.ni za watoto wazur naenda pale tanzanite mchana naoooga wee kama bata...
Nkiwa na watu wa maana utanikuta kwenye baa za goba za kiutu uzima...
Naatend sana events ..iwe miss nan sjui..nimo.iwe show wasafi nimo..iwe msanii gan kaja nimo..yaan mim
Maisha yenyew mafup haya dada angu.
Huhuhuuuhuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]Katika mambo huwa siyafanyii mchezo ni kinga..mi ni [emoji91] ndio ila si.tomb bila condom hata siku1...na sichukuag wale wa barabaran au wale ma pro kabisa wa kujiuza...mi madem zangu wa ofisin...vyuon na videm vya mitaan hiv .unakikuta kinauza juice au stationery unabeba..ila kulala na malaya kabisa wale.sjawai
Mkoani hiyo ni kubwa sana desperado 6 18000,10000 mbuzi potion 2 mafuta kwa gari 20!lolπππ.. mie zangu ni elfu 50 - 30 haizidi hapo, na ninaingi sehemu bila hofu . Na zikiisha naondoka.
Ngoja tuone kifuatacho...Yaaniii. Kuna mipango yake alikua nayo maskini ndo naona sasa inaenda kufa. Maana bank iko mdomoni marejesho. Bima ndo hivi kila mtu anachonga. Na hapo alipo kabaki mweupeee. Mimi sitaki kuwa negative saana kaichoma. Akajiweke kwenye risk yote hii? Presha za marejesho[emoji119][emoji119][emoji119]
Nisaidie mamy...mle kuna nini cha kutisha?La chaaz ina maajabu gani ya billioni[emoji23][emoji23] Au zile mbao?
hata kati ya Top 5 Bars za Bongo sidhani kama ipo.. ingekua masaki naona sasa bajeti mngesema billion 5